Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Nimekuuliza hivi.

"Hata ukikubali kuna superpower.

Kwa nini hiyo superpower iwe Mungu na isiwe kitu kingine chochote, pengine hata ambacho hukielewi kabisa?"

Hujajibu.
Nmekujib labda ukumbuki.Hio super natural power ni according to akili ila kuijua ni ipi hio super natural power unaenda kweny holy book ndo hio nguv imejionesha kuwa ni from God

#Tumeelewan nadhan
 
Ni wapumbavu

Zab 53:1​

Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Upumbavu kuweza kuwepo katika ulimwengu huu ni uthibitisho kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kwa sifa zake hizo, asingeumba ulimwengu ambao upumbavu unaweza kuwepo.

Kufanya hivyo kungekuwa uchoyo na ukatili mkubwa sana, sifa ambazo haziendani na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hiyo aya, iliyokusudia kuwasema wanaosema Mungu hayupo ni wapumbavu, kwa kukubali kuwa ulimwengu huu una uwezekano wa kuwa na wapumbavu, inathibitisha Mungu huyo hayupo.
 
Bado hauko kwenye mstari kwa sababu bado unalazimisha kusema unachotetea ni kweli, kwa point unazoamini.

Mwisho wa siku thread hii itaonyesha kila mtu aende kwa njia yake mwenyewe.
 
Nmekujib labda ukumbuki.Hio super natural power ni according to akili ila kuijua ni ipi hio super natural power unaenda kweny holy book ndo hio nguv imejionesha kuwa ni from God

#Tumeelewan nadhan
Hujathibitisha hiyo super natural power ipo na ni lazima iwe Mungu.

Hakuna popote ulipothibitisha hilo.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Unaeleza tu kwamba una imani kuwa hiyo super natural power ni Mungu.

Kuamini si kuthibitisha, usichanganye mawili haya.
 
Bado hauko kwenye mstari kwa sababu bado unalazimisha kusema unachotetea ni kweli, kwa point unazoamini.

Mwisho wa siku thread hii itaonyesha kila mtu aende kwa njia yake mwenyewe.
Nimelazimisha wapi, kivipi, kwa mantiki gani, na unajuaje nimelazimisha kweli, si wewe tu unafikiri nimelazimisha kimakosa?
 
Nimekuuliza hivi.

"Hata ukikubali kuna superpower.

Kwa nini hiyo superpower iwe Mungu na isiwe kitu kingine chochote, pengine hata ambacho hukielewi kabisa?"

Hujajibu.
Mungu ni nothingness,Mungu ni totallity,Mungu ni whole,God is hot and cold together,summer and winter together,hate and love together,God is within deep being is birth and death,is vicious circle,is peace and war,is of no dualities,but complementaries,God is silence,innocence,God is illogical not logical,God is life and death,God is living,God is beyond cosmic mirror ,God circulates in a blackhole and arise in a whitehole,God is us with the whole ,God is not knowledge is just learning,experiencing and knowing,God is of no mind,no state,it just happens,it just lives,get lost and dissapear to its original source thats God.
 
Mungu ni nothingness, maana yake hayupo.

Ukishasema Mungu ni nothingness, halafu ukasema Mungu ni hot, hiyo ni contradiction.

The entropy of nothingness prevents nothingness from being hot.

Once something is hot, it is not nothingness.

It is hot. Hot is not nothingness. Hot is hot.

Umeandika ujinga unao ji contradict.
 
Upumbavu kuweza kuwepo katuka ulumwengu huu ni uthibitisho kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kwa sifa zake hizo, asingeumba ulimwengu ambao upumbavu unaweza kuwepo.

Kufanya hivyo kungekuwa uchoyo na ukatili mkubwa sana, sifa ambazo haziendani na Mungu mjuzi wa yite, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hiyo aya, iliyokusudia kuwasema wanaosema Mungu hayupo ni wapumbavu, inathibitisha Mungu huyo hayupo.
Mzee Kiranga, kwa mantiki hii hapa kwenye reply yako manake kutokuwepo kwa upumbavu linamaanisha Mungu. Yupo, basi thibitisha hiyo point yaani kuwepo kwa upumbavu manake Mungu hayupo!

Hivyo kutokuwepo upumbavu manake Mungu yupo thibitisha uwepo wa Mungu endapo hakuna upumbavu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hujawahi ona Giza muda wa mchana?
Ile mwaka 2020 kupatwa kwa jua haukuwepo duniani?

Lakini usiku na mchana inasababishwa na Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake, unatambua Hilo?

Kama unatambua inakuwaje uihusanishe na Mungu?

Unafahamu hii inaweza kuelezewa kisayansi zaidi?

Kila sayari iliyopo kwenye solar system huzunguka jua.

Na jua pia huzunguka black hole pamoja na nyota nyingine ambayo ipo centre ya Alfa Centauri.

Kifupi ulimwengu haupo static ila upo katika motion.

Na unazidi kutanuka.

Kila siku nyota mpya huzaliwa, galaxy mpya hutokea, nyota hufa na sayari zinamezwa na black hole.

Unajua chanzo chake?
Hiyo black hole ndio nini??
 
God is nothingness,silence,inner peace and joy,God flows in our blood,beats in our hearts ,we exhale and we inhale,life is God,you dont need any kind of logic to see a bird singing,water flowing or trees growing,all things in nature are illogical they dont use logic ,a tree just grows,a bird always sings,water in a river just flows ,the sun shines,the waves in an ocean,digestion of food,breathing they are whole as God,they are totallity,humans are natural ,they use there minds constructing logical ideas just to impress themselves from there foolishness,jua linawaka wewe unaanza na logic zako linawaka kisa hivi mara vile huo ndo utahira wenyewe hata usipoumiza kichwa hata ukifa leo litakuwepo na litamulika maana lipo tu naturally,logic ndo mwanzo wa chaos na misery,mabishano ya kijinga tu duniani kati ya theists na atheists,unataka kumjua mungu ili iweje,yani unataka kuprove wazo lako uliloanzisha mwenyewe ili iwe nini?

God can only be experienced in a state of sitting silence and doing nothing ,clearing your thoughts,dropping that garbage you call it knowledge,drop that EGO ,be natural and dont think just be silence that is the only way unaweza ukatranscend kuelekea kwenye threshold,sehemu ambayo kuna orgasm ya male na female,sehemu ambayo different polarities of the same source hukutana,jua-mwezi zinapokutana,upendo-chuki,baridi joto,baya zuri,hapo ndo sasa mlango mkuu wa baraza lenye ukimya unafunguka then unaungana na asili yako unaungana na totallity,unakuwa no body unakuwa ni watcher,non-doer just presence

We kula bata tu mwanangu acha kujiumiza na kujitesa na akili,akili inataka kuishi tu ndo maana unaogopa kifo ,akili inataka kuishi ndo maana mbajichorea picha ubongoni za mbinguni,ishi maisha kuwa wewe utahisi na kujiunga na uwepo wa Mungu utakuwa huru

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan tuna akili ili tudiscuss hizo naturally things.Matumiz ya akili hayatokoma sabab ni salam kwa maish ya mwandam mshikaj wang.Huwez sema logic hazifai haliyakuwa muunganiko wa logic mbali mbali imepelekea urahis kweny maisha.

Tunapoona ndege anapaa, ng'ombe anatembea lazima tupate doubt na maswali mengi sana how it happened why ng'ombe hapai, hapo akili ndo uleta logic + logic + logic = reality

Akili inakaz kubwa sana ndo maan tunayo
#Tuitumie tafadhar
 
Hujathibitisha hiyo super natural power ipo na ni lazima iwe Mungu.

Hakuna popote ulipothibitisha hilo.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Unaeleza tu kwamba una imani kuwa hiyo super natural power ni Mungu.

Kuamini si kuthibitisha, usichanganye mawili haya.
Okay nimejitahid kuthibitisha kuna mung lakn umeshindwa kuelewa.

Em nishawish hakuna mungu yan uniambie how things goes by it's own?

Niko hapa nasubir kuwa atheists
 
Kiakili tu lazima uhisi kuna super power kweny hii dunia.

Kuzaliwa,kuishi,kufa na kufufuliwa ni dalili tosha yupo mungu (Allah (saw) according to islam)

Kweny uislam kuna dalili za kuwepo mungu

01.Maisha ya mwanadam
02.Kuwepo usiku na mchana

Zipo nying izo ni chache.Ukifikir maisha ya mwandam unagundua kuna kitu kipo nyuma,hiko kitu ni Allah kwa hakika

Why allah (sw).
Sabab qur an iloleta habar za Allah(sw) na mafundisho yake imefanikiwa kutushawishi kuwa kuna mungu(allah)

muingiliano mkubwa wa 100% wa hayo mafundisho na maisha ya kila siku ya wanadam imetufanya tukiamin hiko kitabu pamoja na maelezo yake juu ya uwepo wa mungu. Si kila kitu usithibitishwa kwa kuonwa kwa macho

Wew unaamin binadam tunaroho Je ushawah kuiona. Tukianza kuelezea science ya mawasiliano tutaishia kusema kuna waves zinasafirisha sauti je tukiomba uthibitisho wa hizo waves zipoje utapatikan?

Kama swala ni kuzuka tu mbona hakuzuki kitu kingine kila siku ni binadam hawa hawa, wanyama hawa hawa means hiv vitu vipo organised je whow organised.
Duh, kama mkuu umefika chuo...basi kuna tatizo kubwa sana katika mtaala wetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan tuna akili ili tudiscuss hizo naturally things.Matumiz ya akili hayatokoma sabab ni salam kwa maish ya mwandam mshikaj wang.Huwez sema logic hazifai haliyakuwa muunganiko wa logic mbali mbali imepelekea urahis kweny maisha.

Tunapoona ndege anapaa, ng'ombe anatembea lazima tupate doubt na maswali mengi sana how it happened why ng'ombe hapai, hapo akili ndo uleta logic + logic + logic = reality

Akili inakaz kubwa sana ndo maan tunayo
#Tuitumie tafadhar
Logic inaonesha kuwa.

1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya kuwepo.

2.Wakati Mungu huyo aliweza kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo.

3.Kisha akaumba viumbe wake waishi kwenye huo ulimwengu.

4. Kisha, viumbe hao wakafanya mabaya.

5. Kwa sababu wako kwenye ulimwengu unaoruhusu mabaya kufanyika, kitu ambacho amefanya Mungu.

6.Halafu huyo Mungu, mwenye uwezo, upendo, ujuzi na haki ya juu sana, akawahukumu viumbe hawa kwenda motoni milele kwa kutenda ubaya.

7. Licha ya kwamba yeye mwenyewe Mungu ndiye aliyeumba ulumwengu ambao unaruhusu ubaya kufanyika.

8.Ni contradiction kubwa sana.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote aliumba ulimwengu unaoruhusu ubaya kufanyika kama yeye hataki ubaya ufanyike?
 
Okay nimejitahid kuthibitisha kuna mung lakn umeshindwa kuelewa.

Em nishawish hakuna mungu yan uniambie how things goes by it's own?

Niko hapa nasubir kuwa atheists
Unapoandika "how things goes by it's own" unamaanisha nini?

Hiki Kiingereza kimekosewa sarufi na hakieleweki, labda jaribu Kiswahili.

Halafu toa mfano mmoja wa kulifanya swali lako lieleweke vizuri.
 
Mungu ni nothingness, maana yake hayupo.

Ukishasema Mungu ni nothingness, halafu ukasema Mungu ni hot, hiyo ni contradiction.

The entropy of nothingness prevents nothingness from being hot.

Once something is hot, it is not nothingness.

It is hot. Hot is not nothingness. Hot is hot.

Umeandika ujinga unao ji contradict.
Knowledge always makes somebody a fool,God ni nothingness maana yake ukitaka kuexperience you have to die,you have to have nothing at all,kill your ego,kill your thoughts,drop that mind ,sit silence and do nothing,dont think be innocence thats when the illogical happens to reveal itself.

Unajua knowledge is all based on logics because logic is only for those who doesnt know what life is and are trying to deceive themselves for their desire to impress their Ego,wanatengeneza dualities na division ,reading bunch of bombastic words and terminologies so as thay can feel somehow enlighten and special ,kumbe wanajikimbia wenyewe kutoka uhalisia wao na kuzama kwenye miseries ambazo ni time factored ,when death arises they die didnt enjoy life rather than just feeding A useless memorycard
 
Acha ushairi wa kijinga.

Hiyo habari kwamba "knowledge always makes somebody a fool" ni knowledge au foolishness?

Wewe unayekuja kubishana hapa umeweza kuua ego yako? Unaeleea kwamba kuja kubishana hapa tu maana yake hujaweza kuua ego yako?

Unaelewa tofauti ya silence na silent?

Wewe unayekuja hapa JF kubishana na kuwaambia watu "sit silence and do nothing" umeweza kufanya hicho unachohubiri?

Unatuambia kumjua Mungu inabidi ufe.

Wewe ushawahi kufa?

Unaipinda logic kuwa ni deception, unajua kwamba unapotumia alphabet tu kuwakikisha mawazo yako ushatumia logic, unapotumia maneno na lugha tu kuwakikisha maneno yako unatumia logic.

Unasema logic ni deception. Hadaa.

Bandiko lako lote lililotumia logic ya lugha, sarufi, herufi, ni hadaa?

Unaongelea kifo.

Unaelewa kifo kuwezekana kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hayupo?
 
Hakuna yeyote anayeweza kuthibisha uwepo wa Mungu kwa ushahidi wa aliyotenda yakionekana na yeye akionekana pia. Unless tutaleta tu story, mapokeo ya nadharia na vifungu vya dini. Kama yupo aliyewahi kukutana na Mungu , athibishe. Nje ya hapo ni blah blah tu. Mungu ni imani, na uwepo wake ni wewe kuamini tu bila uthibisho baaas. Ndicho mzungu alichotuletea na kutuchapa bakora sana kutulazimisha kuamini hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan tuna akili ili tudiscuss hizo naturally things.Matumiz ya akili hayatokoma sabab ni salam kwa maish ya mwandam mshikaj wang.Huwez sema logic hazifai haliyakuwa muunganiko wa logic mbali mbali imepelekea urahis kweny maisha.

Tunapoona ndege anapaa, ng'ombe anatembea lazima tupate doubt na maswali mengi sana how it happened why ng'ombe hapai, hapo akili ndo uleta logic + logic + logic = reality

Akili inakaz kubwa sana ndo maan tunayo
#Tuitumie tafadhar
Ndo maana hata hapa natumia logic kuwasiliana nawe,logic inatumika kuimpress ego sijakataa,ukitaka kuwa rubani,mwanasayansi,mwanafalsafa na kitu kingine mind is illogical ,only the ideas and thoughts ndo unazo zitengeneza ili kuweka kitu katika reality ambacho si natural bali unnatural and artificial,njaa sio logic,kiu sio logic,kupumua sio logic,it just happens ,its there its natural its illogical.
 
Logic inaonesha kuwa.

1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya kuwepo.

2.Wakati Mungu huyo aliweza kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo.

3.Kisha akaumba viumbe wake waishi kwenye huo ulimwengu.

4. Kisha, viumbe hao wakafanya mabaya.

5. Kwa sababu wako kwenye ulimwengu unaoruhusu mabaya kufanyika, kitu ambacho amefanya Mungu.

6.Halafu huyo Mungu, mwenye uwezo, upendo, ujuzi na haki ya juu sana, akawahukumu viumbe hawa kwenda motoni milele kwa kutenda ubaya.

7. Licha ya kwamba yeye mwenyewe Mungu ndiye aliyeumba ulumwengu ambao unaruhusu ubaya kufanyika.

8.Ni contradiction kubwa sana.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote aliumba ulimwengu unaoruhusu ubaya kufanyika kama yeye hataki ubaya ufanyike?

Mungu ameumba ulimweng salam sio ulimwengu mbaya. Ubaya na uzuri kaumbwa nao mwanadam na akapewa akili ili kutambua nin alifanyalo

Pia akapewa uhuru wa kuchagua either kuwa mbaya au mzuri na sio ulimwengu ndo maana unaona baadhi ya sehem ni salm na sehem ni aman hii yote inatokan na uhuru wa mwandam

Malaika wameumbwa kumtii mung tu kwakufany mema ndo maana malika si wabaya.

Binadam tumepewa uhuru wa kufany mabaya au kufany mema. Yan wew unafany baya hali yakuwa akili automatically inakwambia hili baya then unalaumu mung why kaleta ubaya
 
Unapoandika "how things goes by it's own" unamaanisha nini?

Hiki Kiingereza kimekosewa sarufi na hakieleweki, labda jaribu Kiswahili.

Halafu toa mfano mmoja wa kulifanya swali lako lieleweke vizuri.
Kam kuelewa vit vidogo hiv nayo ni changamoto

Am out kaka [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom