peterwapeter
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 529
- 269
Watu wa mikoani vipi nyinyi huko leo kote Mungu kafurahi au?, maana kwa madhambi yetu nilijua mwaka huu anatufundisha lakini naona katuhurumia
kwi!kwi!kwi!Ila kumbukeni kuwa mvua hiyo haijaletwa na Serikali ya chama cha mapindduzi
Nimetoka bunju imeanza saa nane usiku Niko Mbagala inapiga mpk mida hiisehem nyng sana hii mvua inayesha mkuu....kwa taarifa za watu mbalimbali nlioongea nao! lkn pia kupitia huu uzi tunaweza fahamu mengi hasa kuhusu hii mvua na madhara yake
ni kweli mkuu...yawezekana ukawa sahihi kabisa! lakini kama alivyosema mkuu Bujibuji tatizo kubwa hasa ni miundo mbinu mibovu ambayo hufanya hata kama ni manyunyu kidogo tu,maji yanakuwa mengi yasiyo na mwelekeo mzuriHivi hii Nayo ni mvua kubwa?Mngepata shuhudia mvua zinazonyesha bara Asia ungekubaliana nami kua haya ni manyunyu tu
ni kweli, ingawa wakulima wanashangilia[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu hali sio nzuri kabisa leo kwa wahangaikaji wa huku na kule
lazima tulale kazini leoUku Posta hapapitiki.
Kamati za ufundi ziko kazin huko buguruni kuna kaz maalum wanafanya sasa hawataki disturbancemkuu.....ndo maajabu ya Dsm wakati mwingine! kama akili yako haina ushirikiano mzuri waweza dhani kuna harufu ya uchawi hv