Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 6,145
- 2,766
Waulize waliojiunga kwny Serikali ya Umoja wa kitaifa
Tangu wameunganishwa kwny 'Gridi ya Tozo' ushaskia wanauponda Muungano au Mapinduzi matukufu?
Akili za kuambiwa…
Mimi simuulizi mtu , mimi yaliyonifika ninayajua , Na wala siupondi Muungano wala Mapinduzi ninaelewa vizuri kuwa kulikuwa Hakuna Mapinduzi ni uvamizi wa Nyerere. Majeshi ya kutoka Tanganyika yalikuwa mitaani tukiwaona vizuri . Haramu haidumu . Hao ACT wamo katika mapambano Na kila mtu kwa njia yake.
Aluta continua