Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Status
Not open for further replies.
Hachelewi kutokea mwingine akajifanya bwana mushi kafufuka humu majanga matupu
 
Kiukweli huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana..na humu jf alikua anatumia jina la "godoro-la-comfy".

RIP Mushi mkali. Onelove...we ndo jembe la ukweli.

Jamani tuwe na uhakika,asije huyu jamaa akarudi tena kama yule mtoto wa Mwanza,tukakimbiana humu
 
Naomba nikupoze kwa hizi vitu

A-waitress-carries-beer-g-001.jpg

Nini hio manyonyo au mbege ya kwetu?
 
Na ID yake inaonesha yuko banned!!! i.e godoro-la-comfy banned!!! Au ndo mbinu za mods!!!
 
Ina maana ufoo alikuwa anapenda sana kujamba au bado anapenda mpaka sasa hivi?
 
Kazi ya duniani ymaimaliza sasa
Alazwe Anapostahiri.
 
Kama ulihairisha kusoma kwa ajili ya unene wa Zena naona siku akikupiga chini utahairisha kuishi.....

jamani nimeiona hii comments kwenye uzi wake wa napenda wanawake mabonge dah jamaa kama ailimtabiria kifo hivi
 
Pole sana mkuu, huyo aliyekua rafiki yako alienda lini Sudan kikazi? Nataka kujua kama ile post ya kupanda ndege ndio alikua anajiandaa kusafiri au ilikua kuchangamsha jukwaa tu!

Labda alikuwa anaenda sudan kwa meli unajuaje?
 
Watu wa karibu na Mushi wanasema si mwongeaji na ni mpole sana sidhani kama anaweza kuwa ndiye godoro la comfy anayeandika vitu vya ajabu humu

Na kweli kama ni mpole na sio muongeaji,ndo mana akatoa chamoto kumaliza hasira zake
 
This is not fair Invisible lindeni privacy za members ata kama hatupo nao tena.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom