Not really, plus, I don't think he who wrote it gets it either....Lol
kwi kwi kwiiiiii, atarudi soon kutueleza ni nini alimaanisha maana wengi tuko solemba, asijeakawa anatutukana kwa kikabila chake!
Not really, plus, I don't think he who wrote it gets it either....Lol
kwi kwi kwiiiii, mbavu zangu YY,
kwi kwi kwiiiiii, atarudi soon kutueleza ni nini alimaanisha maana wengi tuko solemba, asijeakawa anatutukana kwa kikabila chake!
Masaka,
Tanzania is (supposedly) still a republic, not some backwater fiefdom token garland for the landed emerging aristocracy to be taken as booty at the will and whim of some politburo apparatchik demigod and their scheming hanger-ons posse in which you so crave inclusion.jamani hiki kiinglish cha wapi?
Asante kwa kutafasiri maana si mchezo!aliniacha kwenye mataa ya UBUNGO!Mabeberu wa Magharibi.
Ni majina wanayotumia kuelezea vikundi mungu-mtu vya Utawala vya Vishoka wa Urusi.
Yanabebe kejeli juu Wakomonisti.
Pundit ni kabaila wa kibepari aliyebobea kibeberu.
Politburo is short for Political Bureau. The term originates from the Russian Politicheskoye Buro, which contracts to Politburo. A Politburo is the executive organization for a number of political parties, most notably for Communist Parties:From WikipeadiaMabeberu wa Magharibi.
Ni majina wanayotumia kuelezea vikundi mungu-mtu vya utawala vya Vishoka wa Urusi.
Yanabebe kejeli juu Wakomonisti.
Pundit ni kabaila wa kibepari aliyebobea kibeberu.
Mabeberu wa Magharibi.
Ni majina wanayotumia kuelezea vikundi mungu-mtu vya utawala vya Vishoka wa Urusi.
Yanabebe kejeli dhidi ya Wakomonisti.
Pundit ni kabaila wa kibepari aliyebobea kibeberu.
hahahahah!hii hatari hata UK na USA sijawahi kukiona!
As my eminent friend Kitila Mkumbo would have it, lets get back to the subject.
Kuanzia sasa Kiswahili, you guys can't be serious.Mnaninyima sehemu ya kujifunza artful expression katika kingwini.
Mbona kinaeleweka?
Tumia dikshioneri
That was very Churchilian my friend....not so Shakesperean....
Hii CCM akitoka JK nani atachukua pale juu? maana naoan woote hakuna msafi kama woote ndio hawa hawa wanalala juu ya mikuki bagamoyo ili tu........
Usijali mkuu tukate issue....Kitila upoo?As my eminent friend Kitila Mkumbo would have it, lets get back to the subject.
Kuanzia sasa Kiswahili, you guys can't be serious.Mnaninyima sehemu ya kujifunza artful expression katika kingwini.
Sikatai kama huna madoa ya kifisadi kama ya wale waNEC basi inshallahAkitoka JK nitachukua MIMI
Kuna nini tena mama?Mswahili kafanya nini?Hollo kaa mbali na huyo Mswahili, ni mtu hatari sana kwa jamii, Mswahili nimwage radhi hapa?
Too bad, I am still aiming for Dickensian!
You guys just had to kill the relevant subject matter with all this linguistic distractions and preoccupation huh?