Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Kweli kabisa. Kwamba Kiranga yeye yupo ila Mungu hayupo. Kama ikitokea siku Kiranga akakubali kwamba hayupo na akathibitisha kwamba hayupo, hapo basi atakuwa amethibitisha pia kwamba Mungu hayupo, na sitamuuliza tena maswali baada ya hapo

Unafahamu kwamba huyo uliyemtaja ingawa yupo hawezi thibitisha "gender" yake? Ndio maana Nipo ambaye Niko anabakia palepale kwasabau Nipo ambaye Niko bado yupo ingawa hayupo kwenye fikra za GOD HATERS.
 
Si kweli.Inawezekana kabisa kwamba mungu hayupo na vilivyo duniani havijajitengeneza vyenyewe.

Ukisema hivi utajiingiza katika contradiction. Kwa sababu hata huyo mungu anayedaiwa kuvitengeneza vitu vyote, naye atahitaji kuwa ametengenezwa. Ukikataa hilo na kusema kwamba mungu hakutengenezwa, then unakubali kwamba si kila kitu ni lazima kitengenezwe na hivyo si lazima mungu awe ndiye aliyetengeneza kila kitu.

Bado unarudi palepale. Kama kila kitu kinahitaji muumba, basi hata mungu anahitaji muumba.Kama mungu hahitaji muumba, basi si kila kitu kinahitaji muumba na hivyo inawezekana vyote visiwe vimeumbwa na mungu.There is no escaping this conundrum.

Mwanadamu kushindwa kupata ufumbuzi wa matatizo fulani hakumaanishi kwamba mungu yupo. This is a logical non-sequitur.

The second law of thermodynamics explains death quite well. I do not need the god hypothesis.

Uwezo wa kukishinda kifo unaprove vipi kuwepo au kutokuwepo kwa mungu? Toa uwiano na mahusiano hapa.

Mifano gani? Itaje. Unajua "kujuwa" ni nini?
Soma maelezo yangu,nimesema kila unavyoviona duniani,wewe unauliza Mungu katengenezwa na nani wakati,hujamuona hapa Duniani.Ndio mana nikakuambia akili yako ikiona kitu,na ukasema hakijetengezwa,ujue akili zako hazina akili.Hapa ninakutajia vitu tunavyoviona duniani.Mungu hatujamuona duniani,Tutasemaje katengenezwa.Na pili Mungu hana production date wala Expiredate.chenye kutengenezwa chochote kina production date na Expire date.Ni wapi umeona pameandikwa kama Mungu alizaliwa au alitengezwa lini,na expire date yake itatokea au ilitokea lini.
 
Kweli kabisa. Kwamba Kiranga yeye yupo ila Mungu hayupo. Kama ikitokea siku Kiranga akakubali kwamba hayupo na akathibitisha kwamba hayupo, hapo basi atakuwa amethibitisha pia kwamba Mungu hayupo, na sitamuuliza tena maswali baada ya hapo

This circuitous faulty argument would work only if Kiranga must be created by god, the very thing in dispute here, since Kiranga disputes the very existence of god.

Your very signature says side with seekers, and do not believe those who claim to have found the truth.

In saying that god is the answers, people are claiming to have found the truth.

In saying that we need to search some more beyond the god idea, I am seeking, not claiming to have found the truth.

Your own signature points to the fallacy of the godhead idea.
 
Soma maelezo yangu,nimesema kila unavyoviona duniani,wewe unauliza Mungu katengenezwa na nani wakati,hujamuona hapa Duniani.Ndio mana nikakuambia akili yako ikiona kitu,na ukasema hakijetengezwa,ujue akili zako hazina akili.Hapa ninakutajia vitu tunavyoviona duniani.Mungu hatujamuona duniani,Tutasemaje katengenezwa.Na pili Mungu hana production date wala Expiredate.chenye kutengenezwa chochote kina production date na Expire date.Ni wapi umeona pameandikwa kama Mungu alizaliwa au alitengezwa lini,na expire date yake itatokea au ilitokea lini.

Nijibu swali moja.

Ni lazima au si lazima kwa vyote kutengenezwa?
 
Mungu hana production date wala Expiredate,katika historia yote unayosoma,hataona kokote production date ya Mungu,wala Expieredate.Ukiona watu wanakuambia mungu alizaliwa tarehe fulani na akafa tarehe fulani,huyo siyo Mungu.Mungu ameshajitaja katika vitabu vyake vitakatifu,kwamba hana mwanzo wala hana mwisho,Kwa maana hana production date wala expire date.
 
Mimi ni Roman Catholic safi lakini ukiruhusu akili yako iwe huru usikilize maoni ya pande zote mbili kwa kweli unaweza ukakubali Mungu hayupo kwasababu tunaoamini Mungu yupo tunakuwa tunasadiki lakini kwa wanaosema Mungu hayupo mara nyingi wanatumia facts.

BTW, bora nisadiki Mungu yupo niende nimkose kuliko nisisadiki halafu nimkute.
 
Mungu anaumba atakavyo,anaweza kumuumba kipofu na akawa na akili kukushinda wewe mwenye mach.Yupo mwalimu wa sayansi,anafundisha secondary,na ametunga vitabu vingi vya sayansi.Anakushinda hata wewe mwenye macho,hayo ndio maajabu ya Mungu,na wapo wengi ni vilema,lakini wanawashinda wenye macho.Yapo vilema matajiri,wapo maprofesa,wamewashinda wenye macho.Na Mungu ndio anaonyesha uwezo wake,kwa mwenye akili anaweza kuelewa wazi kama yupo Mungu,anayeyafanya yote haya,hata wewe akitaka kukugeuza kilema,haichukui hata dakika.Na bora kuwa kilema wa viungo,kuliko kilema cha akili.Kushindwa kufikiri na kuelewa,kama wewe yaonyesha una ukilema wa akili,unashindwa kuelewa.
Kwani hamwoni Steve Wonder anavyofanya mambo yake kwenye kinanda vilevile ni muimbaji na mcheza movie wa kimataifa lakini haoni. Hata hapa bongo wapo watu wa aina hiyo wengi kama yule jamaa pale UDSM ni mtaalamu sana kwa maswala ya IT.
 
Pia yupo mzee Morisi aliyekuwa anacharaza ngoma 12 kwa wakati 1 kama zile zinazotumika radio Tanzania kwenye habari.
 
Chenye production date na expire date ndio kimetengenezwa.Kwa maana kina mwanzo na kina mwisho.

Sijauliza chenye production date na "expire" (sic) date.

Nimeuliza vyote.

Hujajibu swali.

Kama hili ni swali la mtihani na unajibu hivi unapewa bonge la mkasi.

Hujajibu swali uliloulizwa, na ulichojibu hakijaulizwa.
 
Mimi ni Roman Catholic safi lakini ukiruhusu akili yako iwe huru usikilize maoni ya pande zote mbili kwa kweli unaweza ukakubali Mungu hayupo kwasababu tunaoamini Mungu yupo tunakuwa tunasadiki lakini kwa wanaosema Mungu hayupo mara nyingi wanatumia facts.

BTW, bora nisadiki Mungu yupo niende nimkose kuliko nisisadiki halafu nimkute.

Nakukubali kwa kuwa muwazi.

Basically unakiri kwamba ukichunguza sana, imani ya mungu ni wishful thinking tu, haipo based on any semblance of facts.

Lakini umekubali "fear of the unknown" i take over your rational reasoning.

Mtu anaweza kukuuzia insurance policy fake, kwa sababu ya uoga tu, ukakubali kuinunua kwa sababu unaogopa, huku unajua kwamba hii insurance policy ni fake.
 
Sijauliza chenye production date na "expire" (sic) date.

Nimeuliza vyote.

Hujajibu swali.

Kama hili ni swali la mtihani na unajibu hivi unapewa bonge la mkasi.

Hujajibu swali uliloulizwa, na ulichojibu hakijaulizwa.

unaposema 'vyote' unamaanisha nini au vinini?
 
Udadisi ni akili ya kibinadamu na binadamu kutamani kujua mwanzo wake na asili yake ni kawaida. Pole kwa wewe unae taka fact wakati unajua ni true Mungu yupo. Mungu ni Mungu wamtafutao kwa bidii wata mwona,
KAMA KUNA MWANGA UJUE KUNA GIZA, kama kuna shetani ujue kuna MUNGU, Mambo ya MUNGU na ya shetani ni nyuma ya upeo wetu, kubwa shetani anatumia wachawi na majini ambayo we waogopa Mungu hajidhirishi kama hao na hii kwa wasio na upeo wanapuuza na kupeza elewa kilajema hutoka kwa Mungu.
 
unaposema 'vyote' unamaanisha nini au vinini?

Namaanisha vyote.

Lets establish some fundamental ground rules.

Ni lazima kwa vyote (let's get mathematical for the sake of clarity, vyote = all the contents of the truly universal set) kuumbwa?
 
God is omniscient, omnipresent and omnipotent. Ndio sifa zake kuu. Hahitaji Mwanadamu kutambua uwepo wake ili awe Mungu. Anasifa ya kuwepo kabla ya wakati hivyo anasifa ya alfa and omega. Hutenda kwa wakati wake na kwa vile hawajibiki kwa mwanadamu halazimiki kueleza kwa nini imekuwa hivyo. Ndio maana halazimiki kutoa maelezo kwanini kichanga hufa au kwanini wauaji huachwa waendelee kuua.
 
Kiranga;
Unajuaje kwamba wewe viungo vyako vimekamilika? Wapi pamesema kwamba binadamu inabidi awe na kichwa kimoja na siyo vinne au vitano? Huyo unayemwona ni kilema anaweza akawa ni sawa tu na wewe kwa sababu pengine Mungu angekupa vichwa saba ndiyo ungekuwa uko kamili lakini sasa kaamua kukupa kimoja and still you do no what you are missing. We ukiona kila mtu ana kichwa kimoja basi unajua binadamu anatakiwa awe na kichwa kimoja. Anyway ni kwamba tu uko mbali sana na Mungu ila ukimkaribia is as easy as abc ku-experience uwepo wake. Siyo kujua ila ni ku-experience, zingatia tofauti!

Da I like this kind of thinking & analysis .thumb up
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom