Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hizi Kanuni nilizisoma jana twitter nikabaki kujiuliza hii nchi inakwenda wapi.
No 9 yeye yuko juu ya sheria.Kwa upande wangu naona haina tatizo ,
namba 1 wahanga watakua Bongo fleva na Bongo movie.
Namba 9 Mkuu anahusika.awe makini au labda kama analindwa na sheria nyinginezo.