Why?Interesting
unamaanisha nini?"Una raMBOOO, mi nna MUWA, ....."
Ni jamii ya matundaJamani naomba mnisaidie, Hivi muwa ni tunda? Kama Si tunda ni nini? Hilo jambo nimekuwa nikiwauliza watu mbalimbali bila kupata majibu ya kueleweka.
Jamani naomba mnisaidie, Hivi muwa ni tunda? Kama Si tunda ni nini? Hilo jambo nimekuwa nikiwauliza watu mbalimbali bila kupata majibu ya kueleweka.
Simaanishi juisi yake Bali muwa kama muwa mwenyewe ulivyo.Ni kinywaji
Nikiangalia sifa za tunda naona kama muwa una sifa baadhi za tunda lakini bado najiuliza inawazekanaje tunda likawa na umbo kama fimbo ilhali matunda mengi yana umbo la mviringo?Huenda jibu lake ukawanalo.
Kwanza jua TUNDA ni nini na lina sifa zipi?
Baada ya kufahamu hayo, angalia sasa MUWA unashiriki vipi katika hali ya utunda na sifa zake.
Hapo utakuwa umepata jibu la suali lako.
Naomba fafanua kidogo kivipi?Ni jamii ya matunda
Hee! Kivipi tena mkubwa kitu kinacholiwa kiwe nyasi! how come?Miwa ni aina za nyasi.
Screpa acha bangi mkubwa.Ni mboga
Tunapoona kwenye viumbe hai kuna aina nyingi sana mpaka nyingine zinakaribia kukosa uhalisia vitu kama minyoo na algae basi ndio ilivyo hata katika mimea upande wa matunda kuwa kitu Kama mua unashindwa kukiweka katika kundi gani hasaNaomba fafanua kidogo kivipi?
Asante kwa ufafanuzi.Tunapoona kwenye viumbe hai kuna aina nyingi sana mpaka nyingine zinakaribia kukosa uhalisia vitu kama minyoo na algae basi ndio ilivyo hata katika mimea upande wa matunda kuwa kitu Kama mua unashindwa kukiweka katika kundi gani hasa
Yangu sidhani kama ina shida labda ya bwana mdogo Screpa.