Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

tatizo la katiba ya Kenya mshindi lazima apate zaidi ya kura 50% ya zilizopigwa.....................ingelikuwa kama hapa TZ raila angelikuwa na lake jambo.................lakini duru la pili ndipo atakapoachwa mataa kama yule wa Senegal Abdulwaye......raila ataongoza duru la kwanza kwa about 34% na duru la pili ataishia kwenye 40% na mpinzani wake ataunganisha za wapinzani wote na kupata 60%................Raila is an incumbent leader na wengineo sasa watakuwa upinzani........labda ashtuke na kujitoa kwenye serikali ya umoja..........ambalo litamweka pabaya zaidi kwa maana ya kukosa access ya national resources ambazo incumbent leader huwa nazo....... The Finest
Ila hili suala la kuingilia mambo ya ICC pia litamtokea puani kabisa yeye haoni hilo lakini nafikiri wapinzani wakiunganisha nguvu zote dhidi definitely inaweza kuwa anguko kubwa kwake
kimo ndani ya handbag ya charity Ngilu zaidi ya hapo hakina lolote lile na sikukisikia kama kilikamilisha taratibu za usajili................vyama 24 vilipata usajili wa kudumu
Huyu mama nae huwa ana roho ngumu...lol
 
Last edited by a moderator:
Impressive personality.......kumbe naye ni LE MUTUZ wa BABA

Born Wycliffe Musalia Mudavadi in September 1960 in Vihiga division of the then larger Kakamega District, the young Mudavadi was the privileged son of the late Moses Budamba Mudavadi, a former education officer who later became a very powerful minister in president Moi’s cabinet.

Wealth in the larger Mudavadi family could be traced to the long period the elder Mudavadi served as a powerful minister for local government and a close confidant of president Moi. He was first appointed to the cabinet in 1979 soon after Moi succeeded Jomo Kenyatta as president.

The senior Mudavadi used his closeness to the president (having been instrumental in getting him nominated to the Legislative Assembly by the colonial authorities in the 1950s) to entrench himself both politically and economically.

He was an extremely generous person and in the 80s he regularly hosted mammoth goodwill delegations at his Mululu home in Kakamega, from other parts of Luhyaland. After such visits, each member of the delegation would leave with a bulging pocket from the King of Mululu, as the elder Mudavadi had been nicknamed due to his extensive political influence in the entire WesternProvince.

To some extent. then, one could say that long before the young Mudavadi made his own millions, the larger Mudavadi family was already a beneficiary of old money. In fact the senior Mudavadi was feted as the first Luhya to own a Land Rover vehicle in the 1950s when he served as an education officer in the Rift Valley Province, a no mean feat since Land Rovers were the vehicles of choice for the British aristocracy.

Mudavadi’s big break
The younger Mudavadi became an MP in 1989 to fill the vacancy created by the death of his father that year. President Moi immediately appointed him Minister for Supplies and Marketing but the 29-year old made little impact owing to his relative inexperience.

His big break both in politics and world of business came after the 1992 General elections when he was appointed to the plum portfolio of Minister for Finance.

It was as Finance Minister that Mudavadi entrenched himself in the world of business first venturing into insurance and later investment in the banking sector. During his tenure at Treasury, Mudavadi enjoyed good relations with big players and wheeler dealers in business and in the process learnt useful tips on how to keep afloat in the cut throat, ruthless world of business.

Mudavadi also enjoyed extremely good rapport with Moi’s former personal assistant and dealmaker Joshua Kulei. There are reports that the two ventured in a few business deals during this period.

He later served as Minister for Transport and Communications overseeing the then lucrative parastatals such as Kenya Posts and Telecommunications. He also served at the Ministry of Agriculture, besides the brief two-month stint as vice-president during the final days of the Moi presidency.

Despite being very wealthy in his own right, Mudavadi has maintained a cloak of secrecy around his investments unlike other players in the presidential race, such as Raila Odinga.

Besides being co-owner of an insurance company, a bank and other companies, among other known Mudavadi investments include an office block in Westlands and a number of residential houses in the city.

Mudavadi, a Land Economist by training who started his employment career working for a local real estate agent, Tysons Limited, also has his property management company which operates from Westlands. Analysts estimate Mudavadi’s family wealth to be in the region of hundreds of millions of shillings which means he can comfortably finance a good political campaign from personal resources.
 
Raila is too late for the presidency,the guy is too old,five years older than our JK who is completing his last term,just a year younger than Kaguta who has been in power for over a quarter of a century...huyu jamaa amechelewa sema tu he is obssessed with the presidency.
 
pole sana..Raila mstaarabu kuanzia lini? Angelikuwa hivyo yawaje PENTAGON iliyompa u-PM iparanganyike kama siyo yeye ni dikteta?.Raila na kalonzo kuwa behewa moja...................uko wapi na utetezi wa yakuwa sias za Kenya hazitabiriki hauna msaada hapo.................Raila lazima agombee uraisi na kalonzo lazima afanye hivyo..............kuhussu G& hakuna kitu kama hicho...............hao wanachofanya ni kila mmoja wao atagombea uraisi khalafu watakaongoza nafasi mbili za mwanzo ndiye watachagua wakushirikiana nao......... platozoom

Soma polepole Nimesema hivi "Raila ni Mr. vurugu lakini ni very strategies..anaonekana kama mwanasiasa mstaarabu na anajua namna ya kucheza na siasa za Kenya kuliko mwanasiasa yeyote aliyeko kilingeni."

Mwanasiasa ni perception jinsi unavyoonekana kwa watu na nature ya siasa zenu haijalishi wewe unamuonaje ila watu wanamuonje. Utashangaa watu kama Ruto na Uhuru pamoja na kuwa na kesi ya kujibu lakini wapo wanaowaunga mkono japo kwa mazingira ya nchi nyingine hata wasingefikiria kuwa madiwani!!

Pamoja na siasa za kikabila kwa hakika Raila ukilinganisha hao wengine anakubalika maeneo mengi zaidi ya Kenya hasa kwa vijana.Ndio maana ukija kwenye mpambano wa urais wengi wanasema "Raila" na washindani wake wanawekwa kwenye kapu moja "Mudavadi na Kalonzo?" au "Uhuru na Ruto" n.k.

Anachohitaji Raila ni kupata mwanasiasa kutoka kwa waluya (waliogawanyika kwa Wamalwa na Mudavadi) na kuimarisha ngome ya ODM Rift valley.....nani hapendi kuwa makamu wa Rais cheza na siasa.

Kuhusu la kutotabirika mbona umerahisisha hivyo, umesema "uko wapi na utetezi wa yakuwa sias za Kenya hazitabiriki hauna msaada hapo.................Raila lazima agombee uraisi na kalonzo lazima afanye hivyo". Ni sawa na kusema "hakuna kutotabirika kwa sababu uchaguzi lazima utafanyika" na au "Wakenya ndio watakaopiga kura'

Nilichomaanisha ni kwamba mpaka siku moja kabla ya kupiga kura ndio tutajua nani amebaki na nani na nani amejitoa kumwachia nani!............hapo patamu maana Raila atakuwa kama kunguru.........
 
tatizo la katiba ya Kenya mshindi lazima apate zaidi ya kura 50% ya zilizopigwa.....................ingelikuwa kama hapa TZ raila angelikuwa na lake jambo.................lakini duru la pili ndipo atakapoachwa mataa kama yule wa Senegal Abdulwaye......raila ataongoza duru la kwanza kwa about 34% na duru la pili ataishia kwenye 40% na mpinzani wake ataunganisha za wapinzani wote na kupata 60%................Raila is an incumbent leader na wengineo sasa watakuwa upinzani........labda ashtuke na kujitoa kwenye serikali ya umoja..........ambalo litamweka pabaya zaidi kwa maana ya kukosa access ya national resources ambazo incumbent leader huwa nazo....... The Finest

Duh! unavyopiga hesabu hizi kirahisi mpaka nimebaki hoi..kama ingekuwa hivyo basi siasa za Kenya zingekuwa rahisi sana.Yaani mpaka sasa unaamini Raila atabaki peke yake bila blocks nyingine mpaka uchaguzi mkuu? Na bado unaamini hao wengine wataungana dhidi yake kwenye duru ya pili.!!

Ngoja nikukumbushe, ilikuwa inajulikana Kalonzo ataungana na kundi la ODM mwaka 2007 ili kumtoa Kibaki lakini kilichotokea jamaa akagombea peke yake na alipoulizwa kama ataweza kumshinda Kibaki alisema "kama hamuamini mtaona maajabu"......baada ya uchaguzi alipoulizwa tena kuhusu maajabu akasema "kwani hamkuona maajabu Rais anaapishwa ikulu?".....

Lakini Kalonzo simply alikuwa anataka umakamu wa Rais kwa kuamini kuwa ikiwa Kibaki atashinda atapewa yeye kwa sababu asingeweza kumteua Uhuru kwa kuwa alikuwa mkikuyu mwenzake...angalau yeye mkamba kabila jingine lakini lenye mahusiano mazuri na kikuyu, kwa hiyo "hakuna matata",na akaupata!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mudavadi ni Mkikuyu?

hapana ni Mluhya (anatoka second largest tribe in Kenya at 14%) na huyo jamaa ni mjinga kweli kipindi cha kuvunja KANU pale Moi alipomteua Kenyatta jamaa alijitoa KANU akajiunga NARC halafu baadae akarudi tena KANU kisa; alihaidiwa madaraka na Moi akawa running mate wa Kenyatta , guess what hakuweza shinda hata Ubunge! Imagine he roted kama si huruma ya Raila akaja kumuibua katika second (2007) revolution akamteua kuwa his right hand man na akamfanya ashinde Ubunge kama sio Vice Presidency na kama si wizi wa Kibaki! Leo hii baada ya ODM kumkuza na kumjengea Umaarufu anakitupa chama at this crucial time! shukrani ya Punda....!? Anajaribu kujaribu Kalonzo Musyoka tactics! Lakini guess what he won't go far RAO only needs to pick another strong character in Luhya community to get the support maana to be fair right now u can't win if u don't play their music that's forging tribal links or alliances!
 
Mtu yeyote anayemchukulia poa Raila Odinga anajidanganya mwenyewe, na huenda anajaribu kusahau siasa za wakenya.
Raila huyu aliyekuwa adui mkubwa wa raisi Moi hadi kutiwa kizuizini kwa kushukiwa kutaka kuipindua serikali ya moi, ndiye huyo huyo alikuja kuunganisha nguvu na moi kwa kukiacha chama chake cha NDA(kama nakumbuka vizuri) na kuunda KANU mpya huku yeye akiwa katibu mkuu na kushuhudia Joseph Kamotho akiwekwa kando.

Baadae katika uchaguzi mkuu wa 2002 wakahitilafiana na moi kutokana na moi kumbeba uhuru kenyata na kutoruhusu demokrasia ifanye kazi yake. Raila akaunganisha nguvu na mahasimu wake wa siku nyingi waliokuwa KANU na kufanya kazi kubwa ya kumfanyia kampeni mwai kibaki aliyepata ajali na kuutumia muda mwingi akijiuguza lakini chini ya usimamizi makini wa Raila, mwai kibaki akaingia ikulu kwa kishindo.

Badae wanasiasa wale wale, akina Odinga, Kalonzo Musyoka, Charity Ngilu, Najib Balala na wengi wengineo waliposhindwa kukubaliana na mwenendo wa serikali ya kibaki, baada ya kibaki kushindwa kutimiza ahadi walizokubaliana wakati wanaingia kwenye uchaguzi wakaamua kuasi serikali ya kibaki na ndipo kundi la ODM lilipoanzishwa, ambalo baadae lilikuja kuwa chama cha siasa. Katika ODM kulikuwa na wanasiasa wakubwa kama Raila, Mudavadi, William Ruto, Henry Kosgei na wengine wengi ambao miaka michache tu iliyopita walikuwa hawaivi chungu kimoja, wakaunganisha nguvu zao ili kuhakikisha kibaki harudi madarakani lakini walipokaribia uchaguzi wa mwaka 2007 wakaparaganyika makundi mawili, moja la Raila na jengine la Kalonzo Musyoka, kila mmoja akitaka kuwania uraisi wa nchi yao.

Pamoja na mgawanyiko huo bado Raila aliweza kucheza vizuri karata yake na kupata uungwaji mkono wa kutosha toka makabila yote ya kenya kwa kushirikiana na wanasiasa wa maeneo hayo. Sasa kwa mara nyengine tena waliokuwa marafiki wa raila, akina Ruto, Balala, Mudavadi na wengine wamegeukia upande wa pili kwa kumtosa Raila huku wakunganisha nguvu na wanasiasa waliopata kuwa mahasimu wao katika uchaguzi wa 2007 na kuunda makundi kama ya G7, GEMA n.k. kwahiyo kwa mtazamo huu ni dhahiri kwamba wanasiasa wa kenya wote ni wabinafsi, na wala mtu yeyote hawezi kumyooshea kidole Raila na kuwaacha wengine kwamba si wabinafsi.

Kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu mdogo kwa siasa za kenya ambazo kwa asilimia kubwa zinaendeshwa kwa mtazamo wa kikabila, mtu asithubutu kum-rule out Raila katika uchaguzi ujao. Wakati wowote Raila anaweza kufanya alliance na mwanasiasa ambaye hakuna mtu alikuwa anamfikiria. Katika hilo sina wasiwasi hata kidogo kwa kuzingatia ubinafsi wa wanasiasa wa kenya, ni dhahiri kwamba wako tayari kushirikiana na mtu yeyote bila kujali tofauti zao huko nyuma ilimradi tu wanafanikiwa kupata ulaji katika uchaguzi ulio mbele yao. Kadri muda unavyozidi kusonga ndipo mbinu za ushindi zinazidi kuibuliwa, na katika kupanga mikakati nambinu za ushindi katika siasa, Raila Odinga yuko juu sana, kwa mtu anayefuatilia siasa za kenya hawezi kuthubutu kumchukulia poa.
 
Platozoom,

Ninakubaliana na mawazo yako 100%. Siasa za Kenya ziko tofauti sana na wengine wanavyodhani. Huwezi kujua nani yuko na nai hadi siku ya uchaguzi!!

Soma polepole Nimesema hivi "Raila ni Mr. vurugu lakini ni very strategies..anaonekana kama mwanasiasa mstaarabu na anajua namna ya kucheza na siasa za Kenya kuliko mwanasiasa yeyote aliyeko kilingeni."

Mwanasiasa ni perception jinsi unavyoonekana kwa watu na nature ya siasa zenu haijalishi wewe unamuonaje ila watu wanamuonje. Utashangaa watu kama Ruto na Uhuru pamoja na kuwa na kesi ya kujibu lakini wapo wanaowaunga mkono japo kwa mazingira ya nchi nyingine hata wasingefikiria kuwa madiwani!!

Pamoja na siasa za kikabila kwa hakika Raila ukilinganisha hao wengine anakubalika maeneo mengi zaidi ya Kenya hasa kwa vijana.Ndio maana ukija kwenye mpambano wa urais wengi wanasema "Raila" na washindani wake wanawekwa kwenye kapu moja "Mudavadi na Kalonzo?" au "Uhuru na Ruto" n.k.

Anachohitaji Raila ni kupata mwanasiasa kutoka kwa waluya (waliogawanyika kwa Wamalwa na Mudavadi) na kuimarisha ngome ya ODM Rift valley.....nani hapendi kuwa makamu wa Rais cheza na siasa.

Kuhusu la kutotabirika mbona umerahisisha hivyo, umesema "uko wapi na utetezi wa yakuwa sias za Kenya hazitabiriki hauna msaada hapo.................Raila lazima agombee uraisi na kalonzo lazima afanye hivyo". Ni sawa na kusema "hakuna kutotabirika kwa sababu uchaguzi lazima utafanyika" na au "Wakenya ndio watakaopiga kura'

Nilichomaanisha ni kwamba mpaka siku moja kabla ya kupiga kura ndio tutajua nani amebaki na nani na nani amejitoa kumwachia nani!............hapo patamu maana Raila atakuwa kama kunguru.........

Duh! unavyopiga hesabu hizi kirahisi mpaka nimebaki hoi..kama ingekuwa hivyo basi siasa za Kenya zingekuwa rahisi sana.Yaani mpaka sasa unaamini Raila atabaki peke yake bila blocks nyingine mpaka uchaguzi mkuu? Na bado unaamini hao wengine wataungana dhidi yake kwenye duru ya pili.!!

Ngoja nikukumbushe, ilikuwa inajulikana Kalonzo ataungana na kundi la ODM mwaka 2007 ili kumtoa Kibaki lakini kilichotokea jamaa akagombea peke yake na alipoulizwa kama ataweza kumshinda Kibaki alisema "kama hamuamini mtaona maajabu"......baada ya uchaguzi alipoulizwa tena kuhusu maajabu akasema "kwani hamkuona maajabu Rais anaapishwa ikulu?".....

Lakini Kalonzo simply alikuwa anataka umakamu wa Rais kwa kuamini kuwa ikiwa Kibaki atashinda atapewa yeye kwa sababu asingeweza kumteua Uhuru kwa kuwa alikuwa mkikuyu mwenzake...angalau yeye mkamba kabila jingine lakini lenye mahusiano mazuri na kikuyu, kwa hiyo "hakuna matata",na akaupata!
 
mkuu nakubaliana nawe asilimia 100 mudavadi will be the next rais should uhuru and ruto get knocked out. For raila its over before it has even begun am afraid

Never ever count Raila out, History has shown many times he upsets opponents applecart. Raila the man with an ace up his sleeve.
 
Mwita Maranya big up

Nafikiri wanaom-underestimate Raila hawataki kuzielewa siasa za nchi hiyo.Kwanza nikusahihishe chama alichotoka Raila kabla ya kujiunga KANU NI NDP tena ni baada ya kutoka FORD kenya baada ya kukorofishana na Kijana Wamalwa(alikuwa na nguvu ya kisiasa kuliko Raila enzi hizo) na kuunda NDP chama kichanga lakini ambacho kilifanya vizuri kwenye uchaguzi wa 1997.

Kama ulivyosema na nilivyosema mambo bado sana kwa akina Kenyata,Ruto,Musyoka na Mudavadi na mtu yeyote asije kushangaa mmoja wao anamuunga mkono Raila...........

Raila amepitia misukosuko mingi sana kwenye siasa ikiwemo kutiwa kizuizini mpaka alipojiunga na Moi (mtu aliyemnyanyasa sana) kuliko hawa akina Musyoka/Mudavadi ambao walikuwa wanatoka wizara moja kwenda nyingine....na Uhuru Kenyata ambaye anatoka familia iliyotawala Kenya na ambaye hajaonja machungu ya siasa za kidikteta za Moi,ukiacha hivi karibuni alivyopelekwa THEHAGUE kwa mambo aliyoyafanya kweli.

Kwa mtazamo wa vijana wa Kenya ambao ni moderate kwenye ukabila Raila ni chaguo
 
Raila hata afanyeje hawezi kuwa rais wa Kenya....raila ni kama bilal tu..
we kweli ni mpita njia katika political analysis, nafikiri sources zako zina utata!!!!!!
 
Mwita Maranya big up

Nafikiri wanaom-underestimate Raila hawataki kuzielewa siasa za nchi hiyo.Kwanza nikusahihishe chama alichotoka Raila kabla ya kujiunga KANU NI NDP tena ni baada ya kutoka FORD kenya baada ya kukorofishana na Kijana Wamalwa(alikuwa na nguvu ya kisiasa kuliko Raila enzi hizo) na kuunda NDP chama kichanga lakini ambacho kilifanya vizuri kwenye uchaguzi wa 1997.

Kama ulivyosema na nilivyosema mambo bado sana kwa akina Kenyata,Ruto,Musyoka na Mudavadi na mtu yeyote asije kushangaa mmoja wao anamuunga mkono Raila...........

Raila amepitia misukosuko mingi sana kwenye siasa ikiwemo kutiwa kizuizini mpaka alipojiunga na Moi (mtu aliyemnyanyasa sana) kuliko hawa akina Musyoka/Mudavadi ambao walikuwa wanatoka wizara moja kwenda nyingine....na Uhuru Kenyata ambaye anatoka familia iliyotawala Kenya na ambaye hajaonja machungu ya siasa za kidikteta za Moi,ukiacha hivi karibuni alivyopelekwa THEHAGUE kwa mambo aliyoyafanya kweli.

Kwa mtazamo wa vijana wa Kenya ambao ni moderate kwenye ukabila Raila ni chaguo

Linapokuja suala la uchaguzi hakuna moderate-ni ukabila tu.Wakenya watakudanganya kwamba mwaka huu hawachagui kwa ukabila lakini kwenye ballot box wanaangalia/wataangalia kabila lao tu.Check G7, kila siku 'mikutano ya maombi' kwenye ngome zao...Raila mwenyewe mikutano yake mingi ni kwenye ngome au maeneo yanayomuunga mkono tu.Kibaki mwenyewe kuna maeneo mengi tu sehemu za Nyanza hajawahi tia mguu. Raphael Tuju ni mjaluo lakini bado anapondwa mawe ujaluoni!
 
Never ever count Raila out, History has shown many times he upsets opponents applecart. Raila the man with an ace up his sleeve.

why am saying this is because the G7 Is determined to stop him at all cost or they go with the country down the drain. i just think even though raila has faced huge obstacles in the past this might just be too much for him he needs a strong person to support him otherwise gema and kamatusa will swallow him backed by moi and kibaki machinery
 
nadhani mudavadi angebaki na raila wangeunda stronger team kuliko kujitoa kwake. sidhani pia kama mudavadi anaweza pambana head on na raila na akabaki salama. nionavyo, uhuru atam-back mudavadi zaidi kuliko kum-back raila. kwa hiyo mudavadi atapata kura za wakikuyu kwa kiasi fulani. lakini kwa movement ya raila, haitamsaidia sana mudavadi-uhuru kwa vile huyu uhuru mwenyewe sio inflkuencial kiasi hicho kwa sasa. nadhani pia raila ata-form collision na mtu mwingine. ila kwa vile uchaguzi unazidi kukaribia, tutegemee kusikia mengi toka kenya!
 
Mwita Maranya big up

Nafikiri wanaom-underestimate Raila hawataki kuzielewa siasa za nchi hiyo.Kwanza nikusahihishe chama alichotoka Raila kabla ya kujiunga KANU NI NDP tena ni baada ya kutoka FORD kenya baada ya kukorofishana na Kijana Wamalwa(alikuwa na nguvu ya kisiasa kuliko Raila enzi hizo) na kuunda NDP chama kichanga lakini ambacho kilifanya vizuri kwenye uchaguzi wa 1997.

Kama ulivyosema na nilivyosema mambo bado sana kwa akina Kenyata,Ruto,Musyoka na Mudavadi na mtu yeyote asije kushangaa mmoja wao anamuunga mkono Raila...........

Raila amepitia misukosuko mingi sana kwenye siasa ikiwemo kutiwa kizuizini mpaka alipojiunga na Moi (mtu aliyemnyanyasa sana) kuliko hawa akina Musyoka/Mudavadi ambao walikuwa wanatoka wizara moja kwenda nyingine....na Uhuru Kenyata ambaye anatoka familia iliyotawala Kenya na ambaye hajaonja machungu ya siasa za kidikteta za Moi,ukiacha hivi karibuni alivyopelekwa THEHAGUE kwa mambo aliyoyafanya kweli.

Kwa mtazamo wa vijana wa Kenya ambao ni moderate kwenye ukabila Raila ni chaguo

Platozoom,
Nashukuru kwa kunikumbusha jina la chama alichoanzisha Raila na baade kukihama, ni kweli kilikuwa NDP na sio NDA(Hata hivyo nilitaja tangu awali kwamba sina uhakika sana). Nakumbuka wakati huo Michael Kijana Wamalwa alikuwa juu sana kisiasa katika chama cha Ford Kenya baada ya kifo cha baba yake Raila-Jaramogi Oginga Odinga, na hiyo ilifuatiwa na baada ya mgawanyiko wa chama cha FORD uliozaa Ford Kenya na Ford Asili muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu wa 1992. Kwahiyo suala la wanasiasa kuhama hama vyama nyakati za kuelekea kwenye chaguzi sio geni kabisa kwa wakenya, hata ukiangalia kuelekea uchaguzi mkuu wa 1997, 2002 na 2007 hali ilikuwa ni hiyo hiyo, huyu katoka huku kaingia kule na yule katoka kule na kuingia huku. Mara utasikia Rainbow collition, NARC, ODM, PNU, G7 haya ni makundi mapya yanayoibuka kila uchaguzi na hatimaye kuishia kuwa vyama vya siasa na kushiriki uchaguzi nchini kenya.

Raila alipojitoa Ford Kenya na kuanzisha NDP, Changamoto ya kwanza ilikuwa ni kupigania kiti cha ubunge ambacho alikipoteza kwa kujitoa ford Kenya. Pamoja na wapinzani wake kuwekeza vya kutosha katika jimbo hilo(nakumbuka jimbo la embakasy) huku Raila akiwa chama kichanga cha NDP lakini alimudu kuibuka mshindi. Na ulipowadia uchaguzi mkuu wa 1997 Raila akaibuka mshindi wa tatu nyuma ya Moi na Kibaki. Kwahiyo Raila ni mjuvi sana wa siasa za Kenya, na ndio maana mimi binafsi ninaamini kwamba bado ni mapema sana, kwani wakati unapodhani umemmaliza ndipo anapoibuka kwa nguvu kubwa, na hii wanasiasa wenzake wa kenya akina uhuru, ruto, ngilu, kibaki, mudavadi pamoja na magenge yao yote ya G7 na mengineyo wanatambua umadhubuti wa Raila, na hawawezi kujihakikishia ushindi kamwe hadi matokeo yatakapotangazwa!!

Raphael Tuju asingefika hapo alipo leo kisiasa kama si Raila. Mwaka 2002 alimsaidia sana hadi kupitishwa na coallition ili awanie ubunge na hatimaye akapata nafasi ya kuingia serikalini kama waziri. Baadae Raila aliposhindwa kuelewana na Kibaki, Tuju akachagua kusimama upande wa Kibaki na kusahau kwamba Raila ndiye kamfikisha hapo. Kilichomkuta Tuju uchaguzi mkuu wa 2007 kila mmoja anafahamu, hata ubunge tu hakupata!! Sasa anapotafuta kuwania uraisi ni hakika kwamba hawezi kamwe kufua dafu, na sana sana anatumiwa tu na wapinzani wa Raila kwa kutaka kuzigawanya kura za jimbo la nyanza ingawa naamini kwamba hana ubavu huo.
 
Uroho wa madaraka,siasa za makundi na ukabila zaita imaliza afrika.
 
Raila lazima awe Rais ajaye wa Kenya, usije ukamwangalia kwa wasiwasi.
 
why am saying this is because the G7 Is determined to stop him at all cost or they go with the country down the drain. i just think even though raila has faced huge obstacles in the past this might just be too much for him he needs a strong person to support him otherwise gema and kamatusa will swallow him backed by moi and kibaki machinery

Raila is well aware of the threat poised by G7, and he is well prepared to take on the alliance. Raila will emerge with a strong person from Luhya to support him, such that G7 and other alliances are going to face a very tough battle!!
 
uchaguzi wa 2002 ulikuwa ni referendum ya Moi na ndiyo maana akina Odinga walianzisha msemo usemao yote yanawezekana bila Moi.......uchaguzi wa 2013 ni referndum dhidi ya Raila kuhusiana na nafai yake ya U-PM.............it is over 4 him ajiandae life without politics....kwa sababu alivyo big headed hata ugavana hataomba au hata useneta.............God humbles the exalted but have mercy on the humbles....................Raila is too proud and God will cut him to size very soon...............[MENTION]@agwambo[/MENTION]

I agree with you here.I used to support raila but the more he opens his mouth or his associates like midiwo do the more you realize how immature and delusional these guys are.they've always played the part of being uncooperative to those not with him.how then do you expect raila to work together with others in building the nation. I doubt he will. he is the type who believes that only his way is right and that is not what makes a good leader.I'd rather go musalia. he Atleast has a head on his shoulders.
 
Back
Top Bottom