smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,977
- 3,066
Hata km Mwinyi aliua ni ndugu zake aliwaua ! na ndg zake hawakuhusu chochote usijipendekeze, sisi weusi ndo tuli/tuta muhukumu siyo waarabu! hata km alifanya. ni ili ndg zake wengi waishi kwa usalama!Hata afanye vipi, Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi Na mauwaji ya watu yalifanywa Na Hakuna mtu ameshitakiwa kwa mauwaji.
Aelewe
4:93
وَمَن يَقْتُلْ مُؤْمِنًۭا مُّتَعَمِّدًۭا فَجَزَآؤُهُۥ جَهَنَّمُ خَـٰلِدًۭا فِيهَا وَغَضِبَ ٱللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُۥ وَأَعَدَّ لَهُۥ عَذَابًا عَظِيمًۭا ٩٣
And whoever kills a believer intentionally, their reward will be Hell—where they will stay indefinitely. Allah will be displeased with them, condemn them, and will prepare for them a tremendous punishment.
— Dr. Mustafa Khattab, the Clear Quran
tunachoangalia ni nia na sababu za yeye kufanya ivo! km unadhani tutamshitaki kwa ajili ya hao mamluki mliowatuma watuuue na kutumaliza mnajidanganya ndo kwaanza tunampa uenyekiti!
Quran yenu kaeni nayo wenyewe hatuna muda na Nabii muuza watumwa huyo! tena ametuuza halafu unatutolea nukuu zake bila aibu!! kwanza tuna mtaka mpaka leo! aje ajibu Mashtaka ya kufanya watu weusi watumwa!
Sasa jamani hell! ya waaarabu-wagiriki jamani inatuhusu nini sisi weusi??? Nyie mliua watumwa wangapi?? na huyo mtume wenu?? tena alijua weusi tunakufa lkn hatukutetea!! ndo kwaaanza na yeye alimega kidogo.
kwa hiyo nyie hamuendi helll!! ila weusi??? yaani Huyo mungu wenu pia mbaguzi tu km nyie wanae! siku akija huyo mungu wenu ajue kabisaa ana cha kujibu tutamshitaki kwa ubaguzi/utumwa!
Yaani nina hasira na huyo wenu MMSW!! siku akija ni Bakora tu!! hivi anakuja lini nikae tayari! pale ubungo? najua hela ya kupanda ndege atakuwa hana! mkuu akija niite!