Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Status
Not open for further replies.
Mbona umem-name calling marhemu? Kwani ruksa?Yawezekana hata ufoo mwenyewe hajui, utawagombanisha zaidi.
Kongosho ... bora wewe umeliona hilo sasa baada ya mtu kutaja ID yake sasa watu wanafuata post zake na kuanza matatizo ... nafikiri hii si sawa, hebu angalia hawa wajama hapa chini ...

Nimeikumbuka uzi wake uliokuwa unasema "sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni."

nimetafuta post zake nimezisoma zinachekesha sana ila ndio hivyo hatupo nae tena,pumzika unapostahili mkuu.
 
Last edited by a moderator:
dah!
ila hii ya kujiua hiii HAIENDANI NA aina na mtu nyuma ya keyboard za GODoro la comfy
sijui lakini!
 
Last edited by a moderator:
Nithibitishe pasipo shaka?..kivipi yani kwamfano?.....hujaelewa wapi...mbona nimeandika direct wadau. Au wengi humu ma LY nini?...
 
sasa kama mnamfahamu huyo jamaa mbona hamkusuluhisha ugomvi wao mpaka mauti yakamfika?
 
Jamani hii habari ni mushkeli.....huyu godoro-la-comfy alikuwepo humu jana na akala ban sasa atakuwaje alikufa juzi?
 
Last edited by a moderator:
sikua nae siku ya tukio
 
Jamani hii habari ni mushkeli.....huyu godoro-la-comfy alikuwepo humu jana na akala ban sasa atakuwaje alikufa juzi?
Mkuu Safari_ni_Safari
Si kweli, hakuwepo jana bana!
[h=1]godoro-la-comfy
user-offline.png

Banned
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]


Join Date 9th September 2013 Last Activity
14th September 2013 13:16
Avatar
 
Last edited by a moderator:
Hahahaah...uzee tena ule wa kibiongo kabisa wa bila meno mdomoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom