...U-popularity wa Uhuru Kenyatta umeupimaje mkuu?i beg to differ, kwa sasa hakuna kama Uhuru Kenyatta kwa Wakikuyu, na hii kesi ya ICC ndio imembeba zaidi....
...Kwa sasa Luhya, ni kati ya Eugen Wamalwa na Mudavadi, kwa kuwa Mudavadi ametoka sasa ODM, tutaona jinsi gani wataweza kuunganisha nguvu zao pamoja....
...Wajaluo bado wapo kwenye utawala wa kijadi, chini ya ukoo wa Odinga, hawaelewi lolote, mvua inyeshe, jua liwake wao na Odinga tu, ata ndugu yao Rafael Tuju-Mgombea Uraisi, analijua hilo....
...Wakalenjin kwa sasa hakuna zaidi ya Rutto, ndio maana ata watoto wa Moi walipoteza Ubunge kwenye uchaguzi wa 2007, Moi amebakia historia tu, na hii kesi ya ICC ndio imesolidify zaidi ushawishi wa Ruto kwa Wakalenjin....
...Kwa Wakamba hapa ni Musyoka na Charity Ngilu tu, hakuna zaidi...