Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

madd280412_01.jpg
 
Waluhya wamechoka kubeba makabila mengineyo na Mudavadi yupo ndani ya shinikizo lazima awe kwenye ballot box akigombea uraisi........ndoa yao na Raila ni historia kwa sababu Raila naye hayuko tayari kumbeba mtu mwingine akizinatia he willbe turning 70 very soon......and time is running out.........
Hapo kwenye age Mkuu umelenga lakini bado Raila anao watu kwenye eneo hilo, hasa yule jamaa aliyemuepusha The Hague!!! Bado kwenye maeneo ya Nyanza ni maarufu saana hata kwa Bwana Ruto Wakale amewekeza pia!!!!

 
madd280412_01.jpg
Kumbuka kuwa siasa za Kenya hazipo kama tulivyo Tanzania,
isitoshe Raila anakubalika zaidi hata eneo analotoka Mudavadi.
Je, hii inaashiria nini?...

it is game over kwa Raila kwa sababu billa ya kuungwa mkono na waluya hawezi kuwa Raisi na waluya sasa wamepata mtu wao katika Mudavadi.................Kabla ya Mudavadi kujitenga Waluya walikuwa wakimuunga mkono raila...........not anymore.....
 
Mkuu umaarufu wa Uhuru Kenyata ni kwa Wakikuyu peke yao sasa Kenya ina makabila mengi, mtu maarufu kwa makabila yote mpaka coast ni Raila for your information!!!
Hivyo akipata kura za Wakikuyu hawezi kupenya kwa Kenya yote!!!!


hao watu coast wanasema hawatavote....
 
Mkuu umaarufu wa Uhuru Kenyata ni kwa Wakikuyu peke yao sasa Kenya ina makabila mengi, mtu maarufu kwa makabila yote mpaka coast ni Raila for your information!!!
Hivyo akipata kura za Wakikuyu hawezi kupenya kwa Kenya yote!!!!

Mkuu siasa za kenya wewe bado sana.............pwani kule hakuna wapigakura wakushindana na kimbunga cha wakikuyu, wakalenjini na wajaluo wakiamua kuungana.....na inavyoelekea lengo la hayo makabila makubwa ni kujenga mazingira ya kuhakikisha Raila hawi raisi siyo kwa sababu ni mjaluo la hasha ila wanamwona ana hulka ya udikteta......
 
Nikishamaliza vita iliyopo hapa nyumbani Tanzania ndio nitakuwa na uhalali wa kuangalia mambo ya Wakenya. Tanzania inatokomea tuwaache Wakenya na siasa zao kwa sababu wao kwao hawana time na siasa zetu.

akili zako na zangu sawa sawa kabisa,wakenya wakafie mbali huko
 
Fidel80..opinion poll ya jana kabla ya hili tukio imemweka Raia ngoma droo na Uhuru Kenyatta wote 44% na ikiwa 12% undecided..............................hii ni opinion poll ya Synovate....Raia will never ascend to Kenyan Presidency the real problem for him he is too abrasive......and has exalted himself above everything and God will humble him in the next poll
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.
 
mudavadi kavutwa na lile kundi la uhuru/ruto/kalonzo. Na kwa hali ya kisiasa kenya inayoongozwa na ukabila natumai mudavadi huenda akaungwa mkono pia hata na raisi kibaki kuhakikisha tuu tinga haukwai uraisi wa kenya.

Yetu macho maana wale washtakiwa wa icc wako tayari kupambana vilivyo kuhakisha raila hapati uraisi.
kila siku najiuliza,kwa nini wanasiasa wakubwa kenya karibia wote wanamgwaya raila?
 
Hapo kwenye age Mkuu umelenga lakini bado Raila anao watu kwenye eneo hilo, hasa yule jamaa aliyemuepusha The Hague!!! Bado kwenye maeneo ya Nyanza ni maarufu saana hata kwa Bwana Ruto Wakale amewekeza pia!!!!

Kenya hawawezi kukuamini wa kabila jingine kama wanamgombea wao....ukabila wao unanguvu sana...tafuta sababu ya kwa nini mkalenjini ampigie kura Raila badala ya kumpigia Mkalenjini mwenzie ambaye ni Rutto.............raila atasomba siyo chini ya 80% ya wajaluo wenzake lakini hiyo ni chini ya kura milioni moja na nusu na kuwa Raisi wa Kenya wahitaji angalau kura milioni 6 hivi........Raila hawezi kufikisha hata milioni tatu baada ya kukosana na Mudavadi...........It is game over............hata yeye anajua na ndiyo maana analia na ukabila wa wenzie lakini haongelei wa wajaluo wenzake ambao ndiyo wanaomwuunga mkono..............It is mudavadi to be next Kenyan leader and not Raila...........Raila will lead the first ballot but will lose the 2nd ballot...............to Mudavadi assuming uhuru and Ruto are ICC confined........
 
kila siku najiuliza,kwa nini wanasiasa wakubwa kenya karibia wote wanamgwaya raila?

tabia yake ni kikwazo ............msimamo wake ni kuwa aidha uko naye au ni adui wake...............he is too abrasive and dictatorial too
 
Raila ni sawa na Dr Slaa. aliporwa haki yake mwaka 2008 lakini hakika anachukua nchi safari hii, huyo Mudavadi hana chake na safari ya kisiasa imefikia kikomo...

Wewe acha kuleta Siasa za kwenye magenge.Unamfananishaje Slaa na mroho wa madaraka Raila!. Slaa alipoona CCM wamechakachua aliona haina haja ya kugombania madaraka na kusababisha vifo vya watu isipo lazima.

Huyu Raila kwa taarifa yako istoria ina muhukumu ,yeye kuitawala Kenya ni ndoto according to wachambuzi wa mambo na baazi ya wakenya.Ndio maana badala ya kuweka makubaliano ya amani akawapeleka wezake ICC ,ila hali anajua hatua ile itachochea chuki kwa pande zinazovutana.

Raila ni wakumfananisha na Morgan wa Zimbabwe,hawa ni vibaraka wasio na uzalendo -afrika.Baba zao walikuwa vibaraka wa wakoloni wakaneemeka kupata utajiri uliyokithiri ndio leo wanautumia kutaka kutawala.

Hata kama unamapenzi na Raila ,kumfanisha na Dr. Unakosea sana.
 
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.

it is true I am not God but I am inspired by God Himself to ascertain that Raila, like father like son, the presidency was not designed for him......................angalikuwa ana utashi wa siasa angalikataa kuwa PM na kumwachia Ruto leo wote ndani ya PENTAGON iliyosambaratika wangelimlamba miguu......lakini uroho wa madaraka sasa unamuumbua...........udhaifu wake kama kiongozi njenje.......................kila mtu anamjua ni kiongozi wa namna gani kama akiupata uraisi.......ukumbuke ni ile PENTAGON ndiyo iliyomfikisha hapo alipo na maisha yake yote amekuwa akiwasaliti wenzie.sasa the chickens are coming home not to roost but to roast him.....Raia the traitor........
 
Rais wa Kenya atachaguliwa na wakenya wenyewe si rahisi kutabiri nani atakuwa rais wa Kenya tusubiri muda ukiwadia atajulikana.
 
Raila hata afanyeje hawezi kuwa rais wa Kenya....raila ni kama bilal tu..

Afadhali uwaambie kamanda.

Wengi wanaojadili siasa za Kenya humu wanazifuatila kwenye tv ,tena ITV inayonyesha habari moja ya Kenya ,Uganda,Rwanda na Burundi.

Raila alipotez credibility alipong'ang'ania cheo cha uwaziri mkuu kwa kuruhusu watu wachinjane mitaani ili yeye apate cheo.Wakenye wengi waliokuwa wanamwamini wameanza kumwona ni parpet.Wanaompinga ndio waliomfanya akibalike uchaguzi uliopita .
 
I think it is wrong of you to say with certainty that Raila will never ascend to Kenyan presidency. You are not God.

nilichosema ni kuwa Mudavadi is now most likely the next president of Kenya..............hii huwezi ukaiita certainty but I am only expressing the most likelihood scenario and you don't need to rephrase my words to advance your parochial interests in favour of Raila........
 
unaelewa siri iliyopo hapo?

mahakama inataka uchaguzi usogezwe mbele,lakini kama wapinzani watajitoa ktk serikali ya umoja wa kitaifa inamaanisha ni lazima serikali ivunjwe na uchaguzi ufanyike upya

sasa mpaka sasa,mbinu ya kuivunja serikali na kutaka uchaguzi ufanyike mwezi wa 12 ndio hivyo tena itakamilika
 
Back
Top Bottom