Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Ndo maana hata hapa natumia logic kuwasiliana nawe,logic inatumika kuimpress ego sijakataa,ukitaka kuwa rubani,mwanasayansi,mwanafalsafa na kitu kingine mind is illogical ,only the ideas and thoughts ndo unazo zitengeneza ili kuweka kitu katika reality ambacho si natural bali unnatural and artificial,njaa sio logic,kiu sio logic,kupumua sio logic,it just happens ,its there its natural its illogical.
Idea and thought hupelekea logic na logic it's end with reality

Naturally ni nin?
 
Mungu ameumba ulimweng salam sio ulimwengu mbaya. Ubaya na uzuri kaumbwa nao mwanadam na akapewa akili ili kutambua nin alifanyalo

Pia akapewa uhuru wa kuchagua either kuwa mbaya au mzuri na sio ulimwengu ndo maana unaona baadhi ya sehem ni salm na sehem ni aman hii yote inatokan na uhuru wa mwandam

Malaika wameumbwa kumtii mung tu kwakufany mema ndo maana malika si wabaya.

Binadam tumepewa uhuru wa kufany mabaya au kufany mema. Yan wew unafany baya hali yakuwa akili automatically inakwambia hili baya then unalaumu mung why kaleta ubaya

Mpaka sasa.

1.Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujaeleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezi kutokea.

3. Katika kujaribu kuelezea, unaleta habari za uhuru wa kuchagua. Kwamba Mungu katupa uhuru wa kuchagua. Hii hqbari haituelezi kwa nini Mungu katupa uhuru wa kuchagua mema na mabaya, kwa nini asitupe uhuru wa kuchagua mema tu.

4. Zaidi, hata huo uhuru wa kuchagua hatuna. Hatuchagui kama tuzaliwe au tusizaliwe, hatuchagui tuzaliwe sehemu gani, hatuchagui tuzaliwe na wazazi gani, hatuchagui tuzaliwe mwaka gani, na haya ni mambo yanayoathiri maisha yetu yote. Sasa ikiwa hatuna uhuru wa kuchagua hayo tu, utasema vipi kuwa tuna uhuru wa kuchagua?

Wewe ungezaliwa mwaka 1670 ungekuwa na uhuru wa kuchagua kuingia kwenye internet na kujiunga na JF?

Huoni kwamba kile unachoona umefanya kwa uhuru wako, kuingia kwenye internet na kujiunga na JF, kiukweli hujafanya kwa uhuru wako, umefanya kwa sababu ilikuwa ni sehemu tu ya options ulizokuwa nazo kutokana na mambo mengi ambayo yapo nje ya uwezo na uhuru wako?
 
Kam kuelewa vit vidogo hiv nayo ni changamoto

Am out kaka [emoji119][emoji119][emoji119]
Unaelewa kwamba, ikiwa kweli mimi nina tatizo la kuelewa, na sielewi vitu vidogo tu, huo nao ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, angekuwapo kweli, kila mtu angekuwa na uelewa sahihi na wala kusingewezekana kuwa na upungufu wa uelewa sehemu yoyote, kwa mtu yeyote, muda wowote

Unaelewa hilo?
 
Ndo maana hata hapa natumia logic kuwasiliana nawe,logic inatumika kuimpress ego sijakataa,ukitaka kuwa rubani,mwanasayansi,mwanafalsafa na kitu kingine mind is illogical ,only the ideas and thoughts ndo unazo zitengeneza ili kuweka kitu katika reality ambacho si natural bali unnatural and artificial,njaa sio logic,kiu sio logic,kupumua sio logic,it just happens ,its there its natural its illogical.
Unaelewa tofauti ya illogical na alogical?

Ulivyoandika inaonekana kama huelewi.
 
Unaelewa kwamba, ikiwa kweli mimi nina tatizo la kuelewa, na sielewi vitu vidogo tu, huo nao ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, angekuwapo kweli, kila mtu angekuwa na uelewa sahihi na wala kusingewezekana kuwa na upungufu wa uelewa sehemu yoyote, kwa mtu yeyote, muda wowote?
Thibitisha uwepo wa;

1. Uhai/roho.

2. Sauti.

3. Hewa au upepo physically/tangible na visible (mwonekano wa macho ya Kibinadamu).

4. Akili.

Afu mbona siku hizi unanikimbia kimbia tu bila ya kunijibu maswali wewe Atheist?
 
Kwani wapi mimi nilisema roho ipo?

Nikishindwa kuthibitisha vyote hivyo ulivyovitaja, hilo linathibitisha Mungu yupo?

Mimi sikujui, you did not register in my mind as a notable individual.

Nitakukimbia vipi wakati sikujui kama una exist dunia hii?
 
Acha ushairi wa kijinga.

Hiyo habari kwamba "knowledge always makes somebody a fool" ni knowledge au foolishness?

Wewe unayekuja kubishana hapa umeweza kuua ego yako? Unaeleea kwamba kuja kubishana hapa tu maana yake hujaweza kuua ego yako?

Unaelewa tofauti ya silence na silent?

Wewe unayekuja hapa JF kubishana na kuwaambia watu "sit silence and do nothing" umeweza kufanya hicho unachohubiri?

Unatuambia kumjua Mungu inabidi ufe.

Wewe ushawahi kufa?

Unaipinda logic kuwa ni deception, unajua kwamba unapotumia alphabet tu kuwakikisha mawazo yako ushatumia logic, unapotumia maneno na lugha tu kuwakikisha maneno yako unatumia logic.

Unasema logic ni deception. Hadaa.

Bandiko lako lote lililotumia logic ya lugha, sarufi, herufi, ni hadaa?

Unaongelea kifo.

Unaelewa kifo kuwezekana kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hayupo?
Hahaha kiranga bana,am not trying to teach you,am not trying to prove anykind or sort of knowledge hapa,am just sharing an experience,iam not actually trying to create an argumentation no,am just sharing love,ego ikishakufanya prisoner ndo hayo yanayokutokea muda huu,unafeel offended,una feel kuwa knowledge yako ndo basis key ya life yako kwanini mtu acritisize,iko ipo very powerfull,ego ipo very deffensive,ego ina work clevery not intelligently,ego ina penda ku act ego haipendi kufa inataka kuendelea kuishi ni time oriented,ndo maana unauliza umeshawahi kufa?kufa isnt a bigdeal bro,kufa is just completion of a dream and a beggining of a new dream,kufa ndo maisha ili uweze kudefine life lazima kuwe na death.

Kufa kupo kwa kuwa awaken na kudrop ego,kusurrender,kukubali kuwa upo ignorant,kuwa you are NOBODY ,ego haiwezi kuruhusu hii hali kwasababu ego inadepend in time,activity,knowledge na acts pamoja na existence bila kusahau false identity uliyopachikwa na wazazi,jamii,chuo,vitabu(other people),science,philosphy and other characters mpaka hapo ulipo,ego haitakuwa kuwa looser,inaogopa kupoteza ilicho accumulate.

Knowledge nyingi sana ndo unazidi kuwa mjinga,borrower,doer,mr.desire,prince Ego,knower,power,prestige halafu mwisho wa siku ukikaribia kurudi kwenye asili baada ya kudrop mwili,hayo ma useless knowledge,material things,wealth na false identity lazima utajiuliza,WHAT HAPPENING WHAT GOING ON MARK MY WORDS,YOU CANT HIDE BUT ONLY RUN.
 
Umesema kumjua Mungu ni lazima ufe.

Wewe ushawahi kufa?
 
Hakuna yeyote anayeweza kuthibisha uwepo wa Mungu kwa ushahidi wa aliyotenda yakionekana na yeye akionekana pia. Unless tutaleta tu story, mapokeo ya nadharia na vifungu vya dini. Kama yupo aliyewahi kukutana na Mungu , athibishe. Nje ya hapo ni blah blah tu. Mungu ni imani, na uwepo wake ni wewe kuamini tu bila uthibisho baaas. Ndicho mzungu alichotuletea na kutuchapa bakora sana kutulazimisha kuamini hivyo.
Good ,Mungu ni kuishi and nothing else,eti wataka uthibitisho,ili wafanyaje labda wakiupata?hiyo yote wanahangaika ili wapate consolation na tamaa ya mind kuishi tuuuuuuu,kumbe hawajui kuwa sisi pamoja na hewa na miti anga na vyote ndio Mungu,wamemtengeneza wao wa mbinguni sasa wabishana kumtafuta,utatafutaje wazo?
 
Idea and thought hupelekea logic na logic it's end with reality

Naturally ni nin?
Naturally ni wewe siku unahema mara ya kwanza kutoka kwenye tumbo la mama.kuishi bila maarifa ya mtu mwingine bali uzoefu unaotokana na makosa yako unavyoishi sio anavyosema fulani,natural ni ipo tu haipungui kitu wala haiongezi kitu,inaishi tu,inajiendesha.

Reality is illogical you can only experience it when you are in a state of no mind.

What you call reality now its just seeing illusion.
 
Umesema kumjua Mungu ni lazima ufe.

Wewe ushawahi kufa?
Yes thats why nashare experience kwakuwa am nobody just the presence,ukitaka kuexperience do the same ,drop that ego .
 
Hiyo black hole ndio nini??
Elimu ya kidato Cha sita inaelezea
Screenshot_20221226-163830.jpg
 
Habari

Mimi ni muumini mzuri wa dini ya kikristo, nimezaliwa na kukulia katika dini. Hiyo haikuwa sababu ya kunizuia kusoma maandiko na machapisho ya dini zengine.

Nimesoma Quran pale nilipo bahatika, nikasoma maandiko ya freemasons yale niliyokutana nayo, nimesoma vitabu vya wahindu kwa uchache wake.

Vyote hivyo vinamuelezea Mungu vizuri kabisa na vimejitosheleza. Lakini hawa jamaa "Atheist" watu wasioamini uwepo wa Mungu.

Maandiko yao yamekuwa yakinipa ukakasi sana. Leo naomba Atheist mje hapa nanithibitishie kuwa Mungu hayupo.

Nipe sababu ikikupendeza nielezee kwanini unasema Mungu hayupo, nithibitishie kuwa hakuna, hajawahi kuwa Mungu wa aina yoyote ile.

Thibitisha kuwa Allah hayupo, hayupo Yehovah, hayupo Shiva, Vinshu. Yaani hii dunia haiendeshwi na Mungu

Iko hivi

Ukitafiti mwenyewe kiasi unafikie "data saturation" huwezi kubisha kuhusu Mungu. Maana maandishi yapo ukutani.

Shida ukisubiri mtu/watu watafiti habari za Mungu kwa niaba yako, uwezekano mkubwa utahitimisha hakuna Mungu ama kuna miungu wengi.

Nikupongeze kwa kusoma (kutafiti kuhusu Ukristo, Quran, Freemasonry etc) maana hii ni nzuri kuweza kufikia hitimisho lenye Afya.
 
Yeah, huwa ipo hivi....ni ngumu sana kumtetea Mungu bila kuonekana chizi
Mad people experience the presence of God than so called wasomi and blah blah.

Wanafanya neno Mungu kuwa logical wakati ni illogical,ni natural,lina exist tu,unaliexperience,enjoy only love.

Wasubiri watampata maarifa ni mzigo kama hujui ni ya nini maana asilimia kubwa ni kujijaza ujinga tu kichwani.
 
Mkuu Kiranga amekuuliza ushawahi kufa?

Na Mimi nakuuliza ulikuwa unajitambua kabla hujazaliwa?

Na ulivyo zaliwa ulimjua Mungu au Miungu kabla hujaelezwa ngano zake na watu?
 
Back
Top Bottom