Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

Ndo maana nasemaga nyie sometimes ni wadhaifu sana yaani hao waarabu wanawagombanisheni kijinga sana!! na waroma Hiyo Rome ndo imeanzisha uislam, na ndo imeanzisha ukristo ili mpigane wao wanyonye!!

Waarabu/Islamu na Waroma/kristu lao moja woote walishiriki biashara ya watumwa kwa kasi za ajabu sana! ni mtu na mjomba wake!! kamwe mnajisumbua tu!!

hata hao wanao sema haya/wasikilizaji maskini wa Mungu hawajui kitu si unaona walivo choka mbaya! na wewe sidhani ni km wao! jamani angalia weusi wenzetu walivo jichokea wanajua nini hao!

Kwa sababu hao siyo waarabu nawasamehe bure! maana hao hawajui kitu Kwanza VAT siyo Vatican, wamedanganywa na waarabu ina maana hawakusoma!hata biashara ya watumwa hawaijui!

Kwa hiyo weye Muarabu Mbaguzi wa karne umeona uwaweke hapa waafrica ili iweje??? weka ndg zako waarabu/wa pemba!! Kamwe sitagombana na ndg yangu unajisumbua tu!

zaidi ntamuelimisha tu! baaasi! yaani huyo hata km ataninyea shega tu! manake hajui anacho kifanya mlimteka Madrasa mkamjaza ujinga huo! si unaona walivo! Dini za watumwa tu hizo.kwani unadhani hatujui!

kwa akili yako finyu hiyo ukaweka waafrika wenzangu ili tupingane wenyewe kwa wenyewe! nyie mkae pembeni??? mbinu za kizamani sana hizo!! siku hizi letu ni moja USA, CANADA UK NK! Letu ni moja ni utashangaa!

kawaambie hao baba zako kuwa Miafrika imejanjaruka haitaki Vatican wala kuisikia Macca!

 
Hussein Mwinyi kwa wale wanaomjua ni mfanyabiashara first and foremost ; siasa kwake ni chombo cha kufanikisha malengo yake!! Business interests zake zinaangaliwa na mdogo wake Abdallah Mwinyi; kama vile kule Kenya Muhoho anavyoangalia business interests za rais Uhuru Kenyatta na huko Zanzibar ni hivyo hivyo!!
Duh ndio maana kumekuwa na utitiri wa maduka kila kona , kila eneo la wazi linajengwa mpaka viwanja vya mpira vinageuzwa sehemu za biashara.

Jengine ni kama Jussa alivyosema watu kupewa tenda kienyeji bila kutangazwa ,mfano DNAta alivyokabidhiwa airport. Pia ujenzi wote unaoendelea hauna tenda .
 
Mimi naomba kama inawezekana, wote wangebakia huko huko tu! Halafu huku kwetu angeshuka Kiongozi Malaika kutoka Mbinguni, ambaye angetanguliza maslahi ya Taifa mbele badala ya maslahi ya chama chake, yeye mwenyewe, familia yake, marafiki zake, nk.

Yaani angepatikana Nyerere mwingine anayeamini kwenye ujamaa ulio changanyika na ubepari (kama ule wa China) ambao utatufanya Watanzania kujivunia nchi yetu, kuliko kitu kingine chochote kile.
Upo sahihi kabisa. Labda aje malaika aziongoze hizi nchi. Watanzania tuna shahada ya PHD ya kulalamika na kutoridhika.
 
Waarabu wazembe sana kuandika!! sasa ona unaweka mijivideo mireeefu wkt ni upupu mtupu! hakuna la maana kwa kuwa watu wenyewe hao kuzungumza hawa jui! wana ropoka ropoka tu!
 

Attachments

  • VID-20220630-WA0052.mp4
    2.9 MB
Mtalalamika tu kama kawaida yenu. Huwa hamuoni mazuri ya marais na jitihada wanazofanya usiku na mchana.
Kuna mazuri zaidi ya kuuuliwa Mzee wako , ndugu yako Na wengine kutiwa vilema ili Bwana mkubwa awekwe madarakani kwa nguvu? Haya ndiyo mazuri sana
 
Kuna mazuri zaidi ya kuuuliwa Mzee wako , ndugu yako Na wengine kutiwa vilema ili Bwana mkubwa awekwe madarakani kwa nguvu? Haya ndiyo mazuri sana
Ndo ujue walipo sema ''mshahara wa dhambi ni mauti'' walikuwa hawatanii mlivyo wafunga minyororo waafrica weusi na kuwauza km bidhaa mkawalimisha mlidhani mtakuwa ivo milele!!

kibao kimegeuka sasa mnalalama na bado.tena mshukuru sana hao viongozi ni waungwana lkn siku akija kichaaa!! nakwambia mtalia pooo!
 
Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.


Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya Kikwete, makamu wa kwanza wa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania dkt Bilal nk.

Barabarani ni mabango na matangazo ya kutosha ya live kuelezea uwepo wa tukio hilo.

Ingawa si jambo la kushangaza viongozi wa Zanzibar kufanya jambo kama sababu lilishawahi kufanywa huko nyuma ila kinachowashangaza baadhi ya watu ni ile kauli ya mh. Mwinyi kujipambanua kwa kubana matumizi.

Mabango na dhifa kubwa kama hiyo ni kwa muktadha upi ambao umeonyesha umuhimu kuandaliwa hata kama si pesa ya serikali?.

Pamoja na yote kuna kitu cha kujiuliza na ambacho Dr. Mwinyi amekiweka wazi kuwa, Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia yupo karibu sana naye hasa katika uongozi wake na mustakabali wa Zanzibar na wanawasiliana kila wakati kupeana updates.
Lazima ujue Mwinyi hapo amekuja kukusaidieni muamke sio mnakalia Urojo tu
 
Hussein Mwinyi kwa wale wanaomjua ni mfanyabiashara first and foremost ; siasa kwake ni chombo cha kufanikisha malengo yake!! Business interests zake zinaangaliwa na mdogo wake Abdallah Mwinyi; kama vile kule Kenya Muhoho anavyoangalia business interests za rais Uhuru Kenyatta na huko Zanzibar ni hivyo hivyo!!
Ulitaka wawe masikini kwa kushindwa kugawana majukumu kama nyie?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom