Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Kwa taarifa tu
Falsafa Ina matawi
Moja ya tawi lake ni Theology
Theology ambalo ninyi mnahisi ndilo kweli pekee.
Wakati falsafa Ina matawi mengi kupita maelezo.

Hivyo nadharia na dhana ya Uungu imeanza na wanadamu na itaishia vichwani kwao tu.

Metaphysics ndio hutoa majibu mengi ya ulimwengu huu na huelezea vizuri mwanzo na chanzo Cha ulimwengu.

Ukimaliza tuje kwenye nyama

[emoji23][emoji23][emoji23] kaka mbna mjinga kias hiki.Dunia ipo kabla ya hizo falsafa, mungu ameimbwa ata kabla ya hizo falsaf

Sis weny dini uwepo wa mungu sio dhana ni reality, sabab kitab cha mung kinasema hivyo kuwa mung yupo na dalil za kuwepo kwake zipo,nshazungumza

Mungu anasema origin ya binadam ni udongo kitu ambacho ni kweli, mtu ukifa mwili wako unaturn udongo after mda flan

Then kasema ongezeko la binadm ni kwa kuzaliana kitu ambacho kipo. Sis waislam kweny qur'an tunaambiwa how reproductive systems ilivo na qur'an ni imeshuka kipind ambacho hamna technology ilikuaje qur'an ikaandika, means kuna mung who guide this
 
Hakuna kitabu Cha Mungu.
Ni wanadamu ndio walio andika.
Ni wanadamu ndio walio gundua maandishi.

Maandishi yalianza kutumika Toka miaka 3400Bc
Sasa unasemaje ni ya huyo uliyemtaja.
Wakati Quraan inashuka tayari Uyaudi, Ukristo, Uhindu,Ubudha na Ushinto ulikuwepo hivyo hakuna Cha ajabu na maandishi yalikuwepo.
Tena Quraan ikaandikwa kwa mfumo wa ushairi kwa sababu ndio zilikuwa enzi za ushairi umetamalaki.

Kuna njia nyingi za kupatikana kiumbe kijana siku hizi unafahamu Human Cloning?

Eti asili yake ni udongo?
Kinachofanya upotee kuwa udongo ni nini?
Unaturn tu au Kuna biological reaction na process zinazoendelea na nyie maamuma hamjui.

Unafahamu hata udongo umeundwa na kemikali Gani?

Binadamu au maisha ya duniani yameundwa hasa na kemikali Gani ya msingi?

Kwa nini hiyo kemikali ndio imebeba all life forms iwe miti, minyoo, wawe bacteria, ingiza Mbuzi na binadamu?

Asili ya maisha kutokana na udongo haipo supported kisayansi hivyo ni uongo wa mchana kweupe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Halafu hiyo nayo ni nadharia inaitwa Special creation theory hivyo kijana huwezi kuzikimbia nadharia.

Wewe ni mweupe endelea kujifunza
 
Kwa sababu Mungu hayupo
Na hajawahi kuwepo na Wala hakuwepo.

Ni watu tu kama wewe walioshindwa kupata majibu ya maswali yanayowasumbua na kuamini Kuna nguvu kuu inayoweza kuwasaidia.

Wapo walio abudu jua
Wapo walio amini Mwezi
Wapo walio amini kisichoonekana
Wapo walio amini Mwanadamu mwenzao kama yesu na Budha.
Wapo walioamini Miamba
Wapo walioamini Mibuyu
Wapo walioamini Milima

Wewe kwa akili zake ukaamua kuamini Allah na stori za kusadikika za Mashariki ya kati.

Kwamba mtu asiye jua kusoma na kuandika akaulizwa jua huwa linapotelea wapi?
Akasema linazama kwenye tope.

Nilivyoona upeo wako mdogo kuhusu masuala makubwa na elimu yako ya biology ya o level nikaamua kuuliza maswali ya uwezo wako nako hola.

N.B ukimaliza turudi kwenye nyama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naanza kuona una ujinga kias gan

Eti mashariki ya kati.Watu walijiuliza maswal kuhusu mungu na mungu aliwaletea majib ya maswali yao kwa kuleta mitume weny majibu ya maswal yao.

Walichokuja nacho mitume kilitosha kuthibitisha uwepo wa mungu

Mim kwang kinachomata ni akili kuliko elim sabab akili ni chimbuko la elim.Situmii elim natumia akili sabab ndo inamajib ya haya unayouliza
 
Kiakili tu lazima uhisi kuna super power kweny hii dunia.

Kuzaliwa,kuishi,kufa na kufufuliwa ni dalili tosha yupo mungu (Allah (saw) according to islam)

Kweny uislam kuna dalili za kuwepo mungu

01.Maisha ya mwanadam
02.Kuwepo usiku na mchana

Zipo nying izo ni chache.Ukifikir maisha ya mwandam unagundua kuna kitu kipo nyuma,hiko kitu ni Allah kwa hakika

Why allah (sw).
Sabab qur an iloleta habar za Allah(sw) na mafundisho yake imefanikiwa kutushawishi kuwa kuna mungu(allah)

muingiliano mkubwa wa 100% wa hayo mafundisho na maisha ya kila siku ya wanadam imetufanya tukiamin hiko kitabu pamoja na maelezo yake juu ya uwepo wa mungu. Si kila kitu usithibitishwa kwa kuonwa kwa macho

Wew unaamin binadam tunaroho Je ushawah kuiona. Tukianza kuelezea science ya mawasiliano tutaishia kusema kuna waves zinasafirisha sauti je tukiomba uthibitisho wa hizo waves zipoje utapatikan?

Kama swala ni kuzuka tu mbona hakuzuki kitu kingine kila siku ni binadam hawa hawa, wanyama hawa hawa means hiv vitu vipo organised je whow organised.
Hapo kwenye kufufuliwa sijakuelewa, unamaanisha kuna watu wamewahi kufufuliwa!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kipendacho roho hula nyama mbichi.

SAS izo nyota kufa na kuzaliwa means kuna kisystem kipo hapo nyuma kama system ya kuzaan binadam. Swali linakuja pale pale hiz system who run them?

Usiendeshwe na theory za binadam wenzako nyingine zimetokea sabab ya ufinyu wa technology na maarifa

Wew unaamin binadam katokan na sokwe?Hiz theory nmekutana nazo san but zimekua hazina mashiko. Main thing ni haya yote yanyoendela ulimwenguni na anayaendesha

Sperm + Ovary= Human. Kivip sperm + Ovary zinamtengeneza binadam kuanzia mifupa mpka nyama
Wewe unaamini binadamu wote ni uzao wa Adam na Hawa/Eva?
 
Hakuna kitabu Cha Mungu.
Ni wanadamu ndio walio andika.
Ni wanadamu ndio walio gundua maandishi.

Maandishi yalianza kutumika Toka miaka 3400Bc
Sasa unasemaje ni ya huyo uliyemtaja.
Wakati Quraan inashuka tayari Uyaudi, Ukristo, Uhindu,Ubudha na Ushinto ulikuwepo hivyo hakuna Cha ajabu na maandishi yalikuwepo.
Tena Quraan ikaandikwa kwa mfumo wa ushairi kwa sababu ndio zilikuwa enzi za ushairi umetamalaki.

Kuna njia nyingi za kupatikana kiumbe kijana siku hizi unafahamu Human Cloning?

Wewe ni mweupe endelea kujifunza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] according to you hakuna kitabu cha mungu but according to islam qur'an ndo kitabu cha.

Maelezo yote ni yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi .

Ila wew jamaa ni mpumbav mjinga kabisa.Kuvumbuliwa kwa maandishi kunamzuia nn mungu kuleta kitabu chake?
Nkiangila arguments zako nasikitika sana

Human cloning [emoji23][emoji23][emoji23] unatak kusemaje. Unajua kama human cloning imekua prohibited
 
According to mafundisho mungu wet waislam ni tofaut na mung wa wakristo
Kwahiyo kuna miungu wengi si ndiyo!!!??? Mungu wa wakristo ndiye muumba wa mbingu, ardhi na vyote vilivyomo kwa mujibu wa kitabu cha biblia, nanyi pia mungu wenu anajinaaibu kuwa muumba wa kila kitu kwahiyo tukubaliane kuwa kama kila tukionacho kiliumbwa basi muumbaji si mmoja, wapo wengi si ndiyo!!!??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naanza kuona una ujinga kias gan

Eti mashariki ya kati.Watu walijiuliza maswal kuhusu mungu na mungu aliwaletea majib ya maswali yao kwa kuleta mitume weny majibu ya maswal yao.

Walichokuja nacho mitume kilitosha kuthibitisha uwepo wa mungu

Mim kwang kinachomata ni akili kuliko elim sabab akili ni chimbuko la elim.Situmii elim natumia akili sabab ndo inamajib ya haya unayouliza
Kama akili basi huna
Kama elimu inawezekana hata Ngumbaru hukumaliza.

Turudi kwenye mada
Kuna uthibitisho wowote hao muwaitao mitume kweli walitumwa?

Zamani hizo Kuna jamii Babu mtume, baba mtume na kijukuu kitume......
Kifupi ni Imani tu kama na kinjekitile na hadithi yake ya maji kumpiga mkoloni.

Hakuna uthibitisho
Hivyo haiwezi kuwa kweli mbele ya Wanazuoni.

Watu waliteswa utumwa
Waafrika walikuwa wanawindwa kama wanyama ama ndege
Watu waliuwawa mf Jihad
Kulazimishwa Imani kwa ncha ya upanga fatlia uislamu ulivyoenea west Africa na Mashariki ya kati.

Hivyo ndivyo walivyo leta mauaji na kusaga meno, au ulikuwa unamanisha nini?
 
Kwahiyo kuna miungu wengi si ndiyo!!!??? Mungu wa wakristo ndiye muumba wa mbingu, ardhi na vyote vilivyomo kwa mujibu wa kitabu cha biblia, nanyi pia mungu wenu anajinaaibu kuwa muumba wa kila kitu kwahiyo tukubaliane kuwa kama kila tukionacho kiliumbwa basi muumbaji si mmoja, wapo wengi si ndiyo!!!??
Elewa mungu wa kweny biblia sio mungu wa kweny uislam vice versa ni true.Ila according to Qur-an mung ni mmoja kweny hii dunia

Why biblia iko against qur'an hii ni topic nyingine. Waislam tunaamin biblia sio sahih kutokan na history yake.biblia imeandikwa na watu kwa maslah yao binafs. Qur-an inasema uislam ndo din ya mwisho na dini zingne ni batili

Mikanganyiko ya islam na ukristo ni same na nyie msioamin mung na wanaoamin mung, ila ukweli ni kwamba islam ndo the truth way of life
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kaka mbna mjinga kias hiki.Dunia ipo kabla ya hizo falsafa, mungu ameimbwa ata kabla ya hizo falsaf

Sis weny dini uwepo wa mungu sio dhana ni reality, sabab kitab cha mung kinasema hivyo kuwa mung yupo na dalil za kuwepo kwake zipo,nshazungumza

Mungu anasema origin ya binadam ni udongo kitu ambacho ni kweli, mtu ukifa mwili wako unaturn udongo after mda flan

Then kasema ongezeko la binadm ni kwa kuzaliana kitu ambacho kipo. Sis waislam kweny qur'an tunaambiwa how reproductive systems ilivo na qur'an ni imeshuka kipind ambacho hamna technology ilikuaje qur'an ikaandika, means kuna mung who guide this
Biblia pia imeeleza hayo miaka mingi kabla ya hiyo quran kuandikwa, kifupi elimu kiasi juu ya mwili wa mwanadamu ilikuwepo tangu miaka hiyo japo siku hizi imeadvance zaidi. Tukirudi kwenye mada yetu ni kwamba huyo unayemuita Mungu wewe siyo anayeitwa Mungu na Wahindu, Budha, Wayahudi n.k, kwa maana nyingine kama tunakubaliana Mungu yupo basi tukubaliane kuwa kuna Miungu wengi waliohusika katika uumbaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] according to you hakuna kitabu cha mungu but according to islam qur'an ndo kitabu cha.

Maelezo yote ni yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi .

Ila wew jamaa ni mpumbav mjinga kabisa.Kuvumbuliwa kwa maandishi kunamzuia nn mungu kuleta kitabu chake?
Nkiangila arguments zako nasikitika sana

Human cloning [emoji23][emoji23][emoji23] unatak kusemaje. Unajua kama human cloning imekua prohibited
Muhimu ipo possible kufanyika na inawezekana kwa tekinolojia ya Sasa.

Kuwa ngozi yako ya mkononi au mate yako Yana taarifa zote kuhusu mwili wa mwanadamu

Hivyo sio lazima kujamiiana ndio iwe pekee means ya kupatikana viumbe.

Halafu viumbe wanakwenda mpaka bacterial level unagundua asexual reproduction wanafanya Toka enzi.

Kama mwanadamu ndie aliye gundua maandishi
Basi yeye ndio aliyeandika hizo stori
Hiyo Mungu kashusha ni uongo kama uongo mwingine.

Kwa sababu hakuna ushahidi huo.
Hakuna Mungu nje ya Hilo bichwa lako.
 
Kama akili basi huna
Kama elimu inawezekana hata Ngumbaru hukumaliza.

Turudi kwenye mada
Kuna uthibitisho wowote hao muwaitao mitume kweli walitumwa?

Zamani hizo Kuna jamii Babu mtume, baba mtume na kijukuu kitume......
Kifupi ni Imani tu kama na kinjekitile na hadithi yake ya maji kumpiga mkoloni.

Hakuna uthibitisho
Hivyo haiwezi kuwa kweli mbele ya Wanazuoni.

Watu waliteswa utumwa
Waafrika walikuwa wanawindwa kama wanyama ama ndege
Watu waliuwawa mf Jihad
Kulazimishwa Imani kwa ncha ya upanga fatlia uislamu ulivyoenea west Africa na Mashariki ya kati.

Hivyo ndivyo walivyo leta mauaji na kusaga meno, au ulikuwa unamanisha nini?
Unamawaswali ya kijinga kaka

Mungu ndo alithibitisha utume wa hao mitume.Qur an inasema tumewaletea mtume ili mpate kuongoka

Huwez elewa hiv vitu kama akili ipo likizo au huna iman juu ya uwepo mung
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] according to you hakuna kitabu cha mungu but according to islam qur'an ndo kitabu cha.

Maelezo yote ni yametoka kwa mung kwa njia ya wahyi .

Ila wew jamaa ni mpumbav mjinga kabisa.Kuvumbuliwa kwa maandishi kunamzuia nn mungu kuleta kitabu chake?
Nkiangila arguments zako nasikitika sana

Human cloning [emoji23][emoji23][emoji23] unatak kusemaje. Unajua kama human cloning imekua prohibited
Ni ujinga kuamini hicho kitabu chenu ni cha Mungu! Yaani ushahidi wote unaonesha kimeandikwa na binadamu kama vitabu vingine lkn mnataka kutuaminisha kwa nguvu kuwa si binadamu ni mungu!!!
 
Unamawaswali ya kijinga kaka

Mungu ndo alithibitisha utume wa hao mitume.Qur an inasema tumewaletea mtume ili mpate kuongoka

Huwez elewa hiv vitu kama akili ipo likizo au huna iman juu ya uwepo mung
Kuna ushahidi kuwa alithibitisha?
Kwanza atathibishaje wakati yeye mwenyewe hayupo, hajawahi kuwepo na hatakuwepo.

Hii ni Imani tu
Na watu wehu wehu kuamini
Ni Mungu.

Quraan ilianza na Muhammad
Sawa au si sawa?

Kabla ya hapo embu nitajie dini iliyokuwepo Mashariki ya kati?
Niambie Maquraish walikuwa wanaabudu nini?
Jiwe jeusi lilikuwepo au halikuwepo?
Kwa nini waarabu walikuwa wanaenda hijja Karne nyingi kabla ya Mohammed kuzaliwa?
 
Elewa mungu wa kweny biblia sio mungu wa kweny uislam vice versa ni true.Ila according to Qur-an mung ni mmoja kweny hii dunia

Why biblia iko against qur'an hii ni topic nyingine. Waislam tunaamin biblia sio sahih kutokan na history yake.biblia imeandikwa na watu kwa maslah yao binafs. Qur-an inasema uislam ndo din ya mwisho na dini zingne ni batili

Mikanganyiko ya islam na ukristo ni same na nyie msioamin mung na wanaoamin mung, ila ukweli ni kwamba islam ndo the truth way of life
Kwahiyo yule Mungu wa Wakristo ni feki!!!??? Kwanini unataka kutuaminisha kuwa mungu wako/wenu ndiye halisi na si wa wakristo? Kama nyie kwa nyie (mnaoamini uwepo wa mungu) mnapingana hamuoni kuwa kuna tatizo kwa huyo mungu wenu? Mpaka sasa nimepata jibu kuwa kuna miungu wawili, wa wakristo na wa waislam, naomba nijuzwe kati ha hao miungu wawili ni yupi aliyeumba mbingu na vyote vilivyomo na kuna ushahidi gani kuwa ni yeye na si mungu mwingine?
"Hapo mwanzo binadamu alimuumba mungu mawazoni mwake"
 
Biblia pia imeeleza hayo miaka mingi kabla ya hiyo quran kuandikwa, kifupi elimu kiasi juu ya mwili wa mwanadamu ilikuwepo tangu miaka hiyo japo siku hizi imeadvance zaidi. Tukirudi kwenye mada yetu ni kwamba huyo unayemuita Mungu wewe siyo anayeitwa Mungu na Wahindu, Budha, Wayahudi n.k, kwa maana nyingine kama tunakubaliana Mungu yupo basi tukubaliane kuwa kuna Miungu wengi waliohusika katika uumbaji.
Iko hiv dunia haijianza jana ina mda mref sana.Kulikua na jamii mbalimbali zeny dini mbalimbali before islam wayahud walikua na yesu na kitabu cha injili. Baada ya uislam kuja, ulikuja tofaut na iman nyingine, uislam ulikuja general ulimweng mzima na ukastopisha zile iman nyingine.

Dini ya ulimweng ikawa uislam sio dini nying.Watu wadin nying wakaendelea kubaki na dini zao kwa sabab binafs ikiwemo iman ya yesu ndo maana unaona kuna mikanganyiko lakin according to islam mungu ni mmoja na mungu wa Muhammad (saw) ni mungu wa yesu,adam,Yakubu,na mitume wote
 
Back
Top Bottom