...yanayosemwa huwa yanakuja....hivyo sitashangaa siku moja kuona kweli huyu Nchimbi anapeleka huu mswada bungeni....Labda niseme tu kwamba katika kosa ambalo ccm watafanya ni kupitisha muswada wa namna hii bungeni(maana wanaweza kweli kuupitisha kwaukichaa na wingi wao)....Ikitokea hivyo basi watakuwa wamevunja katiba..maana kila raia ana haki ya kuandamana (peaceful demonstrations)pale anapodai haki zake......
Pia kuandamana ni haki za binadamu wowote na hili hata kimataifa lipo.....na hata kwa wale ambao kwao serikali hii inajifunza kwao misingi ya demokrasia (yaani wenzetu wa USA/au ulaya)nako kuandamana ni ruksa...ilimradi watu hawavunji sheria....
Labda ifike mahali hawa kina waziri Nchimbi wajue kuwa watanzania wanajua kuwa tatizo nchi hii si maandamano bali chama tawala(kupitia serikali yake)kinapotumia vyombo vya dola kufanikisha matakwa yao ya kisiasa....hili ndio tatizo....
...nchi hii sasa hivi ilo kwenye matatizo makubwa kwenye jamii na sitashangaa kuona hatua za zima moto za kijingajinga zikitumika (kama ilivyozoeleka) ili kuonyesha kuwa serikali inataka kutafta ufumbuzi.....Wanaacha kushughulika na sababu za msingi zinazoleta machafuko...wanataka kushughulika na maandamano...wanasahau kuwa kuzuia maandamano kunaweza kuzidisha machafuko.....maana raia watakuwa wamezuiwa kutoa malalamiko yao kwa watawala...Kitakachobaki itakuwa ni hasira za jumla dhidi ya watawala....na hapa chochote kinaweza kutokea....wajifunze Mtwara...na Lindi.......
Kwanza siamini kwamba watanzania wanaweza kuvumilia kukaa kimya kuiona serikali ya ccm ikianzisha sheria ya kijinga kama hiyo.
Pili, kama wakilazimisha na kufanikiwa kutungwa kwa sheria hiyo tutapata njia mbadala ya kuwasiliana na wananchi. Akili ya mwanadamu siku zote inafikiria namna ya kujinasua na vikwazo vilivyopo, tena wakizuia maandamano ndio watakuwa wameturahisishia kazi ya kuwang'oa madarakani.
Yaani Maandamano ndiyo yaliyomleta Msaud Arabia kufanya MPANGO wa kulipua Kanisa la Wakatoliki pekee???
Mimi naunga mkono mpango kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Maandamano yote ya kisiasa, kidini na mengine tupilia mbali kwakuwa ndio chanzo cha kikubwa cha uvunjifu wa amani na kupoteza maisha ya Watanzania na wengine kuwekwa jela.
Its too late, though...Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.
Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.
Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Ikumbukwe ni hapo jana tu Chadema kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti Chadema na kukiimarisha CCM.
Huo utakuwa mwisho wa CDM kisiasa waliozoea kuendesha harakati za kisiasa kupitia maandamano yanayoharisha ustawi wa nchi yetu. Tena ikibidi zoezi hili lianzie Arusha Mjini
Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.
Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.
Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Ikumbukwe ni hapo jana tu Chadema kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti Chadema na kukiimarisha CCM.
Labda huwezi jua.

CDM mmekuwa mnatumia maandamano kuwa ni chanzo cha kuvunja AMANI na UTULIVU nchini. Siasa za majukwaani bila fujo hamziwezi hivyo bila maandamano CDM katika jeneza
Huyu Nchimbi naonaga kichwa yake haina wazo la kufikiri chochote zaidi ya ujinga wa maneno isiyo na tija anayoropoka tu!
Anatumia masaburi yake kuwaza na kutoa kauli jinga kama hiyo!