Please nitumie namba yako PM
You are the fighter and you will make it through, mark my wordsUsikate tamaa..
Mimi niliachishwa kazi ghafla na nilikuwa na deni benki marejesho 159.500 kwa mwezi, nililima matikiti eka moja yakaoza yote shambani (vyote hv vilitokea kwa wakati mmoja) hapo naishi nyumba ya kupanga kuna kulipa kodi na umeme na maji....kilikuwa kipindi kigumu mno katika maisha yangu lkn sikukata tamaa.
Nilipambana hivyo hvyo wakati mwingine nakosa hela ya kula nakula kwa baba mwenye nyumba. Sikutafuta ndg wala kuenda nyumbani ( wazazi wangu walishafariki so sina nyumbani) Lakini nilivuka. Nilikuwa namchotea mchanga mama mmoja jirani, alikuwa anajenga ndo alikuwa ananipa hela kidogo napeleka benki mpaka deni likaisha
BravoNitumie no yako dm nikurushie kidogo cha kukubust leo na kesho
Pesa haitoshi mkuuinshaAllah utapata faraja soon !!
Sema ngapi itakutosha...?
Dogo kanikunbusha mbali sana, nilikutwa na iyo hali na sina wazazi na kwa ndugu mimi ndie kaka ilikuwa hatari sana ilibidi niuze vyombo vyote vya ndani nikatafuta chumba cha bei poa zaidi na nikaanza upya. Kwy dg usirudi nyumbani pambana vyovyote mpaka ushinde iyo halnever give up mkuu,kuna watu tunapitia mapito na nyakati ngumu mkuu mbona wewe una nafuu,
shukuru hata unapa kukimbilia(wazazi) wengine hatuna,tunapambana na kumlilia Mungu na kwa wakati wake atajibu
hongera kwa kupambn bila kukata tamaaDogo kanikunbusha mbali sana, nilikutwa na iyo hali na sina wazazi na kwa ndugu mimi ndie kaka ilikuwa hatari sana ilibidi niuze vyombo vyote vya ndani nikatafuta chumba cha bei poa zaidi na nikaanza upya. Kwy dg usirudi nyumbani pambana vyovyote mpaka ushinde iyo hal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameimba na jamaa mzungu, ule wimbo unanifarijigi sanaRudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa dar ungeolewa nakwambiakodi ni 180000
nusu ni 9000
sina hata 5000 ya umeme kaka
matatizo mengine hadi raha coz naona kabisa kichwa kinachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kodi hii ni dhahili unaishi chumba cha elfu 30,kodi ni 180000
nusu ni 9000
sina hata 5000 ya umeme kaka
matatizo mengine hadi raha coz naona kabisa kichwa kinachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Pole mkuu mimi nimepitia ila sijawahi rudi nyuma..!Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
Kama upo mbeya nitafute bwana mdogo upate japo bando ni pmHiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
Bring it on.Rudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
matukio sawa ila wahusika tofauti,,,, miaka 2 baada ya kumaliza chuo nilikuwa kwenye hali hiyo na mawazo kama yako Thanks Almighty God leo kinaeleweka ninachofanyaHiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
Thanks buddyPlease nitumie namba yako PM
You are the fighter and you will make it through, mark my words
Sahivi umejua😣You could have told me