Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

Discussion in 'International Forum' started by Rutashubanyuma, May 2, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Mudavadi ditches ODM, resigns as Local Govt minister

  [​IMG]
  Deputy Prime Minister Musalia Mudavadi who resigned as Minister for Local Government on Wednesday[Photo:File/Standard]
  Musalia Mudavadi on Wednesday resigned as Minister for Local Government after ditching Orange Democratic Movement (ODM) but retained his Deputy Prime Minister post. Read More


  [​IMG]
  Deputy Prime Minister Musalia Mudavadi who resigned as Minister for Local Government on Wednesday[Photo:File/Standard]  Safari ya Mudavadi kuelekea Ikulu ya Kenya sasa imeshika kasi baada ya kujitoa ODM sasa hivi na kujiunga na chama cha UDFP ( United Democratic Forum Party). Mudavadi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na Raila juu ya utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa ODM......Kufuatia hatua hii ya Mudavadi pia kajivua nafasi ya Uwaziri wa serkali za mitaa lakini anabaki kuwa Naibu Waziri Mkuu nafasi ambayo Raila hana ubavu wa kumng'oa bila ya kuvunja makubaliano yake na Kibaki kwa maana ya vyama vya PNU na ODM ambayo kwa pamoja ndivyo vinaunda serikali ya mseto.............

  SOURCE: CITIZEN TV

  MY TAKE:


  Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Raila hahitji ubavu kumtoa Musalia......kwa vile keshajitoa mwenyewe
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Anajitafutia kifo cha kisiasa. Ni vigumu sana kupambana na raila hivi sasa
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Raila ni sawa na Dr Slaa. aliporwa haki yake mwaka 2008 lakini hakika anachukua nchi safari hii, huyo Mudavadi hana chake na safari ya kisiasa imefikia kikomo...
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Siasa za Kenya huwa naangalia taarifa zao na kampeni zao ni balaa sana
  Kenya watu wamegeuza misiba au ibada za misikitini na makanisani kama sehem ya kufanyia kampeni
  Sijui Mudavadi kaona nini ila kupambana na Raila napo pagumu sana
   
 6. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,260
  Trophy Points: 280
  Hivi Raila atakubali tena kuukosa uraisi safari hii?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Nikishamaliza vita iliyopo hapa nyumbani Tanzania ndio nitakuwa na uhalali wa kuangalia mambo ya Wakenya. Tanzania inatokomea tuwaache Wakenya na siasa zao kwa sababu wao kwao hawana time na siasa zetu.
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mudavadi kavutwa na lile kundi la Uhuru/Ruto/Kalonzo. Na kwa hali ya kisiasa kenya inayoongozwa na ukabila natumai mudavadi huenda akaungwa mkono pia hata na Raisi Kibaki kuhakikisha tuu TINGA haukwai uraisi wa Kenya.

  Yetu macho maana wale washtakiwa wa ICC wako tayari kupambana vilivyo kuhakisha Raila hapati uraisi.
   
 9. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ..Kinyume chake Raila ndio ameshakwisha hivyo, uraisi atausikilizia tu kama Baba yake,Jaramogi, alivyousikilizia bombani...


  ...katika kipindi hiki kifupi baada ya uchaguzi wa 2007, ameshakosana na Pentagon members,Ruto-Rift Valley, Balala-Cost, na Mudavadi-Western, na bado Charity Ngilu-Eastern nae hawaivi tena...
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Raila ndiye rais ajae Kenya
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Ukabila wa Kenya unaufahamu........[MENTION]@Safari_Safari[/MENTION]
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hivi Mudavadi ni Mkikuyu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Fidel80..opinion poll ya jana kabla ya hili tukio imemweka Raia ngoma droo na Uhuru Kenyatta wote 44% na ikiwa 12% undecided..............................hii ni opinion poll ya Synovate....Raia will never ascend to Kenyan Presidency the real problem for him he is too abrasive......and has exalted himself above everything and God will humble him in the next poll
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Ni Mluya
   
 15. R

  Rev. Damasus Mkenda Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio Mkikuyu ni mtu wa West. The same as Raila, now they will fight to win Central where Ruto and Kenyatta have their Stronghold. If you win central it means you win Kenya.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Bukoya uko sahihi..yawaje ile PENTAGON yote imklmbie?.Hata mama ngilu kwanza hayumo ODM ana chama chake cha NARC...........kwa hiyo ushiriki wake wa PENTAGON ni wa kusua sua tu................unapoona majemedari wote wanakukimbia ujue hukubaliki
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  Yeah.central na Rift Valley...............
   
 18. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...Ni Mluhya, kabila la pili kwa uwingi wa watu nchini Kenya baada ya Wakikuyu, kwa muda mrefu wamekuwa daraja la kuwabeba watu wa makabila mengine, but this time wana mhamko wa kumpata mtu wa kwao...
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  kilichom'maliza Raila ni kuendesha ODM kiudikteta kwa mfano ugomvi wake na Mudavadi ni Raia kutumia katiba ya chama kutumia nafasi yake kama kiongozi wa chama kuwa uchochoro wake wa kugombea Uraisi bila ya kupigiwa kura ndani ya chama kwa maana ya kushindana na wengineo. Hili ni la ajabu sana kwa sababu Raila mwaka 2002 alimkimbia Moi baada ya kumtawaza Uhuru Kenyataa kwa madai ya kuwa hakuna demokrasia ndani ya KANU. Sasa kwenye ODM kaanzisha mambo ya kujihalalishia kugombea uraisi kwa kutumia katiba badala ya kura ya wanachama. Afadhali hata katiba ya KANU haikumhalalishia yeyote ugali nje ya kura za kamati husika.......
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ni Mluhya....ukabila wa Kenya na balances zake nazijua vizuri sana Ruta.....kisiasa by rank ni kama hivi:


  1. Kikuyu(hawa ni ma opportunist sana na wanajua jinsi ya kubalance mambo ila hawana strong candidate zaidi ya Uhuru ambaye sio popular sana ni kama Lowassa huku kwetu)
  2. Luhya(Hawa wamegawanyika kambi nyingi sana: Kombo Camp, sasa Mudavadi)
  3. Jaluo(wako pamoja nyuma ya Raila)
  4. Kalenjin(wamegawanyika- Moi Camp, Ruto Camp na undecideds)
  5. Kamba(hawa hufuata upepo zaidi ila wana kambi mbili-Mama Ngillu na Kalonzo)
   
Loading...