kwisha kazi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 690
- 321
Basi kaa kimya!Na ukileta fyoko tuna......l.o.f.a!Hilo hakuna asiyelijua hata lubuvaa analijua
Basi kaa kimya!Na ukileta fyoko tuna......l.o.f.a!Hilo hakuna asiyelijua hata lubuvaa analijua
Sasa tokea uzizoee hizo propaganda mbona chagadema huna chako tokea kipindi hicho!?Propaganda uchwara tumeshazizoea
Utakufa ukingojea l.o.f.a!Kamuulize kk atakwambia au kiongozi wa upc au kanu
Mbona watanzania wanasema ukawa hawana msimamoKwa maslahi ya watanzania
Ila tambua kuwa wapiga kula c wana ccm pekeyake.Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
CCM KWISHA , CHADEMA OUT AND KUOZAAAA
Ma l.o.f.a na makosaji hayo wala si ya kuhangaika nnayo ndg yangu.wembe ni ule ule...upinzani lazima wanyooke!
Mwenye macho haambiwi tazama. ...Ebu tupatie ukweli wako kiongozi
Naona bado umevikwa kitambaa cha kanikiIla tambua kuwa wapiga kula c wana ccm pekeyake.
Weka uchama pembeni, kiongozi wa sasa ni sahihi kwa wa TZ-kama na ww ulikuwa mpigaji dili pole sana.
Kwa cc watu wa chini-hakuna madhara yoyote yale.
Kutoa magufuli kwa sasa unahisi nani anafaa kuongoza hii nchi??
"Poor politics."
Hapo kuna hoja gani ya kumtetea zaidi kuona mmeandika uharo baada ya kutoka ndotoniUmeishiwa hoja badala ya kujenga hoja kutetea hoja yako naona unaweweseka
Akili yako hapo ndio imegotaHapo kuna hoja gani ya kumtetea zaidi kuona mmeandika uharo baada ya kutoka ndotoni
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ww hata si wakutupa tabu sisi kamba yenyewe mguuni haijakutoka!
Kama ilivyogota kwakoAkili yako hapo ndio imegota