Must see Movies

Movie inahusu MUKE na MUME ambao walikuwa wana matatizo ya kupata ujauzito na kuamua kupata mtoto kwa kumtumia binti na kumpandikiza mbegu na hatimaye akapata ujauzito. Baada ya kupata ujauzito akaanza kung'ang'ana na Baba mtarajiwa na kuonyesha kwamba anamtaka kimapenzi.

When the Bough Breaks": A surrogate mom for a couple becomes dangerously obsessed with the soon-to-be father. Stars: Morris Chestnut, Regina Hall, Romany
Sijafungua video
Hebu niambie ni movie gani hiyo?
 
Movie inahusu MUKE na MUME ambao walikuwa wana matatizo ya kupata ujauzito na kuamua kupata mtoto kwa kumtumia binti na kumpandikiza mbegu na hatimaye akapata ujauzito. Baada ya kupata ujauzito akaanza kung'ang'ana na Baba mtarajiwa na kuonyesha kwamba anamtaka kimapenzi.

When the Bough Breaks": A surrogate mom for a couple becomes dangerously obsessed with the soon-to-be father. Stars: Morris Chestnut, Regina Hall, Romany
Ooooh!! Jina la movie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom