Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,748
- 131,905
Wanabodi,
Ukiondoa uwepo wa mtu, au watu na uhai wao, na uraia wao, kitu cha pili chenye thamani kubwa duniani ni ardhi. Ili ardhi ikuletee faida ni lazima uifanyie jambo, ulime, ujenge, uchimbe madini, umiliki, uuze viwanja, ufanye kilimo biashara, etc.
Leo nikiwa kwenye viwanja vya Saba Saba, nimekutana na maajabu haya
View: https://youtu.be/LA2wvBWsz64?si=jPqDSnJLODjzkX2x,
Kwa wale wenye ardhi, njooni Saba Saba, mnunue miche ya matunda yote iliyofanyiwa mabadiliko ya budding, yaani miti tofauti ina uwezo tofauti na uzazi tofauti, hii budding ni
Unapanda mti wenye mizizi mirefu na imara , kisha unachuma kikonyo cha mti uliokomaa wa tunda wenye uzazi mkubwa, au tunda tamu, kisha unakuja kukipachika khiko kikonyo kwenye lile shina la ule mti uliopanda mwanzo, hivyo kuugeuza ni mti wa matunda, unapachika hicho kikonyo cha mti unaozaa sana na kukipachika kwenye huo mti mchanga ulioupanda, ndani ya mwezi mmoja, huo mti unaaza kuzaa matunda!.
Hiki kinachofanyika ni kama surrogacy kwenye ujauzito wa binadamu wa kupandikiza mimba, kwa wale single mother, wanafanyiwa artificial insemination kwa unachagua mbegu bora, unapata mtoto bora genius!. Na kw wale wanawake wanaoharibu mimba, mimba ikiishatungwa, inachoropolewa, na kuchomekwa kwa mwanamke mwingine ngangari, atakaye kukubea hiyo mimba kwa miezi 9, akiishajifungua anakupa mtoto wako.
Ukifika tuu hapo Saba Saba, kwanza anza kuomba ukwaju tende, ni mtamu kama asali!
Paskali
(Promota wa Wajasiriamali wadogo wadogo)

Njoo 77 Banda la Mama Mkapa WIPE Ushuhudie Miche ya Ajabu ya Matunda, Inazaa Fasta - Piga 0747336327 ulizia Mama Rutbertha Athanas Myonga au Mpigie 0747 336 827 Ulizia Tunda la Mche wa Tunda lolote upendalo.