REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
Logical non sequitur.
Sukari kwenye muwa inawekwa na photosynthesis, hilo halihitaji Mungu.
Tatizo hujui hata photosynthesis ni nini.
keep dreamingThe firmament is obsolete. And so are you.
Logical non sequitur.
Sukari kwenye muwa inawekwa na photosynthesis, hilo halihitaji Mungu.
Tatizo hujui hata photosynthesis ni nini.
keep dreamingThe firmament is obsolete. And so are you.
Watu wa zaman waliamin miungu kwasababu hawakua na majibu ya maswali yao, hasa maswali ya chanzo cha uhai...Dini zilikuwepo tangu enzi na enzi, jamii za wanaadamu zimekuwa zikiabudu vile wanavyoviita Mungu kwa miaka mingi sana hili halina ubishi.
Uwepo wake miaka mingi haina maana ni sahihi kuwepo wake maana hata uongo usipodhihirika huonekana ukweli miaka yote mpaka ukweli utakapofahamika.
Ila kuna sehemu ya watu kwenye jamii wamekuwa wakitilia mashaka na kukosoa wazo lenyewe la kuwepo kwa huyo anaeitwa Mungu. Wanaoamini (imani yoyote tu ‘as long as’ wanamuabudu wanachokiita Mungu) wanasistiza kuwa yupo na uwezo wake ni Mkuu sana.
Hoja za waumini nazifahamu baadhi, ila hoja za Atheist sijazielewa.
Ningependa kuwaelewa zaidi Atheists, Karibuni hapa Atheist walau mthibitishe (kama mtaweza) kuwa huyo wa kuitwa Mungu hayupo.
Lakini kwanza ni lazima tufafanue nini maana ya MUNGU, kwa maana kukurupuka kujibu swali ilhali hatujui maana ya dhana ya msingi wa swali itakuwa ni uhayewani wa kiwango cha juu sana.
Karibuni sana!
View attachment 2355249
Nina swali![]()
Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi
"Tulikupenda/Tulimpenda lakini Mungu kakupenda/kampenda zaidi" hii kauli, au sentensi au msemo umekuwa ukisikika sana katika misiba ya Wakristo. Sina hakika kwa upande wa Waislam ila kama pia hutumika mimi sijui. Imekuwa ni sentensi ya kawaida sana kutamkwa misibani. Lakini sentensi hii fupi...www.jamiiforums.com
Hakuna atakayethibitisha zaidi ya kukupa nadharia na kuanza kukuhoji tena badala ya kuthibitisha hilo.
Wakitoka hapo watakupa maneno ya falsafa na physics kisha wataongeza blah blah za hapa na pale mchezo umeisha.
Ndio maana Mathematician tunaamini Mungu yupo na natural numbers (1,2,3,...9) ziliumbwa na Mungu.
Mathematical operations nyingine ni man's manipulations.
Natural number zinaanza na 0 ndiyo 1,2,3.......................................Hakuna atakayethibitisha zaidi ya kukupa nadharia na kuanza kukuhoji tena badala ya kuthibitisha hilo.
Wakitoka hapo watakupa maneno ya falsafa na physics kisha wataongeza blah blah za hapa na pale mchezo umeisha.
Ndio maana Mathematician tunaamini Mungu yupo na natural numbers (1,2,3,...9) ziliumbwa na Mungu.
Mathematical operations nyingine ni man's manipulations.
Si ungewathibitishia wewe kwanza kuwa yupo au unatafuta kiki mwanangu?Habari
Mimi ni muumini mzuri wa dini ya kikristo, nimezaliwa na kukulia katika dini. Hiyo haikuwa sababu ya kunizuia kusoma maandiko na machapisho ya dini zengine.
Nimesoma Quran pale nilipo bahatika, nikasoma maandiko ya freemasons yale niliyokutana nayo, nimesoma vitabu vya wahindu kwa uchache wake.
Vyote hivyo vinamuelezea Mungu vizuri kabisa na vimejitosheleza. Lakini hawa jamaa "Atheist" watu wasioamini uwepo wa Mungu.
Maandiko yao yamekuwa yakinipa ukakasi sana. Leo naomba Atheist mje hapa nanithibitishie kuwa Mungu hayupo.
Nipe sababu ikikupendeza nielezee kwanini unasema Mungu hayupo, nithibitishie kuwa hakuna, hajawahi kuwa Mungu wa aina yoyote ile.
Thibitisha kuwa Allah hayupo, hayupo Yehovah, hayupo Shiva, Vinshu. Yaani hii dunia haiendeshwi na Mungu
Dunia hii kila kitu ni nadhariaHakuna atakayethibitisha zaidi ya kukupa nadharia na kuanza kukuhoji tena badala ya kuthibitisha hilo.
Wakitoka hapo watakupa maneno ya falsafa na physics kisha wataongeza blah blah za hapa na pale mchezo umeisha.
Ndio maana Mathematician tunaamini Mungu yupo na natural numbers (1,2,3,...9) ziliumbwa na Mungu.
Mathematical operations nyingine ni man's manipulations.
Hayupo wa kuthibitisha kuwa hayupo.Habari
Mimi ni muumini mzuri wa dini ya kikristo, nimezaliwa na kukulia katika dini. Hiyo haikuwa sababu ya kunizuia kusoma maandiko na machapisho ya dini zengine.
Nimesoma Quran pale nilipo bahatika, nikasoma maandiko ya freemasons yale niliyokutana nayo, nimesoma vitabu vya wahindu kwa uchache wake.
Vyote hivyo vinamuelezea Mungu vizuri kabisa na vimejitosheleza. Lakini hawa jamaa "Atheist" watu wasioamini uwepo wa Mungu.
Maandiko yao yamekuwa yakinipa ukakasi sana. Leo naomba Atheist mje hapa nanithibitishie kuwa Mungu hayupo.
Nipe sababu ikikupendeza nielezee kwanini unasema Mungu hayupo, nithibitishie kuwa hakuna, hajawahi kuwa Mungu wa aina yoyote ile.
Thibitisha kuwa Allah hayupo, hayupo Yehovah, hayupo Shiva, Vinshu. Yaani hii dunia haiendeshwi na Mungu
Pia hakuna wa kuthibitisha kuwa yupo. Watakuja na yote unayosema hapo juu ngoma droo.Hayupo wa kuthibitisha kuwa hayupo.
Watakuja kukosoa ushahidi wa yeye kuwepo.
Watashindwa kujibu maswali ya msingi kama imekuaje tuna huu ulimwengu
Hawana ushahidi zaidi watata kasoro za kiimani ilhali nao hawana chochote kuthibitisha vinginevyo.
‘It’s fascinating to listen to them’
Kiakili tu lazima uhisi kuna super power kweny hii dunia.Pia hakuna wa kuthibitisha kuwa yupo. Watakuja na yote unayosema hapo juu ngoma droo.
Hebu fafanua kuwepo usiku na mchana Kuna dhihirisha vipi yeye yupo?Kiakili tu lazima uhisi kuna super power kweny hii dunia.
Kuzaliwa,kuishi,kufa na kufufuliwa ni dalili tosha yupo mungu (Allah (saw) according to islam)
Kweny uislam kuna dalili za kuwepo mungu
01.Maisha ya mwanadam
02.Kuwepo usiku na mchana
Zipo nying izo ni chache.Ukifikir maisha ya mwandam unagundua kuna kitu kipo nyuma,hiko kitu ni Allah kwa hakika
Why allah (sw).
Sabab qur an iloleta habar za Allah(sw) na mafundisho yake imefanikiwa kutushawishi kuwa kuna mungu(allah)
muingiliano mkubwa wa 100% wa hayo mafundisho na maisha ya kila siku ya wanadam imetufanya tukiamin hiko kitabu pamoja na maelezo yake juu ya uwepo wa mungu. Si kila kitu usithibitishwa kwa kuonwa kwa macho
Wew unaamin binadam tunaroho Je ushawah kuiona. Tukianza kuelezea science ya mawasiliano tutaishia kusema kuna waves zinasafirisha sauti je tukiomba uthibitisho wa hizo waves zipoje utapatikan?
Kama swala ni kuzuka tu mbona hakuzuki kitu kingine kila siku ni binadam hawa hawa, wanyama hawa hawa means hiv vitu vipo organised je whow organised.
Usiku na mchana kunadhihirisha mungu yupo sabab hakujawai kutokea mchana mda wa usiku na usiku mda wa mchana means vipo organised.Who organised this?Hebu fafanua kuwepo usiku na mchana Kuna dhihirisha vipi yeye yupo?
Usiku na mchana kunadhihirisha mungu yupo sabab hakujawai kutokea mchana mda wa usiku na usiku mda wa mchana means vipo organised.Who organised this?