REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
Kabla ya kuzaliwa nilikuwa najitambua,na nilikuwa naenjoy maisha ndani ya maji nikiwa tumboni mwa mama,nilikuwa consious tatizo lilikuja nilipozaliwa maana kuzaliwa kwa mtoto ni kifo cha ke wakati anapita kwenye njia ya uzazi anapata kitu kinaitwa birth trauma kumbukumbuku zote zinajificha kwenye unconsious state anasahau maisha ya tumboni ya miezi tisa na yale mengine yote ambayo aliyaishi kwenye dunia hii hii kabla ya kifo kikuu/mwanzo upya.Mkuu Kiranga amekuuliza ushawahi kufa?
Na Mimi nakuuliza ulikuwa unajitambua kabla hujazaliwa?
Na ulivyo zaliwa ulimjua Mungu au Miungu kabla hujaelezwa ngano zake na watu?
Nilipokuwa nazaliwa pale nilikuwa nakufa kutoka maisha ya tumboni na kuingia kwenye maisha ya duniani nikapata na kuvuta pumzi yangu ya kwanza nikalia na kuanza kuishi,sasa hii ni kwa watu wote duniani,hawakumbuki chochote maana walipitia kifo(birth trauma)maumivu makali sana ambayo yalikuwa yanatokea unavyofanyiwa rebirth from one dimension to another na hapo ndipo kumbukumbu hujichimbia deep core kwenye unconscious state na kujihifadhi.
Sasa nakuja tu kushtuka nipo duniani hapo naanza kupata uelewa kuwa nipo mazingira tofauti ,yani nikama nimeibuka tu pah ,taa kwenye ubongo imewashwa on,naanza kujiuliza hapa ni wapi,nafanya nini,nini hiki nakiona hiyo hypothetical thinking najihoji pasipo maarifa yoyote yale bali nachoshuhudia na kukiishi,naanza ndoto yangu mpya nikiwa na jina la kupewa,naanza kuishi,kusoma,kudanganywa,kupewa sifa hizi na zile,kuambiwa mambo ya dini n.k ambayo kwangu naona kabisa hayana mantiki zaidi ya kunywa chai,kula,kulala,kwenda chooni na kuishi kuenjoy mandhari za paradiso,kuexperience mateso ,upendo,raha,uchungu,joto baridi n.k.
Sasa ukitaka kukumbuka maisha yote ya leo baada ya kifo kikuu jiue kifo cha awali na utashuhudia yote hata wakati wa kifo,kipende kifo maana ukikichukia unayachukia maisha hivyo hauta ishi utakuwa tu na mawazo na mwisho wasiku utashuhudia tanuri la moto maana kifo kinasema pita hapa ukazaliwa pale ,wewe unasema sitaki kufa nataka kuishi hivyo unavunja law of universe,your natural state,unaingia kwenye vita uliyojitakia yani Hell.
Na siku ukifa hautashudia kama hukujiua maana akili siku zote inataka tu kuishi tuuuu kumbe wewe hufi upo eternal unabadilika tu form,unakumbuka hata unavyokuwa inakuwaje si unajikuta ushakuwa tu,ndo hivyo everything inajiendesha we ishi ,ndo maana ukifa hutojua kama vile ambavyo hukumbuki umefikaje duniani zaidi ya kuhadithiwa kama wazazi walivyohadithiwa.
Anyways tumia busara tu kuelewa nilicho andika halafu ishi maisha,maana hakuna kesho na hutaka uione utashuhudia sasa tu na sasa ndo uwepo wa Mungu forget about desire,goals,future just live only that, we kula ukitaka kula,lala ukitaka kulala we fanya kazi ukitaka kufanya,cheza,imba we ishi,kuishi sasa ndo kujitambua maana hakuna kipya nje ya sasa,kesho ni illusion tu.nimeandika kama kichaa eeeh hahaha ila ndani yake kuna siri,ifungue na kula bata.