Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi amteua Boss mpya ZECO

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
2,201
5,584
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Haji Mohamed Haji kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO).

Kabla ya uteuzi huo Haji alikuwa ni Mshauri Elekezi wa Kujitegemea, uteuzi huo unaanza leo May 22,2024.

1716418075135.png
 
Mbona mtu aliye teuliwa inaonekana ni ndugu tu, Wala sio mhandisi, watu wanaokotana majalalani huko na kupeana vyeo
Kwani ni wahandisi tu ndio anaeweza kufanya kila kitu?

Mbona rais sio mwandisi na mambo yanaenda vizuri kuliko angekuwepo mhandisi??

Kwanza kila mtu ni muhandisi wa maisha yake hilo ulielewe
 
Back
Top Bottom