Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

Status
Not open for further replies.
Daah Ndg. Mushi sasa kumtoa mama mkwe roho ndo nn?kakukosea nn? au naye ulimuomba papuchi akakautolea nje sasa ukaona dawa ni mkulamba Shaba si ndio!!!

Marehemu Mushi anajua alikosewa nin na mamkwe...R.I.P
 
Kuna watu wengine ni wapole ila kwenye keyboard wanafurugu
 
Labda asingepigwa ban asingejiua...angekuja MMU kuomba ushauri;

my take tuwe makini tunapotoa ushauri kuna wengine wako kweli depressed.
 
si kweli hata kidogo
We binti unaonekana unajua mengi kuhusu hili sakata, hebu funguka katika pande hizi maana kule kulikuwa na sintofahamu nyingi, hapa uwanja bado haujavamiwa na wahafidhina.....LOL
 
huu uzi unatakiwa utolewe humu ndani jamvini haraka
 
Labda asingepigwa ban asingejiua...angekuja MMU kuomba ushauri;

my take tuwe makini tunapotoa ushauri kuna wengine wako kweli depressed.

mh hivi kweli mtu aliye depressed anaweza kuleta mada za ki-comedy hapa.

yaani huyo sijui godoro -la-comfy hawezi kuwa ndie huyo Mushi bana, HAIWEZEKANI.

Huyu Godoro-la-comfy anaonekana yupo full of life, there is no way angecommit suicide

watu walio depressed hata hawana time ya kufanya vichekesho, muda wote wako kimyaaaaa
 
Kiukweli huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana..na humu jf alikua anatumia jina la "godoro-la-comfy".

RIP Mushi mkali. Onelove...we ndo jembe la ukweli.

wewe ndo godoro-la- comfy mwenyewe, u definately had 2 IDs.

unapenda attention na kuchezea watu akiri, sasa hapo nahisi utakua unacheka jinsi gani thread yako imechukua attention ya watu.
 
Easy to trust Wabongo !!sio yeye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wabongo wabishi sana na wagumu sana kuelewa. Tunajifanya kuwaiga wachina eti..au levo za kinaigeria. Kama hamtaki kuamini basi....kwanza hamnilipi hapa. Ni upendo wa kutoa info. Sa nyie kwa interest zenu mnaongea kiuandishiandishi ili muweke kwenye viblog uchwara vyenu. Hakwatwi mtu apa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom