Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

Serikali zaifu kila waziri najua kivyake,hata hivyo kuna haja gani kuzungumza hadharani au ndio anataka kumsuta mwakyembe?inawezekana bado anapokea mshahara.
Waziri Titus kamani amesema mmoja wa watu waliotangazwa na Mwakyembe juwa wamefukuzwa aiport jana alishastaafu tangu 2013 na sio mfanyakazi wa serikali tangu wakati huo.

Waziri Kamani amesema ameshangazwa kuona mstaafu anatangazwa kuwa alikuwa mfanyakazi wa wizara yake kama alivyotangaza Mwakyembe jana.

Hata hivyo waziri kamani amesema anasubiri taarifa zaidi toka kwa Dr Mwakyembe kuhusu hatua alizotangaza jana kufukuza wafanyakazi wa wizara yake waliokuwa wakifanya kazi JKNIA.

Source:Radio one Habari
 
Serikali zaifu kila waziri najua kivyake,hata hivyo kuna haja gani kuzungumza hadharani au ndio anataka kumsuta mwakyembe?inawezekana bado anapokea mshahara.
Nyumba ya kambare kila mmoja ana sharubu kuanzia baba, mama hadi watoto
 
mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

Atc mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, act ipo icu.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

kweli ww ni zero brained kabisa. Ungeweka jina lako kamili ningeongea mengi ila kwa sababu ww pia hujiamin unaongelea mafichoni ngoja tukustahi.

Kwa taarifa yako wazalendo wanajua ktk baraza hili mwakyembe ni mmoja wa viongozi wachache wasiohongeka.. Wacahapakazi.. Wenye rekodi isyo na makando kando ya ufisadi wala hayo ya ukabila.

Huko bandarini kakata mirija ya wanyonyaji na wahujumu uchumi kiasi cha wanyonyaji hao kila siku kuhonga wapumbavu wa aina yako mfanye kazi ya kumkashifu mitandaoni na kwenye media

hiv mtu ambaye amekuta mapato ya bandari yako 24bil akayapandsha hadi 50bn kwa mwezi ndani ya muda mda mfupi bado unambeza?

Amerekebisha mifumo ya makusanyo kuwa ya uwazi isiyo na urasimu. Upotevu wa makontena sasa ni historia. Nchi jirani kibao sasa zinatumia bandari yetu baada ya kuridhishwa na ufanis wake afu mijitu iloyolewa viloba inakuja hapa kubwabwaja kama imelewa.

Khs atc kuwa na ndege moja hapo ndio unazid kujidhalilisha kwani hata hujui km ndege inanuliwana wizara ama serikali mama. Mpeni hela muone km hajanunua. Nenda kwenye hansard za bunge la bajaeti akiwaslisha bajetibyake ujue mjadala na maazimio ya bunge juu ya jambo hilo.

Mawaziri waadilifu na wazalendo km dr mwakyembe si wa kuwabeza especially wanapokubali kujitoa hata maisha yao kwa ajili ya taifa lao.

Jipe muda pitia wizara ya uchukuzi kila taasisi utaona mengi sana ambayo huyajui.

Ukikaa unaweza kuonekana una akili na busara kuliko ukifungua kinywa ukaongea utumbo
 
hawa mawaziri mbona hawana umoja, au wanatoka mnchi mbili tofauti?

Yaani hii serikali inavyoendeshwa kama wahuni fulani vile, ni ajabu mawaziri kutowasiliana katika maamuzi yao. Kwa hili tukio hadhi na heshima ya huyu Mwakyembe inashuka kwa kasi, anaonekana ni mtu wa kupenda sifa.
 
kijana leo hv hujui kuna kazi za mikataba serikalini? huyo mtu km alistaafu pale airpot alijileta au kaletwa na wizara husika. mtu akifanya kazi anapensa sifa, asipofanya kazi waziri mzigo, akiiba fisadi, asipoiba hamkosi maneno. hilo ni janga la Taifa sasa.

kama alistaafu basi Dr Mwakyembe anawarudishia waliomleta airpot ili wamchukulie hatua. hata ajira za mkataba ukizikiuka zina hatua zake unazopaswa chukuliwa.
 
Kamani anamshangaa waziri mwenzake kufukuzwa kazi mstaafu na kutangaza nchi nzima kuwakachukua wakati anafanya usanii........

kamani ni jembe la mara so no longolongo .....MWakyembe ni Msanii kuliko , ona sasa aibu ya mwaka ....

Ikithibitika huyo 'mstaafu' alikuwepo hapo na kayafanya hayo, bila Kamani kjua kuwa yupo, nani ni ----- zaidi hapo ??
 
yaani hapa watu tunafanyia mjadala maandishi yasio na hakika...kwa sbabu wengine wanasema kuwa wafanyakazi wale wamefukuzwa....wengine wanasema wamerudishwa wizarani kwao.....lipi ni jambo la kweli.......hebu tupeni uhakika wa maneno ya Dr.Mwakyembe alisema nini na huyu Kamani kasema nini kwa uhakika.....otherwise tunaojadili hapa tutaonekana na sisi "mabwege" fulani hivi.....

...hizi source of information siku hizi zimeingiliwa sana na waandishi makanjanja.....watch out guys!...tusiwape nafasi rahisi ya akian Mwakyembe et al......kuja kutujibu hapa kama vile sisi ni "malimbukeni".........
 
kweli ww ni zero brained kabisa. Ungeweka jina lako kamili ningeongea mengi ila kwa sababu ww pia hujiamin unaongelea mafichoni ngoja tukustahi.

Kwa taarifa yako wazalendo wanajua ktk baraza hili mwakyembe ni mmoja wa viongozi wachache wasiohongeka.. Wacahapakazi.. Wenye rekodi isyo na makando kando ya ufisadi wala hayo ya ukabila.

Huko bandarini kakata mirija ya wanyonyaji na wahujumu uchumi kiasi cha wanyonyaji hao kila siku kuhonga wapumbavu wa aina yako mfanye kazi ya kumkashifu mitandaoni na kwenye media

hiv mtu ambaye amekuta mapato ya bandari yako 24bil akayapandsha hadi 50bn kwa mwezi ndani ya muda mda mfupi bado unambeza?

Amerekebisha mifumo ya makusanyo kuwa ya uwazi isiyo na urasimu. Upotevu wa makontena sasa ni historia. Nchi jirani kibao sasa zinatumia bandari yetu baada ya kuridhishwa na ufanis wake afu mijitu iloyolewa viloba inakuja hapa kubwabwaja kama imelewa.

Khs atc kuwa na ndege moja hapo ndio unazid kujidhalilisha kwani hata hujui km ndege inanuliwana wizara ama serikali mama. Mpeni hela muone km hajanunua. Nenda kwenye hansard za bunge la bajaeti akiwaslisha bajetibyake ujue mjadala na maazimio ya bunge juu ya jambo hilo.

Mawaziri waadilifu na wazalendo km dr mwakyembe si wa kuwabeza especially wanapokubali kujitoa hata maisha yao kwa ajili ya taifa lao.

Jipe muda pitia wizara ya uchukuzi kila taasisi utaona mengi sana ambayo huyajui.

Ukikaa unaweza kuonekana una akili na busara kuliko ukifungua kinywa ukaongea utumbo
Kama ni makini kwa nini katangaza kufuta kazi mtu ambaye ni msaafu since 2013?

Hana lolote ni ukabila na majungu tipu...
 
sALUTE KWAKO MKUU. YAANI KUNA WATU HUWA WANATUMIKA VIBAYA SANA.
 
Mwakyembe ni waziri mzigo, mkutupukaji, mbabaishaji.

Hana lolote kazi kuropoka tu, hana lolote alilolifanya kwenye hiyo wizara zaidi ya majungu na fitina.

Ukabila unamamaliza.

ATC mpaka sasa ndege moj ya kukodi, tren ya mabibo to posta.?

Eti mchapakazi?

Kakalia majungu bandari inakufa, ACT ipo ICU.

Hakuna anachojua zaidi ya kulia lia kwenye media kwa kutaka sifa za kijinga

ndiyo maana ukajiita poPOMPO! wewe ni POPOMPO kweli kweli, ukiwa unatumika, pia jiangalie kwanza unatumika wapi? Cdhani kama wakati unayaandika haya, umeyaandika ukiwa katika hali ya kawaida. Itakua ulikuwa umeshaweka kagongo ka buku2 hapo ufipa. Tuambia nani unadhani anafaa katika hiyo wizara atakayefanya haya unayoyaona? Unafikiri kwa akili za maji ya mende bhana!
 
kweli ww ni zero brained kabisa. Ungeweka jina lako kamili ningeongea mengi ila kwa sababu ww pia hujiamin unaongelea mafichoni ngoja tukustahi.

Kwa taarifa yako wazalendo wanajua ktk baraza hili mwakyembe ni mmoja wa viongozi wachache wasiohongeka.. Wacahapakazi.. Wenye rekodi isyo na makando kando ya ufisadi wala hayo ya ukabila.

Huko bandarini kakata mirija ya wanyonyaji na wahujumu uchumi kiasi cha wanyonyaji hao kila siku kuhonga wapumbavu wa aina yako mfanye kazi ya kumkashifu mitandaoni na kwenye media

hiv mtu ambaye amekuta mapato ya bandari yako 24bil akayapandsha hadi 50bn kwa mwezi ndani ya muda mda mfupi bado unambeza?

Amerekebisha mifumo ya makusanyo kuwa ya uwazi isiyo na urasimu. Upotevu wa makontena sasa ni historia. Nchi jirani kibao sasa zinatumia bandari yetu baada ya kuridhishwa na ufanis wake afu mijitu iloyolewa viloba inakuja hapa kubwabwaja kama imelewa.

Khs atc kuwa na ndege moja hapo ndio unazid kujidhalilisha kwani hata hujui km ndege inanuliwana wizara ama serikali mama. Mpeni hela muone km hajanunua. Nenda kwenye hansard za bunge la bajaeti akiwaslisha bajetibyake ujue mjadala na maazimio ya bunge juu ya jambo hilo.

Mawaziri waadilifu na wazalendo km dr mwakyembe si wa kuwabeza especially wanapokubali kujitoa hata maisha yao kwa ajili ya taifa lao.

Jipe muda pitia wizara ya uchukuzi kila taasisi utaona mengi sana ambayo huyajui.

Ukikaa unaweza kuonekana una akili na busara kuliko ukifungua kinywa ukaongea utumbo
anajaitahidi kuiga utendaji kazi wa Magufuli,vitu vingine haviigwi ni inborn
 
Back
Top Bottom