Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Iko hiv dunia haijianza jana ina mda mref sana.Kulikua na jamii mbalimbali zeny dini mbalimbali before islam wayahud walikua na yesu na kitabu cha injili. Baada ya uislam kuja, ulikuja tofaut na iman nyingine, uislam ulikuja general ulimweng mzima na ukastopisha zile iman nyingine.

Dini ya ulimweng ikawa uislam sio dini nying.Watu wadin nying wakaendelea kubaki na dini zao kwa sabab binafs ikiwemo iman ya yesu ndo maana unaona kuna mikanganyiko lakin according to islam mungu ni mmoja na mungu wa Muhammad (saw) ni mungu wa yesu,adam,Yakubu,na mitume wote
Tuambie muda wa Dunia.
Ina miaka mingapi?
Binadamu alikuwa lini?
Maisha ya viumbe yalianza lini?
 
Ni ujinga kuamini hicho kitabu chenu ni cha Mungu! Yaani ushahidi wote unaonesha kimeandikwa na binadamu kama vitabu vingine lkn mnataka kutuaminisha kwa nguvu kuwa si binadamu ni mungu!!!

Ifike hatua akili zifany kaz walau kidogo.Naposema kitabu ni cha mung simanish mung ndo amekiandika bali yaliyoandikwa yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi

Wahyi ni njia ya mawasiliano baina ya mungu na mitume wake.Mung humuagiza malaika kisha malaika huleta ujumbe kwa mtume.Mtume ndo huandika kile mungu kasema

Kweny hayo yaliyoandikwa kutoka kwa mungu ndo hutoa ushahid juu ya uwepo wa mungu pamoja na uthibitisho wa utume wa mtume Mohammad (saw)
 
Nina swali

Kwanini katika kutoa kalenda na tarehe za matukio unatumika mfumo wa B.C na A.D?

(Kuacha baadhi ya matukio yale ya kusadikika ambayo hayatumii mfumo huo)
Siku hizi hawaiti B.C (Before Christ), wanaita B.C.E (Before Common Era).

Wanahesabia hivyo kwa sababu Ukristo ulikuja kuwa ndiyo dominant religion/culture uliokuja kutawala dunia tangu enzi za Mfalme Constantine wa Warumi.

Anayetawala dunia ndiye utamaduni wake unatawala.
 
Ifike hatua akili zifany kaz walau kidogo.Naposema kitabu ni cha mung simanish mung ndo amekiandika bali yaliyoandikwa yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi

Wahyi ni njia ya mawasiliano baina ya mungu na mitume wake.Mung humuagiza malaika kisha malaika huleta ujumbe kwa mtume.Mtume ndo huandika kile mungu kasema

Kweny hayo yaliyoandikwa kutoka kwa mungu ndo hutoa ushahid juu ya uwepo wa mungu pamoja na uthibitisho wa utume wa mtume Mohammad (saw)
Kwahiyo aliyeandika quran (kutoka kwa malaika) ni nani? Na mna uhakika gani kama hayakuwa mawazo yake?
 
Kuna ushahidi kuwa alithibitisha?
Kwanza atathibishaje wakati yeye mwenyewe hayupo, hajawahi kuwepo na hatakuwepo.

Hii ni Imani tu
Na watu wehu wehu kuamini
Ni Mungu.

Quraan ilianza na Muhammad
Sawa au si sawa?

Kabla ya hapo embu nitajie dini iliyokuwepo Mashariki ya kati?
Niambie Maquraish walikuwa wanaabudu nini?
Jiwe jeusi lilikuwepo au halikuwepo?
Kwa nini waarabu walikuwa wanaenda hijja Karne nyingi kabla ya Mohammed kuzaliwa?
Ndo maana nikakwambia hiv vitu ili uvielewe lazima akili iwe huru pia uamin uwepo wa mungu.

Nimekwambia mungu yupo by reasons
Nmekwambia uhalali wa mtume by reasons

Hiv vitu uwez elewa itajichangany tu.Jikite kwanza kweny kuamin uwepo wa mungu kisha tuje kweny maswal ya dini
 
Kati yako na huyo asiyeamini uwepo wa mungu ni nani ambaye akili yake haiko huru? Kama ukitoka nje ya hilo box ulilofungiwa utajishangaa mno.
 
Ifike hatua akili zifany kaz walau kidogo.Naposema kitabu ni cha mung simanish mung ndo amekiandika bali yaliyoandikwa yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi

Wahyi ni njia ya mawasiliano baina ya mungu na mitume wake.Mung humuagiza malaika kisha malaika huleta ujumbe kwa mtume.Mtume ndo huandika kile mungu kasema

Kweny hayo yaliyoandikwa kutoka kwa mungu ndo hutoa ushahid juu ya uwepo wa mungu pamoja na uthibitisho wa utume wa mtume Mohammad (saw)
Umeshawahi kumuona Malaika?
Kuna ushahidi gani kwamba hao maneno yametoka kwake?

Yametoka kwa kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo?

Hao ni wajanja wajanja kama kinjekitile na kutafuta namna ya kupreserve social economic status zao kipindi hicho.

Kweli akili si makalio kila mtu yamuote.
 
Ndo maana nikakwambia hiv vitu ili uvielewe lazima akili iwe huru pia uamin uwepo wa mungu.

Nimekwambia mungu yupo by reasons
Nmekwambia uhalali wa mtume by reasons

Hiv vitu uwez elewa itajichangany tu.Jikite kwanza kweny kuamin uwepo wa mungu kisha tuje kweny maswal ya dini
Kwa hiyo bila reasons Mungu hayupo na hajawahi kuwepo na hatakuwepo.

Unaelewa ulichoandika hapa.

Hizo reasons ndio zipo ndani ya kichwa chako ukitoka nje hakuna Mungu.

Ni ujanja wa wanadamu na system ya wapigaji wachache
 
Kuna ushahidi kuwa alithibitisha?
Kwanza atathibishaje wakati yeye mwenyewe hayupo, hajawahi kuwepo na hatakuwepo.

Hii ni Imani tu
Na watu wehu wehu kuamini
Ni Mungu.

Quraan ilianza na Muhammad
Sawa au si sawa?

Kabla ya hapo embu nitajie dini iliyokuwepo Mashariki ya kati?
Niambie Maquraish walikuwa wanaabudu nini?
Jiwe jeusi lilikuwepo au halikuwepo?
Kwa nini waarabu walikuwa wanaenda hijja Karne nyingi kabla ya Mohammed kuzaliwa?

Jifunze kwanza maan ya hijja.

Qur an ni ya mtume Muhammad yeah but ina- complies vitabu vya mitume wote na dini zao kabla ya uislam.

Kabla ya uislam kulikua na iman nyingine nying, baada ya kuja uislam hizo iman zote zikawa terminated japo wapo watu walioendelea nazo kama wayahud na ukristo

Before mungu alikua anatuma mitume kimakundi mtume huyu anaenda mfano kenya mwingine anaenda uganda,lakin Muhammad alikuja kwa ajili ya dunia nzima

Mungu hutuma mtume baada ya jamii kupotea. Hao maquraish walikua wanabud masanam kabla ya mtume kuja
 
Kwahiyo yule Mungu wa Wakristo ni feki!!!??? Kwanini unataka kutuaminisha kuwa mungu wako/wenu ndiye halisi na si wa wakristo? Kama nyie kwa nyie (mnaoamini uwepo wa mungu) mnapingana hamuoni kuwa kuna tatizo kwa huyo mungu wenu? Mpaka sasa nimepata jibu kuwa kuna miungu wawili, wa wakristo na wa waislam, naomba nijuzwe kati ha hao miungu wawili ni yupi aliyeumba mbingu na vyote vilivyomo na kuna ushahidi gani kuwa ni yeye na si mungu mwingine?
"Hapo mwanzo binadamu alimuumba mungu mawazoni mwake"
Nishakujib why kuna mkanganyiko unless uwe mmbish
 
Ukimpa ukweli kuhusu Neanderthal
Si atachanganyikiwa.
Huyu ni low level of thinking jishushe tu kiufahamu ataokota Moja au mbili.

Madrasa Kuna uongo mwingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nyie magenius mloshindwa kuelewa hata hiv vitu vidogo.Mnakalia theory za kibinadam.Watu wamekaa wakafanya research za uongo na kweli wakaja na mungu hayupo

Wajinga hawatoisha
 
Hayupo wa kuthibitisha kuwa hayupo.

Watakuja kukosoa ushahidi wa yeye kuwepo.

Watashindwa kujibu maswali ya msingi kama imekuaje tuna huu ulimwengu

Hawana ushahidi zaidi watata kasoro za kiimani ilhali nao hawana chochote kuthibitisha vinginevyo.

‘It’s fascinating to listen to them’

Kwani wewe umetokea wapi? Namaanisha kabla haujazaliwa ulikuwa wapi?
 
Jifunze kwanza maan ya hijja.

Qur an ni ya mtume Muhammad yeah but ina- complies vitabu vya mitume wote na dini zao kabla ya uislam.

Kabla ya uislam kulikua na iman nyingine nying, baada ya kuja uislam hizo iman zote zikawa terminated japo wapo watu walioendelea nazo kama wayahud na ukristo

Before mungu alikua anatuma mitume kimakundi mtume huyu anaenda mfano kenya mwingine anaenda uganda,lakin Muhammad alikuja kwa ajili ya dunia nzima

Mungu hutuma mtume baada ya jamii kupotea. Hao maquraish walikua wanabud masanam kabla ya mtume kuja
Inaonekana hata huku pia wewe ni bupuru tupu.

Kwanza watu walikuwa wanaenda hijja tokakale kabla mtume hajazaliwa?
Jibu hili swali na usilikimbie

Jiwe jeusi lilikuwepo Toka zamani yaani kabla hata ya Babu yake mtume kuzaliwa

Ipi ilikuwa dini ya Maquraish

Taja Miungu Yao ni ipi?

Kwanini hiyo haikuwa ya kweli wakati imewasave miaka na miaka?

Masanamu waachie wahindi na wabudha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nyie magenius mloshindwa kuelewa hata hiv vitu vidogo.Mnakalia theory za kibinadam.Watu wamekaa wakafanya research za uongo na kweli wakaja na mungu hayupo

Wajinga hawatoisha
Hakuna theory ambayo haijaletwa na mwanadamu.

Kuanzia
Mungu
mungu
Mizimu
Majini
Sayansi
Falsafa

Zote zimeletwa na wanadamu tunachoangalia ni mantiki
 
Tuambie muda wa Dunia.
Ina miaka mingapi?
Binadamu alikuwa lini?
Maisha ya viumbe yalianza lini?
According tu makaratas yaliyowashika akili dunia ina muda wa zaid ya 4+ billion years though hii dunia ipo zaid ya hiyo miak.Kweny hii dunia walianza kuishi viumbe wengine tofaut na wanadam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii dunia upumbav hautoisha wallah mungu atunusuru.

Eti mechanism, okay saw em nambie hio mechanism inafany vip nyama kutokea

Mbna hiv vitu havihitaj akili kubwa.Umekaza theory theory ujui iven theory means what theory ni nadharia not reality sio principle.

Eti big bang theory come on.Kipo kitu nyuma ya hiv vitu havitokei tokei viko organised

Yupo mungu anaendesha hiv vitu

Kwakua unaamini kila kitu kinachotokea kinaendeshwa na kitu fulani (Mungu), nitakuwa sahihi kusema kuwa hata huyo Mungu anaendeshwa na kitu fulani?

Kama sio, yeye alitoka wapi?
 
According tu makaratas yaliyowashika akili dunia ina muda wa zaid ya 4+ billion years though hii dunia ipo zaid ya hiyo miak.Kweny hii dunia walianza kuishi viumbe wengine tofaut na wanadam
Quraan inasemaje?
Jibu maswali yaliyobaki
 
Back
Top Bottom