Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
kwani ile sumu ilifika mpaka kichwani?Haya yametokea baada ya ile sumu aliyowekewa.

nihisi ni hivyo mkuu imeosha kila kitu, amebaki mweupe kabisa.kwani ile sumu ilifika mpaka kichwani?
Arudishwe ApolloHaya yametokea baada ya ile sumu aliyowekewa.
Mabehewa FAKE???huku nyuma ALITAKA KUFA AKASHINDWA
ALITAKA KUTAJA UHUSIKA WA JK KWENYE RICHMOND AKASHINDWA
ALISEMA ATAMFUNGULIA LOWASA KESI ZA UFISADI AKASHINDWA
ALISEMA ANGEMFUNGA MASOGANGE AKASHINDWA,ALITAKA KUPANUA BANDARI AKASHINDWA,AKATAKA KUBORESHA RELI AKASHIDWA
Anabahatisha kutafuta hata moja itakayokubalika kwa kiki zaidi!!Huu si wanasheria ni ubabaishaji maana hakuna hata moja alilofaulu.
Ukijumlisha na zile kule juu JUMLA 10 BILA..afadhali arsenal alipata mojahuku nyuma ALITAKA KUFA AKASHINDWA
ALITAKA KUTAJA UHUSIKA WA JK KWENYE RICHMOND AKASHINDWA
ALISEMA ATAMFUNGULIA LOWASA KESI ZA UFISADI AKASHINDWA
ALISEMA ANGEMFUNGA MASOGANGE AKASHINDWA,ALITAKA KUPANUA BANDARI AKASHINDWA,AKATAKA KUBORESHA RELI AKASHIDWA
ile dholuba ukichanganya na umli hakili itakua imepata mushkeli kidoogo!Kwa mwezi huu dr Mwakyembe amefanya haya machache tuu.
Kwa msisitizo naandika kwa herufi kubwa
LISU ASIWE MGOMBEA WA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA KAFUTA CHAMA WA WANASHERIA TANGANYIKA...AMESHINDWA.
AKATAKA UCHAGUZI UAIRISHWE AKASHINDWA.
AKAPELEKA KESI MAHAKAMANI KUBADILI VIFUNGU VYA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA WATU WASIOE BILA VYETI VYA KUZALIWA...AKASHINDWA....HUYU NDIO WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA.
Kwa ushauri tuu Dr. Mwakyembe jimbo la Kyela lina changamoto nyingi ikiwemo kijiji chenu cha Ikolo hakuna hata lami ka deal nazo hizo issues na sio TLS babaa. Kama sumu haijakutoka kichwani urudishwe India tena.
MWAFWAAAA
Akili ya mwakyembe sasa naona imejaa bacteria na virusesKwa mwezi huu dr Mwakyembe amefanya haya machache tuu.
Kwa msisitizo naandika kwa herufi kubwa
LISU ASIWE MGOMBEA WA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA KAFUTA CHAMA WA WANASHERIA TANGANYIKA...AMESHINDWA.
AKATAKA UCHAGUZI UAIRISHWE AKASHINDWA.
AKAPELEKA KESI MAHAKAMANI KUBADILI VIFUNGU VYA TLS...AKASHINDWA.
AKATAKA WATU WASIOE BILA VYETI VYA KUZALIWA...AKASHINDWA....HUYU NDIO WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA.
Kwa ushauri tuu Dr. Mwakyembe jimbo la Kyela lina changamoto nyingi ikiwemo kijiji chenu cha Ikolo hakuna hata lami ka deal nazo hizo issues na sio TLS babaa. Kama sumu haijakutoka kichwani urudishwe India tena.
MWAFWAAAA
Ha ha haaaaaaa aiseeehuku nyuma ALITAKA KUFA AKASHINDWA
ALITAKA KUTAJA UHUSIKA WA JK KWENYE RICHMOND AKASHINDWA
ALISEMA ATAMFUNGULIA LOWASA KESI ZA UFISADI AKASHINDWA
ALISEMA ANGEMFUNGA MASOGANGE AKASHINDWA,ALITAKA KUPANUA BANDARI AKASHINDWA,AKATAKA KUBORESHA RELI AKASHIDWA
kweli nimeamini ule msemo wa "AKILI NI NYWELE", sasa kwakuwa siku hizi ana nywele bandia kutokana na zile original kunyonyoka, kwahiyo msimshangaeHaya yametokea baada ya ile sumu aliyowekewa.