Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.

Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.

Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Ikumbukwe ni hapo jana tu CHADEMA kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti CHADEMA na kukiimarisha CCM.

Wanasheria watusaidie, hii si maana yake kuwa wanafanya marekebisho ya katiba(Sheria mama) iliyopo inayotambua kukusanyika kama haki ya msingi ya binadamu? Ama kweli magamba yamejikinai sana, na yanafanya kosa moja baada ya jingine. Ama kweli siku ya kifo cha nyani miti yote inateleza.
 
Hivi sauti yamnyonge ikasikike wapi?but itawagharimu sana hapo badae,ccm haitadumu milele namwisho wenu umefika kweli "MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA"
 
Duuuuuh!!!!!!!!Kudadeki kweli Selikali ya CCM kiboko,yaani inaibaka Demokrasia mchana kweupeeeeee



Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.

Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.

Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Ikumbukwe ni hapo jana tu CHADEMA kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti CHADEMA na kukiimarisha CCM.
 
Bora maanadamano yakadhitiwa ili kulinda akina hitler kuvuruga amani ya nchi yetu.
 
Kilio cha wananchi kimesikika sagi sana tunaishukuru serekali yetu yulikiwa hatufanyi biashara kisa maandamano hv ni wapi uliona maandamano ya vibaka
 
Ushauri wa bure kwa Nchimbi:...make sure your words are SOFT & TENDER, you might be required to SWALLOW them in the future...
 
Reasoning ya watu chini hii ipo chini kwa kiwango cha juu, ee Mwenyezi Mungu tuepushe coz majanga yalianza kwa hali km hii, mtu yeyote hawezi tumia mabavu au mtutu wa bunduki kubaki madarakani, maCCM yapo desperate sana so yanafanya chochote yanachoona kinafaa hata kama ni ubakaji wa demokrasia, but beware u'r end is coming very swiftly, maandamano siyo ya CDM km wengi wenu mnavyodhani ni sehemu ya watu au makundi ya watu kuonyesha kutoridhishwa na jambo fulani, iwe kwa wanachuo au tabaka la wafanyakazi km waalimu, madaktari, for God's sake maandamano started from time immemorial since Luddism na Chartism why now? probably tutakuwa miongoni mwa nchi za kwanza duniani kufanya jambo hili, but beware historia itatuhukumu kwa kila tulifanyalo shimo unalomchimbia mwenzio utatumbukia mwenyewe, naiasa serikali ya CCM kitu wanachotaka kukifanya kina hatari kubwa sana my God wapo wapi TISS katka hili wasitoe ushauri kwa mkulu wa kaya na serikali ya chama chake? tusiangalie jambo hilo kwa urefu wa pua, utakuwa ni ubakaji mkubwa sana kuwahi kutokea wa demokrasia na katika hili rais wangu hautasalimika, mchezee ishu yoyote lakini kwa hili, vijana wa mtaani wanasema mmebugi meen, maandamano hayakuanza na hayataisha na CDM, mwenye masikio na asikie.:confused3:
 
Hii ndio nchi inayojitangaza kufuata miiko ya Utawala wa Kidemokrasia
 
Hivi bado hawajapitisha huo muswada?
Wapitishe hata ule wa wananchi kutokupiga kura ktk kumchagua Rais na wabunge & Co.

Na bado mwaka huu tuataona vioja vingi mkuu, ama kweli ukistaajabu ya Musa ...................
 
Unajua ifike muda watanzania tuwe wazalendo wakudai haki,alichokiongea nchimbi ni sawa ametumia kugha sanifu,lakini hakufikili sahihi,,hivi hajui kuwa yanawezakuwepo maandamano ya kuwepo kwa sheria ya maandanano nchi nzima,,,jamani watanzania kufikili hakulipiwi bili wala kuwaza hakuna kodi tunayotozwa,,hapa nchimbi baba umechemka,mi binafsi hata sikukubali
Na bado mwaka huu tuataona vioja vingi mkuu, ama kweli ukistaajabu ya Musa ...................
 
Naunga mkono hoja ya waziri.Maana watu wengine wamekuwa wakihongwa ili washiriki kwenye maandamano.kikubwa sheria iweke wazi ni ukubwa gani wa jambo linalohitaji maandamano
Pia iwekwe sheria ya kuwabana wanatumia pesa kushawishi maandamano
 
Huo utakuwa mwisho wa CDM kisiasa waliozoea kuendesha harakati za kisiasa kupitia maandamano yanayoharisha ustawi... ikibidi zoezi hili lianzie Arusha Mjini

Nakusikitikia sana! Historia inaonyesha kuwa tawala zote ambazo zinaelekea kufa hutumia mbinu hizo za kubana na kuminya haki za raia. East Europe ilikuwa hivyo, Northern Afica na Middle East vivyo hivyo.
Sheria maalum dhidi ya CDM ni kuwaongezea umaarufu.
Pia muswada huo ni kinyume cha Katiba ambayo ni sheria mama.
 
Kitakachowaokoa ni kutunga sheria ya kuzuia uchaguzi, na si kwa muda mrefu. Wakati nyie mmekaa mnasubiri mikate ya mana wenzenu wanakimbia. CDM walilijua hilo siku nyingi wakabadilisha style ya kuwafikia wananchi, pikipiki kila kata, kijiji kwa kijiji. Kushusha chama chini kabisa kwa family level kwa kutumia mfumo wa majimbo. Chezea CDM wewe, walikuja na fimbo ya ufisaji wakajua mtaidandia, wakawaachia iendelee kuwavuruga, wakaingia na maandamano, mkaidandia mlipoona mmechemsha na hakuna anayewasupport mmeingia choo cha kike, mtakapojua kuwa sera ya majimbo moto wa gesi, mtajaribu kuiiga (Kama mlivyoiga Mchakato wa katiba na elimu bure) na ndio kaburi lenu.
 
CCM mtatapatapa sana kutafuta kujinasua kutoka kwenye hasira za watanzania ila its too late guyz!!!!!!! fanyeni kazi mliyotumwa na watanzania acheni kupambana na CHADEMA ninyi sio chama cha upinzani!!! au mmeshajisahau kama kuna ahadi kama laki 1 mmeahidi kuwapa watz tangu enzi za uhuru lakini bado hamjazitimiza!!! its a shame!!!!!!!
 
Kwa mfano majuzi mh. Msigwa alivyo wasilisha taarifa kuhusiana na majangili, kuwa wanaohusika na ujangili ni abrahaman kinana na viongozi wengine ndani ya serikali nilitegemea emmanuel nchimbi atamwambia mh. Msigwa athibitishe lakini alivyokosa aibu akakanusha kuwa abrahaman kinana hausiki ila yeye ni wakala wa meli iliyo beba pembe za ndovu, walipo muuliza kinana akasema mzigo uliyo bebwa siyo wake ila yeye ni mmiliki wa meli, sasa unaona maelezo yapo tofautiana na nchimbi.
 
Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.

Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.

Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Ikumbukwe ni hapo jana tu CHADEMA kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti CHADEMA na kukiimarisha CCM.

Mwaka 2016 watakapokuwa chama pinzani watashirikiana na CUF kudai maandamano yaruhusiwe. Mchimba shimo ataingia mwenyewe.
 
pole sana kama akili yenyewe ndio unayo ya mawazo finyu kama hayo hujui maana ya democracy
 
hayo ni yamdomoni mwake wala hata subutu labda kama anataka machafuko bichwa kubwa akili sifuri
 
Katika hali ya kusikitisha na kushtusha Waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi ameliambia bunge jioni hii kwamba serikali ya CCM imeridhia kuleta mswada bungeni ili itungwe sheria ya kuzuia maandamano kote nchini.

Nchimbi amesema hiyo ndiyo njia pekee ya kuondoa uvunjifu wa amani nchini unaofanywa na watu wasiolitakia mema Taifa.Waziri amesema mswada huo utaletwa wakati wowote kuanzia sasa akimaanisha tayari umeshakamilika.Nchimbi alikuwa akishangiliwa sana na wabunge wa CCM wakati alipokuwa akitamka maneno hayo.

Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa demokrasia katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Ikumbukwe ni hapo jana tu CHADEMA kilidai kunasa mpango wa siri wa serikali ya CCM wa kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ili kukidhibiti CHADEMA na kukiimarisha CCM.
This is unbelievable, kweli kabisa wanachofanya sasa hivi ni namna gani watazuia CDM?, Ndipo uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo?
Kwa ni nii wasiseme wazi kuwa ni ya kuzuia maandamano ya CDM?, kimsingi, tunapoona CDM inahujumiwa kwa nguvu, tunaamua kuisupport, wanachojaribu kufanya ni sawa na kuzuia maji ya maporomoko kwa mchanga.
 
Back
Top Bottom