Must see Movies

Mkuu @MGccul unadownload vipi mana nikiclick download inaniambia imekuwa added to my wishlist download
 
Hii List ya 2016 inanifanya nakuwa nusu Chizi.....

Wapenzi wa Animation

96dd420423227c491017b608571ba168.jpg
.

I can't wait April 29 maana trailer lake nimelipenda sanaa

b9d42c576cd9c122c4bb6cbd01ac4901.jpg

Ndo movie iliyo mpa tuzo huyu jamaa...
Zaidi ya miaka 20 ya uigizaji..
One of my favorite 2016

b1637ade7a5d4495a8a1737f762555e1.jpg

Naiacheje God's Of Egypt

cc2655c5d944c1eaad978eb0ef5cd558.jpg

Naikubali sanaaa..

3057b9fcb7045b2980cf8421c455fb97.jpg

London has Fallen.. My favorite One.. Tangu mwaka huu uanze...

f9a6059d4a7f047a5ba89ae581ef6f80.jpg

Kama umeangalia series ya breaking bad utakuwa unakumbuka huyu jamaa alikuwa anaitwa Walter..

I can't wait.. 15 July...
2ffaac02fb107a831963065476c41eac.jpg

Wapenzi wa hacking stuffs... Haya mzigo huo..
Deep Web
ac26abe3abdb79f2376069e4465d60af.jpg
Mkuu nimedownload showbox ikisapotiwa na bluestack tatizo nikimaliza kudownload move haijisevu kwenye pc inakuwa ipo pale pale kwenye showbox sehemu ya downloading
 
Mkuu nimedownload showbox ikisapotiwa na bluestack tatizo nikimaliza kudownload move haijisevu kwenye pc inakuwa ipo pale pale kwenye showbox sehemu ya downloading
Mkuuu mm sijawahi install kweye pc... Let try to install kwa hiyo support ya bluestack then ntakupa feedback....
 
Sawa mkuu nasubiria mrejesho wako...
Fanya install Es File Explorer hii ni file manager... Ambayo itakupeleka hadi kwenye download folder lako ambalo litakuwawa lipo pamoja na hiloo la Showbox...
Nahisi hukoo utakuwa na uwezo qa kuhamisha kutoka kwenye BS (bluestack) na kuweka kwenye machine yako ( hard disk etc)
 
Sawa mkuu hiyo Es ni nini na nalipata kwa ku google au.??
 
Playstore ES FILE EXPLORER
Mkuu nili install ile ES FILE EXPLORER nikashindwa kabisa kuitumia ilinipiga piga chenga wee nikaamua kua unstall kila kitu mpaka showbox yenyewe nikaona bora niende torrent kule nilifanikiwa baada ya kuidownload nikaenda kwenye search engine yake nikaanza kupakua mizigo ila cha ajabu sasa jana nikadownload move moja hivi baada ya kumaliza ikaanza kuplay design ya music hivi sasa hapa sikujua nini kilitokea.Naomba unisaidie ni namana gani nitaweza kuzitambua full movie maana unapoisearch move husika katika torrent search engine inakuletea move nyingi za move hiyo hiyo sasa katika kuichagua ipi ya kudownload inakuwa shiidaaa mkuu naomba msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom