Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Status
Not open for further replies.
si kweli hata kidogo

Hakika..........maana jana alikuwa humu wakati kafa juzi

[h=1]godoro-la-comfy
user-offline.png

Banned
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]



Join Date9th September 2013Last Activity14th September 2013 13:16


 
hivi jamani mna uhakika na mnayoyasema hapa.
 
Isije ikawa ni wewe mwenyewe ~~unatuzuga tu hP
 
Nauhakika sana...badae tena. ..alitumia jina lingine...he was kinda a funny guy kwenye threads zake. Kuna jina pia alikua akitumia....

kitu kama..." dem-wa-konabar"

jamani ndo huyu kweli!!!!mara ajifanye mwanaume mara mwanamke
 
Kama ndo yeye dah. He was just a funny guy. RIP bro
 
habari ya kweli hii wandugu. Jamaa alikua friend wangu sana. Yan rafiki wa karibu sana hata ufoo tunafahamiana sana. Na nimetoka kama dakika 5 tu kumuona hapa Muhimbili. Inshort anaendelea vizuri
 
[h=2]Napenda wanawake mabonge[/h]
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilicha nganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao.


Kama wewe ni bonge...nakupenda sana. My kiss for you..Mmmwaah​


  • kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
habari ya kweli hii wandugu. Jamaa alikua friend wangu sana. Yan rafiki wa karibu sana hata ufoo tunafahamiana sana. Na nimetoka kama dakika 5 tu kumuona hapa Muhimbili.

mkuu mbona inaonesha jamaa alikua humu jana?
 
[h=2]Sijawahi kupanda ndege....Nielimisheni[/h]
Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot JINIA...naelekea wapi na wapi mpaka naingia ndani ya ndege?..na humo kwenye ndege nasikia kuna mikanda unajifunga....je unaweza kutembea humo ndani wakati ndege ikiwa juu?..natamani kujua kiujumla...habari za ndege. Sagari za ndani na za yale madege makubwa ya nje.​



  • kwikwiikwiikwiiiiiiiiiiiii!!!
 
habari ya kweli hii wandugu. Jamaa alikua friend wangu sana. Yan rafiki wa karibu sana hata ufoo tunafahamiana sana. Na nimetoka kama dakika 5 tu kumuona hapa Muhimbili. Inshort anaendelea vizuri

Pole sana mkuu, huyo aliyekua rafiki yako alienda lini Sudan kikazi? Nataka kujua kama ile post ya kupanda ndege ndio alikua anajiandaa kusafiri au ilikua kuchangamsha jukwaa tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom