Jambo la ndoa ni jambo jema, Mungu akujalie na akupe ujasiri huo .
nakushauri,
1.usiwape nafasi waseja/WASIOPENDA NDOA KUKUSHAURI-watakupotosha
2.wasikilize WALIO KATIKA ndio
3.usianze kufikiria matatizo ya ndoa BALI mafanikio ya ndoa. (Matatizo ni jambo la kawaida)
4.usianze KUTAFUTA mchumba wako alikuwa na nani ,hii itaanza kukupa FIKRA mbaya BALI FIKIRIA MAAMUZI yake ya sasa.
5.Usifuate TABIA za wadada wengine hapa mjini ukadhania na wako atakuwa hivyo
6.Amua bila kujali MATOKEO YA ndoa yako (jiulize ,kaka baba yako angeanza kufikiria MATOKEO YA ndoa kwa negativity, usingepatikana)
KARIBU ktk ndoa ,karibu ktk ustaarabu ,karibu ktk jumba la FURAHA!