Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

This is very true mkuu,..mara zote_narudia mara zote kwenye mijadala kama hii kina Kiranga,Bwaxxlo,Introvert,Moshdar & co...huwa wanaibuka na ushindi wa kishindo...hawa kina sisi ni kwamba hatuna logic kwenye haya mambo tunayoyaamini...zaidi tunaamini tu sababu ya ama mazoea au ni vitisho vya kuchomwa moto siku tukifa ndio vinatufanya tuamini.

Na ukimsoma Kiranga et al kwa umakini zaidi utagundua kuna mambo mengi sana ya kujifunza. Sasa watu wengi hawana uelewa wa elimu mbalimbali let alone philosophy and religion...Kiranga akiwapiga lecture ndogo tu wanapwaya na kukimbia hoja...one thing I like about Kiranga ni kuwa si mchoyo wa elimu manake hutoa sources za hoja zake. Na ukifanya utafiti kwa nini watu wanasali utashangazwa na majibu yao na the most interesting observation ni kuwa wengi wao watalalia "vitabu vitakatifu" kujibu hoja zao, vitabu ambavyo ni contradictory sana...
 
Ikiwa jambo rahisi kama kuokota hela linahitaji chanzo (pengine mtu aidondoshe) na jambo complex zaidi kama ulimwengu ndiyo linahitaji chanzo almost infinitely more so, then utakuwa unasema kwamba complexity does not happen on its own. It has to be created.

Sawa?

Ukishasema kwamba complexity does not happen on it's own, and the more complex something is the more reason that it has to be created, then it follows kwamba mungu muumba ulimwengu ni complex kuliko ulimwengu aliouumba na definitely complex kuliko noti na shilingi 500 na mwanadamu.

Kwa hiyo, kwa kanuni yako hiyo hiyo ya "the more complex a scenario is, the more reason it was created" utakuwa unasema hata mungu naye amekuwa created, kwa sababu yeye ni complex zaidi ya ulimwengu.

Ukisema mungu hakuwa created, unavunja kanuni yako ya kwamba complexity must be created.

Na kama mungu, na complexity yake yote hiyo, hakuhitaji kuwa created, basi chance ya mwanadamu kutohitaji kuwa created ni kubwa zaidi, kwa sababu mwanadamu ni less complex than god.

After all, ni rahisi zaidi kuona kibox cha kiberiti kimekaa juu ya visoda kikawa kama kigari by chance, bila kuwa designed by intelligence creation kuwa hivyo (less complexity) kuliko kuona Jumbo Jet limejitengeneza lenyewe.

Mnaosema kwamba mungu hakuumbwa ila binadamu hawezi kutokea bila kuumbwa ni kama vile mnasema Jumbo Jet (mungu, more complexity)limejitengeneza lenyewe, halikuumbwa, lakini hiki kibox cha kiberiti kilichokaa juu ya visoda na kuwa kama kigari ( binadamu, less complexity) ni lazima kiwe kimewekwa vile na muumbaji, hakiwezi kuwa kimepeperushwa na upepo tu.

Utasemaje Jumbo Jet limejiumba lenyewe lakini kigari cha kiberiti na visoda hakiwezi kujiumba chenyewe?

Bahati mbaya sana our sense organ zote zina mapungufu makubwa kabisa kwa hiyo kutumia sense hizo kutafiti juu ya uwepo wa mungu au kutokuwepokwake ni sawa na kujidanganya bure mf , jaribu kutumia macho kutazama angani utagundua kwamba anga ina rangi ya blue some times lakini je ni kweli anga ni blue?. ndio maana wanasayansi wakagundua darubini kusaidia kuona mbali.

Mf mawimbi ya sauti huweza kusikika kwa uzuri zaidi kwa kutumia mawimbi ya Radio, japo masikio tunayo which means our sense organs are not 100% perfect to complehend every thing. Kushindwa kwa mifumo yetu ya fahamu kukubali kwamba mungu hayupo haina maana kwamba ni kweli hayupo bali inatokana na mapungufu ya organs hizo.

Utasemaje Jumbo Jet limejiumba lenyewe lakini kigari cha kiberiti na visoda hakiwezi kujiumba chenyewe?[/QUOTE]

Ukishasema kwamba sense organs zetu zina mapungufu kujua uwepo wa mungu una maana kwamba hatuwezi kujua kama mungu yupo kwa kutumia sense organs.

Ni kweli kwamba sense organs zetu kushindwa kupata ushahidi wa uwepo wa mungu hakumaanishi kwamba mungu hayupo.

Lakini hili halimaanishi kwamba mungu yupo pia.

Narudi tena kwenye Wachagga wangu wenye miguu mitatu wanaokaa juu ya mlima Kilimanjaro.

Nikikwambia kwamba kushindwa kwa sense organs zetu kuwa na ushahidi kwamba wapo hakumaanishi kwamba hawapo.

Na wapo, wanakaa juu ya mlima Kilimanjaro utaamini?

The argument is the same.

Ukikataa kwa nini uwakatalie Wachagga wenye miguu mitatu na umkubalie mungu?
 
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.

Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....

Taratibu aisee, mbona kashfa?
 
This is very true mkuu,..mara zote_narudia mara zote kwenye mijadala kama hii kina Kiranga,Bwaxxlo,Introvert,Moshdar & co...huwa wanaibuka na ushindi wa kishindo...hawa kina sisi ni kwamba hatuna logic kwenye haya mambo tunayoyaamini...zaidi tunaamini tu sababu ya ama mazoea au ni vitisho vya kuchomwa moto siku tukifa ndio vinatufanya tuamini.

Logic na imani za kidini pamoja na zile za kichawi haviendani kabisa.

Na ndiyo maana utakuta baadhi ya hao waumini wa dini kukitokea janga wanaanza kunena 'oooh mungu mkubwa', mara sijui ni 'mapenzi ya mungu', au sijui 'mungu hakosei' na upuuzi puuzi mwingine kama huo.

Sasa ukitumia logic kwenye hali kama hizo unaweza ukaishia kudata kabisa. Kwa mfano tu, ni mapenzi gani ambayo yataruhusu janga la kukatika miguu au mikono limtokee mtu umpendaye? Does that even make sense? Even my sixth grader at home can see through that kind of BS.

Ndiyo maana kuna religious dogma. Maana ukiruhusu tu watu kuanza kuhoji hoji utabaki mwenyewe kwenye hiyo imani yako.
 
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.

Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....

ipo siku utakufa ndo utakuja jua ubaya wa maneno yako
 
Okay, ni kweli kabisa, kwamba sina akili.

Kwa nini Mungu ameumba watu wengine wana akili wengine hatuna akili?

Na kama ni bora kuwa na kilema cha kiungo kuliko kuwa na kilema cha akili kama mimi, ilikuwaje Mungu akaniumba mimi na viungo kamili na kilema cha akili ilhali akijua kabisa kwamba ni bora cha viungo kuliko cha akili? Au hakujua? Manake wakati ananiumba mimi bila akili apparently haku realize hicho kitu. Yani Mungu wako aliyekuumba ni ignorant kuliko wewe, ama?
endelea nakukubali sana haiwezekani wema wote tunaoambiwa kuhusu mungu halafu awaumbe wengine wateseke.Au jiulize kitu kuhusu yesu vipi mungu mwenye nguvu aongoze ukombozi kwa njia ya kujidhalilisha namna ike.Angali tunafundishwa mungu aweza kuiokoa dunia kwa pumzi tu.endelea kushusha nyundo.big up
 
sweetbaby;

Kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu, Biblia inasema hivi:

  • Mwanzo: 1:26 Mungu akasema, Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
  • 27 Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu akamuumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
  • 28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kitambaacho juu ya nchi.
Hili ndilo jibu lake. Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake na akampa mamlaka juu ya kila kiumbe kilicho hai kitambaacho juu ya nchi. Kwa hiyo, Mwanadamu anaonekana kuwa bora na atawale juu ya kila kilicho hai kwa kuwa Mungu aliamuru iwe hivyo.
Je, Mwanadamu aliumbwaje na anatokana na nini?

  • Mwanzo: 2:7 BWANA, Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; akawa nafsi hai.

Hivyo basi, kwa mtoa mada yeyote yule ambaye haamini uwepo wa Mungu, anatakiwaq atoe evidence ya kuonyesha pia kwa nini binadamu pamoja na kuwepo kwake, ana miguu miwili, na si minne au nusu mguu. That way atakuwa angalau anatuelekeza kwenye kukikubali kile ambacho yeye anaamini kuwa ni kweli
na kwanini mungu huyo kwa udongo tofauti awaumbe watu wasiofanana.je alitumia udongo tofauti tofauti.pili kwanini wengine wazima wengine vilema ina maana ana upendeleo? wengine wameandika hapo juu eti kudhihirisha nguvu zake hii una maana mungu ana mikwara.
uwiano haupo kabisa halafu wanaoteseka na wenye shida ni wengi kuliko walio na neema na tunaona kabisa kadiri watu wanavyozidi kuomba dunia ndio inazidi kuchafuka.labda kuna upungufu katika utendaji wa huyu mungu ambao wenye dini zenu mmezitafsir kishabiki.angalau sayansi ina ukweli mwingi kuhusu binadamu hasa upande wa biology.
point yangy ya mwisho mungu aweza kuwepo na asiwepo vilevile.big up kiranga
 
Chochote kinachofanywa na viumbe,duniani ujuwe ipo nguvu nyuma yake.Kama ingekuwa hakuna nguvu hiyo,Ambayo ndiye Mungu muweza,yasingetokea hayo.Unazaliwa bila kujijuwa,bila wewe kuchagua uzaliwe wapi,na uzaliwe kabila gani,rangi gani,jinsia gani,urefu gani,akili za namna gani.Na pia huwezi kuchagua kufa au usife,Wakati ule anaoutaka huyo aliyekuumba ndio unakufa,bila wewe kupanga siku ya kufa,wala kuijuwa.
Ikiwa una akili zilizotimia,na zinazofanyakazi,kufa kwa kiumbe chochote,ikiwa pamoja na binadamu,ni somo tosha la kujuwa kuwa yupo anaendesha maisha yako,bila ya hiyari yako,ambaye ni Mungu,muweza,asiyeshindwa na chochote.Ukiweza kujiondolea expire date yako,usife,hapo unaweza ukasema hakuna anayendesha maisha yangu.Lakini hujui mda,wala siku,wala saa,wala eneo gani,mji gani,na utakufa vipi.kwa ajali au ugnjwa,au usingizini au utaanguka ghafla,ujuwe yupo Mungu,anayeyafanya yote hayo.
kuzaliwa na baba mpogoro ni jibu tosha kwamba kabila lako lajulikana tayari, na pia dini yako maana tunazifuata kwa wazazi.kama ni kufa hata mbwa wanakufa.hata asili ina tabia zake
kushindwa kujua utakuwa nani hakutoshi kuthibitisha uwepo wa mungu.mimi naamini yupo na siamini kama yupo.naamini ila sio kama tunavyoambiwa ns vitabu vya kizungu na kiarabu.siamini kama yupo kulingana na mwenendo mbovu wa dunia.ni kama imemshinda hivi.shika imani yako
 
na kwanini mungu huyo kwa udongo tofauti awaumbe watu wasiofanana.je alitumia udongo tofauti tofauti.pili kwanini wengine wazima wengine vilema ina maana ana upendeleo? wengine wameandika hapo juu eti kudhihirisha nguvu zake hii una maana mungu ana mikwara.
uwiano haupo kabisa halafu wanaoteseka na wenye shida ni wengi kuliko walio na neema na tunaona kabisa kadiri watu wanavyozidi kuomba dunia ndio inazidi kuchafuka.labda kuna upungufu katika utendaji wa huyu mungu ambao wenye dini zenu mmezitafsir kishabiki.angalau sayansi ina ukweli mwingi kuhusu binadamu hasa upande wa biology.
point yangy ya mwisho mungu aweza kuwepo na asiwepo vilevile.big up kiranga

Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote atengeneze ulimwengu wenye mateso na maovu mengi kama huu?

Ina maana alishindwa kutengeneza mzuri zaidi?

Kama alishindwa ni kweli uwezo wake hauna mwisho?

Au hakushindwa ila hakutaka tu?

Kama hakutaka tu, ni kweli kwamba upendo wake hauna mwisho?
 
Logic na imani za kidini pamoja na zile za kichawi haviendani kabisa.

Na ndiyo maana utakuta baadhi ya hao waumini wa dini kukitokea janga wanaanza kunena 'oooh mungu mkubwa', mara sijui ni 'mapenzi ya mungu', au sijui 'mungu hakosei' na upuuzi puuzi mwingine kama huo.

Sasa ukitumia logic kwenye hali kama hizo unaweza ukaishia kudata kabisa. Kwa mfano tu, ni mapenzi gani ambayo yataruhusu janga la kukatika miguu au mikono limtokee mtu umpendaye? Does that even make sense? Even my sixth grader at home can see through that kind of BS.

Ndiyo maana kuna religious dogma. Maana ukiruhusu tu watu kuanza kuhoji hoji utabaki mwenyewe kwenye hiyo imani yako.

Watakwambia ujinga wa "the lord works in mysterious ways", which basically translates to "this is all made up bullshyt and the old fart who made it up died so long ago and did not anticipate your questions, we are winging it"

Wewe fikiria, kama wewe binadamu tu ambaye huwezi kutengeneza hata jicho tu you will go to the end of the world kutafuta organ transplant for your loved one, inakuwaje huyu mungu mwenye uwezo wote ashindwe kuwaumba viumbe wote at the very least wazaliwe kamili angalau?
 
Are you an atheist? Daah! umenifanya nihisi baridi.
Umehisi baridi kwa sababu toka mtoto umekuwa indoctrinated kuamini kinyume na niliyosema hapo.

Atheist? Well, I don't know, I would see myself as student of God. Nataka kumjua zaidi huyo Mungu. Duniani hapa tunajenga mahospitali tunatengeneza viungo vya bandia, tunatengeneza wheelchairs kuwasaidia walemavu, hatutaki ulemavu. Halafu Mungu anaturudisha nyunba, anaumba vilema! Hatoi ushirikiano. Yani sisi binadamu, kama alivyosema Kiranga kwa maneno mengine, tuna huruma kuliko Mungu, how come?

Taratibu aisee, mbona kashfa?
Kashfa ni pale unaposema Mungu anaumba vilema! Yani kafeli kazi yake. Halafu tunasema apewe sifa. Hiyo siyo kejeli kwa Mungu?

Au jiulize kitu kuhusu yesu vipi mungu mwenye nguvu aongoze ukombozi kwa njia ya kujidhalilisha namna ike.Angali tunafundishwa mungu aweza kuiokoa dunia kwa pumzi tu.endelea kushusha nyundo.big up
Imagine that.

Lakini more than that kuhusu huo ukombozi, ilikuwaje tukatekwa in the first place, Mungu alizidiwa makarama na shetani?

Maana unakomboa kitu kilichotekwa, potea, pinduliwa. Ilikuwaje tukatekwa na shetani na Mungu anaangalia tu, alikuwa kalala?
ujuwe yupo aliyekufanya uwe hivyo,naye ni Mungu.
Umejuaje ni Mungu?

Kama ingelikuwa ni nature,ndio kinachofanya kila kitu,kusingekuwa na ukosekenaji kama huo,kwa sababu nature hufuata asili ya kitu bila hicho kitu kubadilika.
Sio kweli kwamba kwenye nature vitu havibadilikil, au vinaumbwa hivyo hivyo. Mutation ni mabadiliko ya asili ambayo yamesababisha diversity ya viumbe ulimwenguni.

Huku kutofautiana kwetu kwa akili,rangi,jinsia,sura,urefu au ufupi n.k.Ndio ujuwe yupo anayeyafanya hayo,na ni muweza kuliko wewe,au yoyote unayemfahamu wewe.
Umejuaje?

Kama unaamini hakuna Mungu,basi jibadilishe ujigeuze unavyotaka wewe,uone kama itawezekana,kama umezaliwa Mwafrika,jigeuze uwe Mzungu.Kama ni mfupi jigeuze uwe mrefu.Kama huna maarifa,jigeuze uwe uwe na akili kushinda akili za waliopo dunia nzima,ukishindawa moja kai ya hayo,ujuwe yupo aliyekufanya uwe hivyo,naye ni Mungu.
Kwani nimesema mimi Mungu?

ipo siku utakufa ndo utakuja jua ubaya wa maneno yako
Nikifa nitajuaje ubaya wa maneno ilhali nimeshakufa?

Ipo siku nitakufa? Si tunafundishwa kwamba kila pumzi itaonja mauti, we hufi?
 
Imani huja kwa kusikia. Hivyo basi kuna wanaoamini kuna Mungu kwa sababu walisikia na kuna wanaoamini kwamba hakuna Mungu kwa sababu walisikia hivyo. Zote hizi ni 'Imani' Sii anaeamini Yupo au anaeamini hayupo anaeweza ku-proof nje ya dhana waliyopokelea yaani ''IMANI''.
.
 
Na nywele zina rangi nyingi, nyingine nyeupe, nyingine nyeusi.

Wewe sasa unasema kipara ngoto nacho ni rangi ya nywele.
 
Nywele ndio zina rangi nyingi tofauti, kwani kuna anaetaka ziwe rangi moja? Na sababu zake ni zipi? Kipara ni nyama ya ngozi na sii kwamba chenyewe ndio nywele.

Kama kipara (kukosa nywele) si rangi ya nywele wala nywele, basi pia kukosa imani si imani.
 
kuzaliwa na baba mpogoro ni jibu tosha kwamba kabila lako lajulikana tayari, na pia dini yako maana tunazifuata kwa wazazi.kama ni kufa hata mbwa wanakufa.hata asili ina tabia zake
kushindwa kujua utakuwa nani hakutoshi kuthibitisha uwepo wa mungu.mimi naamini yupo na siamini kama yupo.naamini ila sio kama tunavyoambiwa ns vitabu vya kizungu na kiarabu.siamini kama yupo kulingana na mwenendo mbovu wa dunia.ni kama imemshinda hivi.shika imani yako
Ndio ujuwe yupo anayeendesha maisha ya viumbe vyote,hakuna anayetaka kufa,hata mnyama pia hataki kufa,lakini Mungu,anaendesha maisha ya viumbe vyake,anafanya atakavyo.Hata wewe hutaki kufa ,lakini huna ujanja utakufa,kwa sababu yupo aliyekuumba,na anayeamua maisha yako.Mungu yup,hata www ukisema hayupo,ni sawa na kusema yule ana akli au yule hana akili,nani kaziona akili?Lakini twajuwa akili zipo,ila matendo ya mtu ndio yatakaotujulisha kama anazo akili au hana.Na hivyo hivyo,matendo ya Mungu tunayaona,ndio mana twasema Mungu yupo,miongoni mwa matendo hayo ni ni kifo cha kiumbe chochote,hakuna binadamu anayetaka kufa,na pia hajui atakufa vipi,tendo la kufa binadamu ndio ushahidi,miongoni mwa ushahidi kama Mungu yupo.Zuia asife yoyote ndani ya familia yako,ndio tutajuwa una uwezo.
 
Kama kipara (kukosa nywele) si rangi ya nywele wala nywele, basi pia kukosa imani si imani.
Wote wanaoamini hakuna Mungu,hawataki kufa,ikiwa hakuna Mungu mbona hamjiui,ili mkahakishe roho zenu zikitoka kama yupo au hayupo.Jiue ukahakishe kama yupo au hayupo,na kama hayupo fanya urudi uwajulishe watu kama hayuko.Wasema hakuna Mungu lakini kufa waogopa,wajuwa kama utakutana naye.
 
Hivi unaweza kutengeneza kitu kibovu ili kitu kizuri ulichotengeneza kiweze kuonekana? Toyota Motors watengeneza magari machache mabovu ili magari yao makali yapate utukufu! Si ndio wataharibu market ya magari mazuri? It does not make any sense whatsoever!

Okay, kwa hiyo tukiona vilema ndio tunamkumbuka Mungu, kwamba anatutisha kuwa atatugeuza vilema au ni vipi? Tukimwaga ugali atamwaga mboga, nothing short of laughable.

Na kama hivyo ndivyo, kwa nini amemtoa huyo jamaa kama mbuzi wa kafara ili sisi tupate fundisho, jamaa amekosa nini? Huyo Mungu anaetoa watu kafara mbona ana operate kama mchawi mchawi, kama wanaokamata innocent albino at random kuwatoa viungo ili kufikia malengo fulani. Hana huruma!

Na kama hivyo ndivyo, kamtoa jamaa kafara ili tumkumbuke Mungu, mbona the whole plan is not working? Nani anamkumbuka Mungu maisha haya kwa kuona vilema? Dunia imejaa madhambi na maasi, obviously his plan ain't working.

A man is accepted into a
church for what he believes and he is turned out for what he knows.

(Mark Twain)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom