Mwaka huu natamani kuoa

Mwaka huu natamani kuoa

Kila la kheri. Tunakuombea upate mke mwema... Chonde chonde, kwenye michango ya arusi tusionane wabaya, hali ya kipesa ni ngumu... Ila urafiki wetu udumu kama timu kali zaidi ya ndimu...
michango mambo ya kizamani hayo lazima twende kisasa
 
Sizana kama kuna MTU atakuombea sababu umetaja jina LA shetani mweusi...eti anaombewa labda kwa ubaya.
 
All the best dearest brother God is upon you to accomplish your mission

Hopefully things gonna be well
 
Back
Top Bottom