Mwaka mmoja CCM kwisha

Hiyo ndiyo kawaida yenu anayesema ukweli ni mnywa viroba,lkn ukweli mnaujua kuwa ccm sasa imebakia lumumba tu
Umesahau jambo moja tu kuhusu CCM kwamba ndicho chama tawala ktk nchi hii ya Tanzania hadi uchaguzi ujao.
 
Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Hahahaha UWONGO
 
We ndio lofa kweli! Tanzania upinzani ulishakufa tangu Dr Slaa alipoondoka!! Labda huko kwenu "Nsumbiji"
 
Tatizo ni kwamba hakuna chama mbadala. Ikiondoka CCM chama gani kitatawala? Kutakuwa na ombwe la uongozi na nchi itaingia katika misukosuko. Watanzania siyo wajinga. Wakiona chama mbadala bila shaka watakipa madaraka mara moja. Tuweni na subira!
 
Akili ile ile ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti
 
Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Mtani naona unaandika bila break.
 
Back
Top Bottom