Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

No matter how many degrees a Kenyan has he will always vote on one principle only-his tribe.Look at the constitution's referendum voting patterns,a place like Bondo or Siaya where Raila hails from those who supported the constitution had a landslide victory of 99.9% while in places like some parts of Rift valley,Ruto's stronghold,the NO team hada landslide majority...verdict,ukabila forever and for always.Even Obama did not enjoy those margins of victory despite the frenzy and euphoria he aroused back then.Raila has to sweat for the Luhya's vote
.

ukabila big issue in Kenyan politics........................hakluna cha kufuata sera zaidi ya hiyo.........[MENTION]@Lonestriker[/MENTION]
 
raila hana chake tena kama itakavyokuwa 2015 kwa Jk na timu yake.

ummu kulthum waona mbali sana............................[MENTION]@ummu kulthum[/MENTION]
 
I think for Raila, his goose is cooked and like the farther he may never see Kenyan presidency. For one, he has antagonized so many people many of whom fought to give him the powers he is enjoying. And many Kenyans I am sorry to say don't trust him. He is a potential dictator. The post election violence is the other dark spot that majority of Kenyans believe that had he wanted it to end, it could not have lasted a day. Then there is the issue of western powers trying to interfere with the Kenyan election. It is now in public domain that Raila is the preferred choice of Britain. They have been caught with a hand in the candy jar trying to manipulate issues for their preferred candidate. That has made even the few of us who had a soft spot for him, to shove it aside otherwise who would enjoy return of colonialism in this age.


Uhuru on the other hand was not that popular in the beginning, but The Hague issue is making him enjoy lots of sympathy particularly from his community. It is largely believed that he organized or is perceived to have organized his community to defend themselves while the Raila brigade was busy calling for mass action. Many Kikuyus especially the enlightened ones believe that it's not fare for another Kikuyu to be elected president at least not this time around; however, if the other option is Raila, they better vote Uhuru or that other candidate who will be challenging Raila.



Musalia Mudavadi is no doubt a force to reckon with. There could be also the arithmetic of G7 alliance consolidating their support behind MM. A Musalia presidency and Uhuru running mate will in no doubt be a difficult group to beat that is incase Uhuru survives the Hague, alternatively Musalia and any other G7 member. Musalia has never at any one time stood in a podium to arrogantly rebuke others; always composed and soft. This is a trait many would like and would be perceived as a sober guy

casualties wa 2002 sasa wanapata nafasi ya kumwadhibu raila kwa kuwasaliti...na hata kibaki hamkubali Raila kwa kumsumbua 2007................it is time to pay up for his misdeeds of over-ambition
 
Even though am Tanzanian. I support Wycleff Musalia Mudavadi

On this one you will never walk alone...............................[MENTION]@leroy[/MENTION]
 
Interesting,so if Uhuru is not popular how comes he is the only 'candidate' on the neck of Raila...if he is not popular among the Kikuyu then from which tribe does he gets those votes?And if Uhuru is not popular then who is popular since the son of Jomo is neck to neck with Raila...

Lonestriker msamehe huyo Safari_Safari.....he is only airing his steam out.................. [MENTION]@Lonestriker,@Safari_Safari[/MENTION]
 
nazani mudavad kaona hawez pata access ya kugombania urais akiwa ODM ndo maana kaamua kukimbia anakohis watampa nafasi

Edward Teller uko sahihi.katiba ya ODM imempa Raila kuwa mgombea wa pekee na hahitaji kupigiwa kura..Musalia kakimbia hali hiyo...............[MENTION]@Edward Teller[/MENTION]
 
So you are TD Joshua.

TB Joshua is a liar.......mie I am only analyzing facts not a fortune teller like him....................we are worlds apart............[MENTION]@jasusi[/MENTION]
 
..Kuna siku nilikuwa naongea na Rafiki yangu mmoja Mkenya, anasema chaguo sahihi la Rais atakayeingoza Kenya baada ya Kibaki, ni Kenneth Marende, Spika wa sasa wa Bunge la Kenya. Kwamba ni Mtu makini, mwenye msimamo na asiye na makundi.

kivumah huyo hamwelewi Marende.....kwanza ni kibaraka wa Raila, pili jimboni kwake alipitia alimanusura.......tatu yuko ODM ambako raila amepitishwa na nguvu ya katiba.................hana chama mbadala nje ya Raila na ODM.............so he is out of the race................asubiri huruma ya G7 ambayo ndiyo inatarajiwa kutoa wabunge wengi 2013...[MENTION]@kivumah[/MENTION]
 
ODM ni behewa la Raila kumfikisha Ikulu na UDF ni behewa la Musalia kumfikisha Ikulu.......vyot3 ni vyama vya siasa ambavyo kazi yake ni kumfikisha mmoja wao Ikulu..........

Nilikuwa natafuta tofauti za ki-sera na mtazamo wa kisiasa. Kumbe bado tunazunguka katika habari zile zile za kila siku za personality cults?
 
wacha tuwache maneno mengi kura kenya zitapigwa kulingana na ukabila sera ni jina tu hakuna atakae chaguliwa huko eti ana sera nzuri iyo ni ndoto tu
 
Ni uroho tu wa Uraisi, yaani kila m2 anataka madaraka sasa sijui ni kwa faida ya nani.
 
Tofauti ya ODM na UDM ni nini?

...Tofauti kubwa na ya msingi ni watu na wala sio sera, ODM ni Dikteta Raila Odinga,Kibaraka wa Nchi za Magharibi, Mtu mwenye maadui lukuki nchini Kenya na ambaye kama atashinda nchi haitatawalika kutokana na uadui wake na wanasiasa wengine, na UDFP ni Mudavadi, Mtu Mtulivu, Anayeweza kuwaunganisha Wakenya wote, Asiye na Maadui, hakuna za zaidi...
 
siasa za africa ,na viongozi wake hawafanyi kazi kwa ajili ya umma ,wanafanya kazi kwa malengo yao,so usishangae kuona kiongzi anasaliti watu wake na akaenda ktk chamachengine tamaa tu hizo hawatosheki ,,
 
Raila hahitji ubavu kumtoa Musalia......kwa vile keshajitoa mwenyewe

Musalia Mudavadi hana maana.........amewekwa sawa na akina uhuru na ruto...........ameingia choo cha kike! Hakuna kiongozi bora kama Raila ndani ya Kenya, Raila akiwa rais...........wakenya (wanyonge) watafurahia matunda ya nchi yao. Huyu jamaa namfahamu........nimekaa kenya zaidi ya miaka ya saba, ni kiongozi wa wanyonge! Mungu msaidie Raila.
 
Those of us from western kenya know mudavadi was given a lot of money by the G7 thugs to fight raila. Most of the senior politicians from the luhya community have already dismissed him. What awaits him is similar to what happened to him in 2002. This time we will bury him politicaly. Raila has more support from the luhya than this clueless puppet.
 
Odinga will get more votes in Western province in a run off with Uhuru than he will get in a run off with Mudavadi a factor.

In a run off Raila has consistent support in Nyanza, Western and Coast provinces but when he is paired against Mudavadi his support levels go down in Western
 
Musalia Mudavadi hana maana.........amewekwa sawa na akina uhuru na ruto...........ameingia choo cha kike! Hakuna kiongozi bora kama Raila ndani ya Kenya, Raila akiwa rais...........wakenya (wanyonge) watafurahia matunda ya nchi yao. Huyu jamaa namfahamu........nimekaa kenya zaidi ya miaka ya saba, ni kiongozi wa wanyonge! Mungu msaidie Raila.

nakuru kama ungelikuwa mkweli mbona Kibera ndiyo jimbo la uchaguzi masikini kuliko yote Kenya na raila ambaye unamwita ni mkombozi wa wanyonge kawa mbunge kuanzia 1997? Hii ni zaidi ya miaka 15 na hakuna maendeleo pale? huu U-PM wake mbona hatuoni lolote.................usipoaminika kwa madogo ni nani atakuamini kwa makubwa? [MENTION]@nakuru[/MENTION]
 
Back
Top Bottom