shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,151
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hujawahi ona Giza muda wa mchana?
Ile mwaka 2020 kupatwa kwa jua haukuwepo duniani?
Lakini usiku na mchana inasababishwa na Dunia kujizungusha kwenye mhimili wake, unatambua Hilo?
Kama unatambua inakuwaje uihusanishe na Mungu?
Unafahamu hii inaweza kuelezewa kisayansi zaidi?
Kila sayari iliyopo kwenye solar system huzunguka jua.
Na jua pia huzunguka black hole pamoja na nyota nyingine ambayo ipo centre ya Alfa Centauri.
Kifupi ulimwengu haupo static ila upo katika motion.
Na unazidi kutanuka.
Kila siku nyota mpya huzaliwa, galaxy mpya hutokea, nyota hufa na sayari zinamezwa na black hole.
Unajua chanzo chake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hicho nacho ni dalili ya kuwepo kwa mungu Who organised solar eclipse?
Swali ni lile lile who organised huo mzunguko je unajiendea tu?