Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #61
Rais wa Kenya atachaguliwa na wakenya wenyewe si rahisi kutabiri nani atakuwa rais wa Kenya tusubiri muda ukiwadia atajulikana.
dunia haiko hivyo leo na ndiyo maana kuna kura za maoni na kuna political pundits kazi yao ni kupunguza utata kwa kujaribu kumulika kilichoko mbele yetu kwa kutumia sayansi na tekinolojia.........