Tunda ni zao la ua ambalo lazima liwe na sehemu kama zinavyoonekana kwenye picha, kama ovule, sepal, petal n.k. Kitu chochote ambacho hakitokani na ua sio tunda.
Kwa asili, matunda mengi yana sucruse (sukari) pamoja na acid kitu ambacho muwa hauna. Ukisoma food storage, utagundua kuwa chakula kinaweza kuhifadhiwa na mmea kwenye seed, roots, au stem. Muwa kama mti, huhifadhi chakula chake kwenye stem, wakati mti kama muhogo huifadhi chakula chake kwenye mizizi na n.k.
So dont be twisted, muwa sio tunda...
View attachment 315548