Swali dogo tu huyo anaye sema hakipo amejuaje halipo ? Kijana unatumia nini kufikiri ?
Wewe unajuaje kitu Fulani halipo ? Sharti lazima ukijue hicho kitu. Sasabu kitu anabcho hakipo na hakijawahi kuwepo hata kukipitia kwenye akili yako hakikupitii.
Msiwe mnakimbia kujibu maswali na kulazimisha uongo uonekane ukweli kwa ujinga wenu.
Amejuaje kama hakipo ? Wewe unajuaje kitu Fulani hakipo ? Mfano nikakuuliza Kisai yupo, ukasema hayupo. Nikikuuliza umejuaje hayupo utasema hayupo ? Maana yake laziama utakuwa unamjua Kisai ndiyo maana ukasema hayupo.Huu Sasa ni ubahawa.
Hakipo ni kwa sababu hakipo
Uhitaji mpaka ukijue hicho kitu ili ujue hakipo.
Sifuri ni sifuri ahuitaji ujue mpaka ndio useme Kuna ombwe na hakuna kitu.
Hakipo kwa sababu hakijawahi kuwepo na hakitakuwepo na hakijawahi kuwepo.
Ukiangalia sifa kinachopewa
Jinsi binadamu wanavyouana kukitetea
Vita na mauaji makubwa yaliyotokea ulimwenguni hapa.
Dhalili na unyanyasaji uliotokea
Ubaguzi kwa misingi ya Imani
Angalia wanadamu wanavyomuelezea tofauti kwenye kila Imani
Mf: wafuasi wa Mohammed
Hajazaa na wala hajazaliwa( Nothingness)
Hafanani na chochote
Mwenyezi na mjuvi wa yote
Ni mwenye wivu
:Wafuasi wa Yesu Mnazareth
Yeye ndio Mungu
Yeye ndio Mwana wa Mungu
Yeye ndio roho mtakatifu.
Yeye mweza wa yote, upendo mkuu na mwenye kusamehe
: Wafuasi wa Budha
Kila binadamu ana Uungu ndani yake
Naye utafikia stage utakuwa enlightened na kuwa Budha.
Hakuna Kuzimu Wala moto ila maisha yote ni sufferings.
Na utarudi Tena duniani ila nafasi yako itategemea matendo yaliyopita.
Bado hujazigusa Hindu na zingine zinazohitilafiana Toka Moja kwenda nyingine, unakuja kugundua ni mawazo ya watu waliyojenga vichwani mwao na kudumu kizazi hadi kizazi ila hayana ukweli.
Ni kama stori za shing'weng' we huku usukumani.
Je Kuna mtu ameshawahi kumuona shing'weng'e jibu ni hapana ila kila mtoto anaamini lipo na linachukua watoto.
Tunajua hayupo na hajawahi kuwepo na hatokuwepo.
Kutojua log 2 jibu lake
Haifanyi niamini lazima iwe nne