nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
jamani nimeiona hii comments kwenye uzi wake wa napenda wanawake mabonge dah jamaa kama ailimtabiria kifo hivi
Wewe huyu jamaa amekufa?! Kwani Zena amempiga chini.......
dah!
ila hii ya kujiua hiii HAIENDANI NA aina na mtu nyuma ya keyboard za GODoro la comfy
sijui lakini!
Its crazy how JF members are cheaply taken by lies! Read analytically below and engage your brain to reason:
JF Name: godoro-la-comfy
Join Date: 9th September 2013
Died: 13th October 2013 Morning! Source: Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!
AND Then???!!!!
Last Activity: 14th September 2013 13:16

Kiukweli huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana..na humu jf alikua anatumia jina la "godoro-la-comfy".
RIP Mushi mkali. Onelove...we ndo jembe la ukweli.
Watu wa karibu na Mushi wanasema si mwongeaji na ni mpole sana sidhani kama anaweza kuwa ndiye godoro la comfy anayeandika vitu vya ajabu humu

data mie niko mguu ndani mguu nje..sielewi kabisaaaaawewe umeshaamini huu utumbo?
Watu wa karibu na Mushi wanasema si mwongeaji na ni mpole sana sidhani kama anaweza kuwa ndiye godoro la comfy anayeandika vitu vya ajabu humu
Kiukweli huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana..na humu jf alikua anatumia jina la "godoro-la-comfy".
RIP Mushi mkali. Onelove...we ndo jembe la ukweli.
what?!!.Nauhakika sana...badae tena. ..alitumia jina lingine...he was kinda a funny guy kwenye threads zake. Kuna jina pia alikua akitumia....
kitu kama..." dem-wa-konabar"