Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Udadisi ni akili ya kibinadamu na binadamu kutamani kujua mwanzo wake na asili yake ni kawaida. Pole kwa wewe unae taka fact wakati unajua ni true Mungu yupo.

Wewe unajuaje mimi ninachojua?

Mungu ni Mungu wamtafutao kwa bidii wata mwona,

Wachagga wenye miguu mitatu ni Wachagga wenye miguu mitatu, wawatafutao kwa bidii watawaona.

KAMA KUNA MWANGA UJUE KUNA GIZA, kama kuna shetani ujue kuna MUNGU,

Na kama hakuna shetani? Umefuatilia thread kusoma nilichosema kuhusu shetani?

Mambo ya MUNGU na ya shetani ni nyuma ya upeo wetu,

Utajuaje hivyo? Umetumia upeo gani kujua kilicho "nyuma ya upeo wetu" whatever that is?

kubwa shetani anatumia wachawi na majini ambayo we waogopa

Kwa mtu ambaye unasema unajua ninachojua, naona hujui.

Mimi siamini kuwapo kwa mungu wala shetani, majini pia. Hivyo siwezi kuogopa kitu ambacho siamini kwamba kipo.

Mpaka hapo ushaonesha kwamba hujui ninachojua wala kufikiri.

Mungu hajidhirishi kama hao na hii kwa wasio na upeo wanapuuza na kupeza elewa kilajema hutoka kwa Mungu.

Bottom line, hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo.

Hakuna uthibitisho kwamba Wachagga wenye miguu mitatu wapo juu ya mlima Kilimanjaro.

Hivyo.

Kuamini mungu yupo ni sawa na kuamini kwamba kuna Wachagga wenye miguu mitatu juu ya mlima Kilimanjaro.
 
Da I like this kind of thinking & analysis .thumb up

That is hardly thinking, let alone analysis.

It is the collapse of structured thinking.

I rebuted that above.

You will do well to address my rebuttal.
 
God is omniscient, omnipresent and omnipotent. Ndio sifa zake kuu. Hahitaji Mwanadamu kutambua uwepo wake ili awe Mungu. Anasifa ya kuwepo kabla ya wakati hivyo anasifa ya alfa and omega. Hutenda kwa wakati wake na kwa vile hawajibiki kwa mwanadamu halazimiki kueleza kwa nini imekuwa hivyo. Ndio maana halazimiki kutoa maelezo kwanini kichanga hufa au kwanini wauaji huachwa waendelee kuua.

If this godhead is omniscient, omnipotent and omnipresent, is this godhead also omnibenevolent?
 
That is hardly thinking, let alone analysis.

It is the collapse of structured thinpking.

I rebuted that above.

You will do well to address my rebuttal.

Haha collapse of structure thinking?!u make me laugh.you are saying you rebutting what?and which one are you concurring?
 
Nakukubali kwa kuwa muwazi.

Basically unakiri kwamba ukichunguza sana, imani ya mungu ni wishful thinking tu, haipo based on any semblance of facts.

Lakini umekubali "fear of the unknown" i take over your rational reasoning.

Mtu anaweza kukuuzia insurance policy fake, kwa sababu ya uoga tu, ukakubali kuinunua kwa sababu unaogopa, huku unajua kwamba hii insurance policy ni fake.

Kuna siku nilikuwa ninapitia posts humu JF nikakuta umemwambia mtu akatafute kitabu kinachoitwa "The Lost Books of the Bible", nilikitafuta na kukisoma na nikagundua ni ukweli usiopingika kwamba biblia tunayoisoma "imechezewa" kwa makusudi kwa sababu wanazozijua hao walioichezea biblia.

Katika kusoma kwangu kile kitabu "The Lost Books of the Bible" nikagundua kwamba mwandishi anayakubali yale maneno yaliyoandikwa kwenye biblia ila anacholalamikia yeye ni kwa baadhi ya watu wa kanisa wa kipindi hicho kuamua ni kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye biblia kwa sababu walizozijua wao wenyewe.

Mimi ilifikia kipindi nilikuwa ninajiuliza kama yale yaliyoandikwa kwenye biblia yaliandikwa na manabii kweli au ni usanii ila baada ya kuona mwandishi amekubali yale maneno ya kwenye biblia yaliandikwa na manabii/mitume na ni genuine (kitu ambacho kilinipa moyo kusadiki kwamba Mungu yupo) basi mwandishi anasadiki kwamba Mungu yupo.

Unaonaje hili swala la mwandishi wa hiko kitabu kuona kwamba maandiko ya biblia ni genuine na tatizo la mwandishi lipo kwenye uchakachuaji wa biblia tu? Huoni kwamba mwandishi kuyaamini kwake maandiko ya biblia kunaonyesha kwamba Mungu yupo?

Uliorodhesha vitabu zaidi ya hiki na hivyo vingine nilivipitia japo ni juu-juu lakini sikuona hata kimoja kikisema kwamba maandiko ya biblia ni mambo ya kutungwa. Vitabu vyote vimekubali biblia ni genuine.

Hauoni kwamba uGenuine wa maandiko ya biblia unadhihirisha uwepo wa Mungu?
 
Namaanisha vyote.

Lets establish some fundamental ground rules.

Ni lazima kwa vyote (let's get mathematical for the sake of clarity, vyote = all the contents of the truly universal set) kuumbwa?

ok but mind u ktk hivyo vyote God is not included coz he is simply not among hivyo 'vyote'
 
Kuna siku nilikuwa ninapitia posts humu JF nikakuta umemwambia mtu akatafute kitabu kinachoitwa "The Lost Books of the Bible", nilikitafuta na kukisoma na nikagundua ni ukweli usiopingika kwamba biblia tunayoisoma "imechezewa" kwa makusudi kwa sababu wanazozijua hao walioichezea biblia.

Katika kusoma kwangu kile kitabu "The Lost Books of the Bible" nikagundua kwamba mwandishi anayakubali yale maneno yaliyoandikwa kwenye biblia ila anacholalamikia yeye ni kwa baadhi ya watu wa kanisa wa kipindi hicho kuamua ni kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye biblia kwa sababu walizozijua wao wenyewe.

Mimi ilifikia kipindi nilikuwa ninajiuliza kama yale yaliyoandikwa kwenye biblia yaliandikwa na manabii kweli au ni usanii ila baada ya kuona mwandishi amekubali yale maneno ya kwenye biblia yaliandikwa na manabii/mitume na ni genuine (kitu ambacho kilinipa moyo kusadiki kwamba Mungu yupo) basi mwandishi anasadiki kwamba Mungu yupo.

Unaonaje hili swala la mwandishi wa hiko kitabu kuona kwamba maandiko ya biblia ni genuine na tatizo la mwandishi lipo kwenye uchakachuaji wa biblia tu? Huoni kwamba mwandishi kuyaamini kwake maandiko ya biblia kunaonyesha kwamba Mungu yupo?

Uliorodhesha vitabu zaidi ya hiki na hivyo vingine nilivipitia japo ni juu-juu lakini sikuona hata kimoja kikisema kwamba maandiko ya biblia ni mambo ya kutungwa. Vitabu vyote vimekubali biblia ni genuine.

Hauoni kwamba uGenuine wa maandiko ya biblia unadhihirisha uwepo wa Mungu?

Nashukuru kwa kupitia kile kitabu. Kwanza kabisa kile kitabu ni basic sana na cha zamani sana, version yangu ilikuwa first printed ni ya 1926.

Process ya kupata realization si ya kuipata kwenye kitabu kimoja. Ni ya ngazi kwa ngazi, layer kwa layer kama layers za kitunguu kimoja kikubwa.

Layer ya kwanza ni hiyo ya kujua kwamba biblia hii ya sasa inayotumiwa na wengi imekuwa edited na watu, chiefly Constantine na maaskofu wake katika "Council of Nicea". Wakaamua nini kibaki na nini kiondoke, mara nyingine kwa sababu za kisiasa ili kuendeleza nguvu za utawala wa Roma.

Muandishi kukubali kwamba vitabu vimeandikwa na manabii ni layer nyingine. Kwa sababu nabii ni nani? Nabii si mtu? Sasa hawa watu si Wayahudi? Kama walikuwa na political reasons za kutaka kufanya world domination kwa nini wasitumie dini? Kwa nini wasiseme kwamba wana wa Israel ni taifa teule la mungu? Dini imetumiwa kama sehemu ya siasa iliyopewa utakatifu tu.

Ukizama zaidi katika historia ya dini utaona jinsi gani watu walivyotumia dini kutaka kuleta order kwanza. Bila ya woga wa mungu watu wangeuana sana kwa hiyo wazee ikabidi waanze kutisha watu kwa kuhadithia mizimu na mungu.

Ilipoonekana kuwa hili linawezekana, na watu kwa ujinga wa kutoelewa nature (radi, kupatwa kwa jua etc) waliogopa mungu, wazee hawa wakakaa na kuorganize dini, amri kumi za mungu na makanisa, wakateua wafalme waliobarikiwa na mungu, wafalme wakawa wana protect dini na dini ina protect wafalme. Ukiangalia Babeli,China, Misri, Wayahudi hadithi ni hiyo hiyo.

Mpaka George W. Bush kapigana vita ya Iraq kwa kutumia support kubwa ya the evangelicals.Alivyoanza actually aliiita "Crusade".

Kwa hiyo ukizama sana, ukisoma the canonical arguments for the existence of god.Utaona kwamba wanaosema mungu yupo hawana hoja, na wanaosema hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo maswali yao hayajibiki.

Hata hapa JF tu maswali yangu kibao hayajibiki.

Habari za dini na mungu ziliweza kuwachota watu enzi za ujinga, za kuambiwa "fanya" ukafanya bila uchunguzi wala uthibitisho.

Hizi enzi zetu za uthibitisho na habari, mungu kaanguka.

Kwa sababu watu washasema sana kwamba radi ni sauti ya mungu anapokasirika. Wanasayansi wakachunguza wakaielewa radi kisayansi bila kuhitaji "the god hypothesis". So on and so forth.

Kila tunavyozidisha maarifa ya kisayansi, ndivyo tunavyozidi kuona hizi habari za mungu ni kamba tu.

Na hata ile argument ya kusema mungu anahitajika kama "boogey man" ili kuwa keep watu in line inakosa nguvu, kwa sababu kuna ma Buddhist huko hawaamini mungu lakini wana a higher moral standard kuliko hata wanaoamini mungu wengine.
 
ok but mind u ktk hivyo vyote God is not included coz he is simply not among hivyo 'vyote'

You do not understand the truly universal set.

Ukishaanza kutoa exception kwamba mungu hayupo, huwezi kuwa absolutist kwamba vingine vyote lazima viumbwe.

Framework yako ishaanza na loophole ya exception.Universe yako imeanza na mbegu ya exception, huwezi kutegemea kwingine kusiwe na a similar exception.

Basically umekubali kwamba si lazima vyote viumbwe, kwa sababu umemtoa mungu katika kuumbwa.

Na ukishakubali kwamba si lazima kwamba vyote viumbwe, ushakubali kwamba si lazima hata mwanadamu na vingine vyote viumbwe pia.

God is an ugly conundrum, created by human minds. This explains why the god idea is so ugly, full of holes, inconsistent and fallacious.
 
Haha collapse of structure thinking?!u make me laugh.you are saying you rebutting what?and which one are you concurring?

It is not "collapse of structure thinking", it is "collapse of structured thinking".

If you want to laugh at something, get it right at least.

Who is laughing now?

Ridiculous.
 
Nashukuru kwa kupitia kile kitabu. Kwanza kabisa kile kitabu ni basic sana na cha zamani sana, version yangu ilikuwa first printed ni ya 1926.

Process ya kupata realization si ya kuipata kwenye kitabu kimoja. Ni ya ngazi kwa ngazi, layer kwa layer kama layers za kitunguu kimoja kikubwa.

Layer ya kwanza ni hiyo ya kujua kwamba biblia hii ya sasa inayotumiwa na wengi imekuwa edited na watu, chiefly Constantine na maaskofu wake katika "Council of Nicea". Wakaamua nini kibaki na nini kiondoke, mara nyingine kwa sababu za kisiasa ili kuendeleza nguvu za utawala wa Roma.

Muandishi kukubali kwamba vitabu vimeandikwa na manabii ni layer nyingine. Kwa sababu nabii ni nani? Nabii si mtu? Sasa hawa watu si Wayahudi? Kama walikuwa na political reasons za kutaka kufanya world domination kwa nini wasitumie dini? Kwa nini wasiseme kwamba wana wa Israel ni taifa teule la mungu? Dini imetumiwa kama sehemu ya siasa iliyopewa utakatifu tu.

Ukizama zaidi katika historia ya dini utaona jinsi gani watu walivyotumia dini kutaka kuleta order kwanza. Bila ya woga wa mungu watu wangeuana sana kwa hiyo wazee ikabidi waanze kutisha watu kwa kuhadithia mizimu na mungu.

Ilipoonekana kuwa hili linawezekana, na watu kwa ujinga wa kutoelewa nature (radi, kupatwa kwa jua etc) waliogopa mungu, wazee hawa wakakaa na kuorganize dini, amri kumi za mungu na makanisa, wakateua wafalme waliobarikiwa na mungu, wafalme wakawa wana protect dini na dini ina protect wafalme. Ukiangalia Babeli,China, Misri, Wayahudi hadithi ni hiyo hiyo.

Mpaka George W. Bush kapigana vita ya Iraq kwa kutumia support kubwa ya the evangelicals.Alivyoanza actually aliiita "Crusade".

Kwa hiyo ukizama sana, ukisoma the canonical arguments for the existence of god.Utaona kwamba wanaosema mungu yupo hawana hoja, na wanaosema hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo maswali yao hayajibiki.

Hata hapa JF tu maswali yangu kibao hayajibiki.

Habari za dini na mungu ziliweza kuwachota watu enzi za ujinga, za kuambiwa "fanya" ukafanya bila uchunguzi wala uthibitisho.

Hizi enzi zetu za uthibitisho na habari, mungu kaanguka.

Kwa sababu watu washasema sana kwamba radi ni sauti ya mungu anapokasirika. Wanasayansi wakachunguza wakaielewa radi kisayansi bila kuhitaji "the god hypothesis". So on and so forth.

Kila tunavyozidisha maarifa ya kisayansi, ndivyo tunavyozidi kuona hizi habari za mungu ni kamba tu.

Na hata ile argument ya kusema mungu anahitajika kama "boogey man" ili kuwa keep watu in line inakosa nguvu, kwa sababu kuna ma Buddhist huko hawaamini mungu lakini wana a higher moral standard kuliko hata wanaoamini mungu wengine.
Nyote mnaokataa hakuna Mungu,mnaishia kusema kuna nature,kwa hiyo lazima uelewe,unakataa kipi na unakubali kipi,ukisema kuna nature,je huyo nature ni nani/au nature ni nini.Utarudi pale pale,wa uwepo wa Mungu muweza.

Na kuhusu ngurumo za radi,ni wapi umetoa maandiko kutoka vitabu vitakatifu inapoonyesha Mungu ana nguruma,na ndio radi.Hakuna hio,kutoka vitabu vitakatifu hata kimoja kinachosema hivyo
 
Nashukuru kwa kupitia kile kitabu. Kwanza kabisa kile kitabu ni basic sana na cha zamani sana, version yangu ilikuwa first printed ni ya 1926.

Process ya kupata realization si ya kuipata kwenye kitabu kimoja. Ni ya ngazi kwa ngazi, layer kwa layer kama layers za kitunguu kimoja kikubwa.

Layer ya kwanza ni hiyo ya kujua kwamba biblia hii ya sasa inayotumiwa na wengi imekuwa edited na watu, chiefly Constantine na maaskofu wake katika "Council of Nicea". Wakaamua nini kibaki na nini kiondoke, mara nyingine kwa sababu za kisiasa ili kuendeleza nguvu za utawala wa Roma.

Muandishi kukubali kwamba vitabu vimeandikwa na manabii ni layer nyingine. Kwa sababu nabii ni nani? Nabii si mtu? Sasa hawa watu si Wayahudi? Kama walikuwa na political reasons za kutaka kufanya world domination kwa nini wasitumie dini? Kwa nini wasiseme kwamba wana wa Israel ni taifa teule la mungu? Dini imetumiwa kama sehemu ya siasa iliyopewa utakatifu tu.

Ukizama zaidi katika historia ya dini utaona jinsi gani watu walivyotumia dini kutaka kuleta order kwanza. Bila ya woga wa mungu watu wangeuana sana kwa hiyo wazee ikabidi waanze kutisha watu kwa kuhadithia mizimu na mungu.

Ilipoonekana kuwa hili linawezekana, na watu kwa ujinga wa kutoelewa nature (radi, kupatwa kwa jua etc) waliogopa mungu, wazee hawa wakakaa na kuorganize dini, amri kumi za mungu na makanisa, wakateua wafalme waliobarikiwa na mungu, wafalme wakawa wana protect dini na dini ina protect wafalme. Ukiangalia Babeli,China, Misri, Wayahudi hadithi ni hiyo hiyo.

Mpaka George W. Bush kapigana vita ya Iraq kwa kutumia support kubwa ya the evangelicals.Alivyoanza actually aliiita "Crusade".

Kwa hiyo ukizama sana, ukisoma the canonical arguments for the existence of god.Utaona kwamba wanaosema mungu yupo hawana hoja, na wanaosema hakuna uthibitisho kwamba mungu yupo maswali yao hayajibiki.

Hata hapa JF tu maswali yangu kibao hayajibiki.

Habari za dini na mungu ziliweza kuwachota watu enzi za ujinga, za kuambiwa "fanya" ukafanya bila uchunguzi wala uthibitisho.

Hizi enzi zetu za uthibitisho na habari, mungu kaanguka.

Kwa sababu watu washasema sana kwamba radi ni sauti ya mungu anapokasirika. Wanasayansi wakachunguza wakaielewa radi kisayansi bila kuhitaji "the god hypothesis". So on and so forth.

Kila tunavyozidisha maarifa ya kisayansi, ndivyo tunavyozidi kuona hizi habari za mungu ni kamba tu.

Na hata ile argument ya kusema mungu anahitajika kama "boogey man" ili kuwa keep watu in line inakosa nguvu, kwa sababu kuna ma Buddhist huko hawaamini mungu lakini wana a higher moral standard kuliko hata wanaoamini mungu wengine.

Nimekuelewa.

Baada ya kusoma ufafanuzi wako swali lililonijia haraka haraka kichwani kwangu ni kama maandiko ya biblia yaliandikwa na watu wa kawaida (siyo manabii wala mitume) ilikuwaje matukio kati ya vitabu vya agano la kale na agano jipya yakawa na uhusiano wa moja kwa moja na wakati tofauti ya miaka ya kuandikwa kwa hivi vitabu ni miaka mingi sana?

Na hawa manabii/mitume walikuwa hawatoki sehemu moja bali walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali.

Au inawezekana hawa watu wa zamani book/keeping yao ilikuwa nzuri kwahiyo walichokuwa wanakifanya ni kuunganisha matukio?
 
Nijibu swali moja.

Ni lazima au si lazima kwa vyote kutengenezwa?

Kiranga umeshawahijiuliza mf ukiokota pesa labda noti ya sh 500/=kwamba imedondoshwa na mtu ? au unawezachukulia poa tu kwamba hii imetoka from no where?.

Umeshawahi fanya movement yoyote pasina na reason mf hata kwenda washroom, hata kugeuza shingo yako kutazama upande mwingine for no reason?.

je unawezafikilia mf the very complex universe pamoja na vilivyomo kuwa vimetokea tu by chance ? ikiwa kitu kidogo sana kama noti ya sh 500 lazima utajiuliza kwamba kuna aliyeidondosha? maswali ya namna hii umeshawhi jiuliza na ukapata majibu yake?

Umeshawahi jiuliza pia kwa nini toka umezaliwa jua linachomoza kutoka mashariki mwa dunia na kuzama magharibi mwa dunia ? je hali inatokea kwa bahati tu au kuna control ya movement hiyo?
 
Nyote mnaokataa hakuna Mungu,mnaishia kusema kuna nature,

Hapana, si kweli. Kuna wengine wanasema hakuna mungu wala nature.

kwa hiyo lazima uelewe,unakataa kipi na unakubali kipi,

Kipi ni kipi?

ukisema kuna nature,

Ambayo si lazima kila mtu aikubali.

je huyo nature ni nani/au nature ni nini.

Kutojua nature ni nini hakumaanishi kwamba ni mungu.

Kutojua infinity ni nini hakumaanishi kwamba infinity ni mungu.

Kutojua theory of quantum gravity ni nini hakumaanishi theory of quantum gravity ndiyo mungu.

Kutojua ukoo wa Wachagga wenye miguu mitatu wapo au hawapo juu ya mlima Kilimanjaro hakumaanishi kwamba chifu wa ukoo huu ndiye mungu.

Kutojua square root ya mbili hakumaanishi square root hii ni nane.

Kutokujua ni kutokujua tu.

Utarudi pale pale,wa uwepo wa Mungu muweza.

Kwa nini? This is a logical non sequitur.

Unaniambia "Kwa sababu hujui jibu la square root ya mbili, jibu lake ni nane". Umepata wapi hilo jibu? Umepataje nane kama jibu la square root ya mbili? Kwa sababu sijui jibu tu haimaanishi kwamba jibu lake ni nane.

Kwa sababu sijui nature inafanya vipi kazi, haimaanishi kwamba nature imeumbwa na mungu. The more one studies quantum physics for example, the more one sees how much to expect the unexpected.

Mungu ndo anakuwa jibu la default kwa maswali yote tusiyoyajua majibu yake (na mengine ambayo tunayajua majibu lakini hatutaki kukubali, wachimba madini wanafukiwa na kifusi mgodini kwa sababu ya uzembe na poor quality control, rais anatoa jibu rahisi "kazi ya mungu haina makosa" wakati tunajua ni uzembe).

Kadiri tunavyozidisha maarifa na kujua vitu vinavyofanya kazi ndivyo mungu anavyokosa kazi.

Ndiyo maana ukiangalia trend ya convergence utaona tuna converge kwenda kwenye ulimwengu ambao watu wengi zaidi watatambua kwamba mungu hayupo, ni hadithi za watu wa zamani tu.

Na kuhusu ngurumo za radi,ni wapi umetoa maandiko kutoka vitabu vitakatifu inapoonyesha Mungu ana nguruma,na ndio radi.Hakuna hio,kutoka vitabu vitakatifu hata kimoja kinachosema hivyoc

Vitabu vitakatifu ni vipi? Na vingapi umevisoma wewe? Na unajuaje criteria yangu? Na context yangu? Na scale yangu?

Ushamsikia Zeus?

Hebu soma hapa Lightning in religion - Wikipedia, the free encyclopedia
 
It is not "collapse of structure thinking", it is "collapse of structured thinking".

If you want to laugh at something, gent it right at least.

Who is laughing now?

Ridiculous.

Not necessarily to get 100% right.it is enough for me to get even 50 as there is no award it all about adding my knowledge.whether ridiculous absurd or whatsoever
 
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.

Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....

Mkuu unataka kutuaminisha hakuna Mungu? Huo utakuwa ni upotoshaji mkubwa sana na badilika
 
Nimekuelewa.

Baada ya kusoma ufafanuzi wako swali lililonijia haraka haraka kichwani kwangu ni kama maandiko ya biblia yaliandikwa na watu wa kawaida (siyo manabii wala mitume) ilikuwaje matukio kati ya vitabu vya agano la kale na agano jipya yakawa na uhusiano wa moja kwa moja na wakati tofauti ya miaka ya kuandikwa kwa hivi vitabu ni miaka mingi sana?

Na hawa manabii/mitume walikuwa hawatoki sehemu moja bali walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali.

Au inawezekana hawa watu wa zamani book/keeping yao ilikuwa nzuri kwahiyo walichokuwa wanakifanya ni kuunganisha matukio?

Hawa jamaa licha ya kuwa na book keeping nzuri, pia walikuwa wana recite vitabu kichwani, kama ma griot wa West Africa (kama uliona ile series ya "Roots" utaona jinsi walivyomsaidia Alex Hailey kurudi kwao na kugundua ndugu zake).

Waislam mpaka leo watoto wa madras wana mashindano ya ku recite quran.

Kwa hiyo huu utamaduni ulikuwa instilled siku nyingi sana, watu wameimba hivi vitabu (wengi walikuwa hawajui kusoma). Ukiangalia Wayahudi kuna makabila ya Walawi walikuwa watu maalum kwa ajili ya kufanya kazi za kikuhani, wanakuwa dedicated kwenye ku recite the books.

Halafu vitabu vimeandikwa continuously, kwa hiyo hakuna a break in the narrative.Ukisoma injili utaona mpaka wakati wa Yesu watu walikuwa wanasoma vitabu vya agano la kale.Kwa hiyo it's not like hivi vya agano la jipya vinaandikwa na vile vya agano la kale vimepotea, it's more like vile vya agano jipya vinaandikwa huku vya agano la kale vipo.

Kwa hiyo hata kama mtu akitaka kudesa anaweza, na hawezi kusema hii habari imetokea kote kote kwa roho mtakatifu, wakati watu wameona kaandika baada ya kusoma agano la kale.

Wayahudi wameanza kuzibuka na vitabu siku nyingi sana.
 
Mkuu unataka kutuaminisha hakuna Mungu? Huo utakuwa ni upotoshaji mkubwa sana na badilika

Kwa nini mtu yeyote anayetaka kutumia kichwa chake kufanya uchunguzi aamini kwamba kuna mungu?
 
Not necessarily to get 100% right.it is enough for me to get even 50 as there is no award it all about adding my knowledge.whether ridiculous absurd or whatsoever

You are content with mediocrity and you want to be taken seriously? Complete with marking people?

Get to at least 80%, read a little, learn to spell, know that "astronomist" is not a word so you don't embarrass yourself in front of everybody.

Then you can start highfalutin about theology.

Right now I am afraid I can't even discuss Anselm and Augustine, and that's just staying in the A's, for fear that you have never heard of them.
 
Kiranga umeshawahijiuliza mf ukiokota pesa labda noti ya sh 500/=kwamba imedondoshwa na mtu ? au unawezachukulia poa tu kwamba hii imetoka from no where?.

Umeshawahi fanya movement yoyote pasina na reason mf hata kwenda washroom, hata kugeuza shingo yako kutazama upande mwingine for no reason?.

je unawezafikilia mf the very complex universe pamoja na vilivyomo kuwa vimetokea tu by chance ? ikiwa kitu kidogo sana kama noti ya sh 500 lazima utajiuliza kwamba kuna aliyeidondosha? maswali ya namna hii umeshawhi jiuliza na ukapata majibu yake?

Umeshawahi jiuliza pia kwa nini toka umezaliwa jua linachomoza kutoka mashariki mwa dunia na kuzama magharibi mwa dunia ? je hali inatokea kwa bahati tu au kuna control ya movement hiyo?

Ikiwa jambo rahisi kama kuokota hela linahitaji chanzo (pengine mtu aidondoshe) na jambo complex zaidi kama ulimwengu ndiyo linahitaji chanzo almost infinitely more so, then utakuwa unasema kwamba complexity does not happen on its own. It has to be created.

Sawa?

Ukishasema kwamba complexity does not happen on it's own, and the more complex something is the more reason that it has to be created, then it follows kwamba mungu muumba ulimwengu ni complex kuliko ulimwengu aliouumba na definitely complex kuliko noti na shilingi 500 na mwanadamu.

Kwa hiyo, kwa kanuni yako hiyo hiyo ya "the more complex a scenario is, the more reason it was created" utakuwa unasema hata mungu naye amekuwa created, kwa sababu yeye ni complex zaidi ya ulimwengu.

Ukisema mungu hakuwa created, unavunja kanuni yako ya kwamba complexity must be created.

Na kama mungu, na complexity yake yote hiyo, hakuhitaji kuwa created, basi chance ya mwanadamu kutohitaji kuwa created ni kubwa zaidi, kwa sababu mwanadamu ni less complex than god.

After all, ni rahisi zaidi kuona kibox cha kiberiti kimekaa juu ya visoda kikawa kama kigari by chance, bila kuwa designed by intelligence creation kuwa hivyo (less complexity) kuliko kuona Jumbo Jet limejitengeneza lenyewe.

Mnaosema kwamba mungu hakuumbwa ila binadamu hawezi kutokea bila kuumbwa ni kama vile mnasema Jumbo Jet (mungu, more complexity)limejitengeneza lenyewe, halikuumbwa, lakini hiki kibox cha kiberiti kilichokaa juu ya visoda na kuwa kama kigari ( binadamu, less complexity) ni lazima kiwe kimewekwa vile na muumbaji, hakiwezi kuwa kimepeperushwa na upepo tu.

Utasemaje Jumbo Jet limejiumba lenyewe lakini kigari cha kiberiti na visoda hakiwezi kujiumba chenyewe?
 
You are content with mediocrity and you want to be taken seriously? Complete with marking people?

Get to at least 80%, read a little, learn to œspell, know that "astronomist" is not a word so you don't embarrass yourself in front of everybody.

Then you can start highfalutin about theology.

Right now I am afraid I can't even discuss Anselm and Augustine, and that's just staying in the A's, for fear that you have never heard of them.

Ni kweli sijawahi wasikia il a nimesoma hayo majina kwenye Misale ya waumini.don't go out of the topic dude tupe tofauti ya terms husika.mwalimu Wang alizoea kutuambia fabricando fit Faber kama nakumbuka spelling.tuonyeshe umahiri kwanza kwa kutueleza utofauti.halafu kutoka nje tu ya topic ni FAILURE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom