Maendeleo jimboni: Juhudi za Mbowe ni za waziwazi

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,158
9,239
Juhudi za mheshimiwa mbowe zinaonekana waziwazi.

Maeneo yote ya Machame, Masama, Kibohehe roo yanapitikia vizuri mno kutokana na juhudi za mbunge Mh. Mbowe

IMG_20161226_161453.jpg

IMG_20161226_154728.jpg

IMG_20161226_151640.jpg
 
Duh sasa huo ndio udandiaji wa hali ya juu. Hiyo Badget ya kujenga hizo barabara kazitoa wapi, na hao contractor aliwapa tenda yeye. Nadhani hata huo upanuzi wa Barabara ya kutoka Arusha hadi Himo itakuwa ni juhudi zake hiyo mikoa miwili ni ngome ya chama chake.
 
Mafanikio ya mbunge ndio mafanikio ya serikali na kinyume chake.wote wanajenga
nyumba moja na hawawezi kutenganika.Na ikitokea wakatenganishwa basi hiyo nyumba lazima ianguke au idorore.Hivyo wabunge na wenye dora wanapaswa kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa wana wa nchi na maendeleo yakipatikana ni pongezi kwa wote( mbunge na wenye dora)
 
Acheni wivu wa kike , kama ni juhudi za serikali basi Tanzania mzima ingekuwa na miundombinu bora kama kasikazini, nenda lindi,kigoma shinyanga uone kama wanamiundombinu kama ya mikoa ya kasikazini
Hakuna jipya alilofanya zaidi ya kulete nagari 2 ya kubebea wagonjwa,gari moja la kuzolea taka na vitanda kadhaa kwenye hosptl ya wilaya.
Ndani ya zaidi ya miaka 10 ya ubunge wake.

Hizo barabara ni juhudi na athari za Jk. Mbowe hapo hana lolote.

Leo jimbo la Hai maji ni ya mgao,umeme haueleweki ni mgao au nini...
Jimbo liko kama halina muakilishi
 
ni mbunge wangu hongera zake anajitahidi 2020 ndo mbunge tena wanaomchukia wanye
 
Ndio faida ya kuwa na mbunge anayejua kazi yake ya kuishauri, kuiwajibisha na kuisimamia serikali, siyo mibunge mingine ya kijinga kabisa ikifika bungeni inageuka kuwa upande wa serikali na kushindwa kuisimamia na inabaki kupiga makofi hata kwa mambo ya kijinga yanayoletwa na Serikali ndani ya bunge.
 
Hizo in juhudi za serikali kuwahudumia wananchi wake Mbowe hana ubavu huo
Mafarisayo Mshakuja
Ubungo / Kibamba full kumlaumu Mnyika (before Separation) eti kashindwa kuleta Maji kwq Mbowe mnakuja na Povu Mkia Juu kama Ma Dog Mwitu
 
achen uchawi...kwan majimbo mengne ambayo hayana maendeleo nikutokana na juhudi za mbunge au serikali?na kwanin tuna wabunge majimbon kwetu?mbowe hongera sana kwa juhudi zako
Well said!!
 
Ndio faida ya kuwa na mbunge anayejua kazi yake ya kuishauri, kuiwajibisha na kuisimamia serikali, siyo mibunge mingine ya kijinga kabisa ikifika bungeni inageuka kuwa upande wa serikali na kushindwa kuisimamia na inabaki kupiga makofi hata kwa mambo ya kijinga yanayoletwa na Serikali ndani ya bunge.
....Na kufanya kazi ya mawaziri-kujibu hoja za wapinzani huku wakisahau kilichowapeleka bungeni!
 
Hakuna jipya alilofanya zaidi ya kulete nagari 2 ya kubebea wagonjwa,gari moja la kuzolea taka na vitanda kadhaa kwenye hosptl ya wilaya.
Ndani ya zaidi ya miaka 10 ya ubunge wake.

Hizo barabara ni juhudi na athari za Jk. Mbowe hapo hana lolote.

Leo jimbo la Hai maji ni ya mgao,umeme haueleweki ni mgao au nini...
Jimbo liko kama halina muakilishi
wivu huu unatoka wapi, wabunge wenu wa ccm wanatia aibu wanayoyafanya
 
Back
Top Bottom