Nachojaribu kukuelewesha ni kuwa hivyo vyote vinavyofanywa source yake ni natural na unknown,lazima watumie nature kuimplement na kuhangaika kama unavyohada ujinga huu wanaofanya kwa faidi ya kujifurahisha akili zao ila hawawezi badilisha ukweli na wala hawawezi kujua source code ya nature maana wao wenyewe hawajitambui source code yao na the only way to know the truth of the source code nikudrop knowledge and ego,mind and clevery.
Miti ya mipapai umeikuta ulipokuja duniani halafu eti unaichungunza na kusema nimegundua kitu,sasa kama umegundua kitu sisi tufanyaje? wewe ishi,subiri papai liive kula lala.
Wasitumie chochote of nature kama wanaweza hawa wanafanya modification tu wakichoka wanapachika hayo maclone battery na miwaya period.
Electron tu inawaumiza kichwa ,siri ya art of living and dying unadhani wataijua wakiendeleza hizo science zao,wakubali kusurrender halafu wakubali kuwa wajinga waenjoy maisha.