Must see Movies

Kuna movie ya naitafuta ila sijaijua jina lake ni ya Eddy murphy,kuna mtu alikuwa ana hadithia tu...yani kuna mti ambao Eddy Murphy kila atakapo ongea neno moja na jani moja hudondoka katika ule mti na kila majani yanapozidi kupungua naye uhai wake unazidi kupungua.
 
Inaitwa a thousand words
 
Hii movie bomba sana based on true story inasikitisha pia inaonyesha mchango mkubwa wa huyo mwanamke mweusi ambaye sasa ni marehemu mchango wake mkubwa sana katika kufanikisha malengo ya NASA kwenda mwezini. Ukiweza tafuta muda ukaione.

Similar Discussions

25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom