Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Ni kuboa wanaboa,too much.
Wanaboaje wakati ndiyo ukweli wenyewe? Acha watu wafunguke ili serikali ijue wapi inakosea. "Taifa stars itashinda kama vile inavyoshinda kwenye chaguzi"
Samata naye anasema timu inamwakilisha Magufuli na serikali ya awamu ya tano. Sasa utasemaje watu wanaboa wakati timu ni ya CCM na ya Magufuli?
Wao walikuwa huru na hawakujua kama watawaboa watu kwahiyo acha watu wazungumze kwa sababu nao hawajui km wanawaboa watu
Algeria piga hao CCM Stars 7-0 ili watie akili
 
... tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.

Kuishabikia Taifa Stars kwenyewe ulikuwa ni uzalendo wa hali ya juu kwa sababu kiukweli timu yetu haiko vizuri kutokana na maandalizi ya zimamoto kila wakati. Ila niliposikia imekuwa CCM Stars nikawa relieved, yaani mtu unashabikia Algeria ukijua itashinda. Sawa na kuwa shabiki wa FC Barcelona, hakuna presha.
 
Aaaaaah we wafungwe tu maana huwezi kusema ni timu ya ccm wakati ni timu ya taifa aache ungese
 
Daah! Hatimaye nimefika mwisho. Nawaza tu Stars akipata hata suluhu watu si wataumwa humu. Teh teh teh.
NB: Mtanzania mimi sio mwanasiasa jamani hivyo sitaki povu

Povu la nini kwani?
 
Daah! Hatimaye nimefika mwisho. Nawaza tu Stars akipata hata suluhu watu si wataumwa humu. Teh teh teh.

NB: Mtanzania mimi sio mwanasiasa jamani hivyo sitaki povu
hahahaha hutaki nini mjukuu wa kilomoni

20billion rasmi Leo.
 
Watanzania tumeshindwa kuwa kitu kimoja kisa kauli ya mtu na ukiangalia ka yeye mtoa hiyo kauli anapita tu na Taifa Stars itakuwepo miaka nenda rudi.

Una hekima sana Aisee. Nimekupenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…