Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Taja nadharia moja tu ambayo haijaletwa na wanadamu.

Moja tu ambayo una hakika hakuna mwanadamu aliyo ileta.
Kaka sinimeshakwambia nadharia/theory huletwa na wanadam tu sabab hawan uhakika na wanachosema. Wew ulitak mungu aje na theory

Mung huja na kanuni sabab ni uhakika
 
Basi huna ulijualo

Nadharia zote ikiwepo ya Uungu chanzo chake ni Wanadamu.

Wanadamu ndio walio Muumba Mungu na kumpa sifa.

Soma maana ya nadharia
Screenshot_20221226-003757.jpg
 
Binadamu tunathibitisha mambo kupitia senses zetu tano ambazo wote tunazijua.

Linapokuja swala la Mungu, binafsi sijawahi kumuona, kumsikia, kumuonja, kumuhisi wala kusikia harufu yake.

Hii inanipa hitimisho kwamba Mungu ni dhana tu iliyoanzishwa na binadamu walipokosa majibu ya asili ya mambo mbalimbali. Kisha akaingizwa kwenye hadithi mbalimbali na kupewa sifa za mamlaka na zingine za kuogofya.

So naamini Mungu haexist physically ila dhana ya Mungu inaishi kwenye vichwa vya mamilioni ya watu duniani Kwa kuwa stori za Mungu zinasimuliwa toka utotoni na dhana ya Mungu imebidhaishwa na watu mbalimbali Kwa manufaa yao binafsi ya kisiasa, kiuchumi na kadhalika.

Senses hizo tano hazitoshi kuthibitisha kila kitu, kuna matukio mengi supernatural na ambayo yameshuhudiwa hayaelezeki kwa kutumia senses tano hizo.
 
Kwa taarifa tu
Falsafa Ina matawi
Moja ya tawi lake ni Theology
Theology ambalo ninyi mnahisi ndilo kweli pekee.
Wakati falsafa Ina matawi mengi kupita maelezo.

Hivyo nadharia na dhana ya Uungu imeanza na wanadamu na itaishia vichwani kwao tu.

Metaphysics ndio hutoa majibu mengi ya ulimwengu huu na huelezea vizuri mwanzo na chanzo Cha ulimwengu.

Ukimaliza tuje kwenye nyama
 
ila wee jamaa ban kwamb binaadam ndo walimuumba mungu.Okay how binaadam walimuumba mungu?
Kwa sababu Mungu hayupo
Na hajawahi kuwepo na Wala hakuwepo.

Ni watu tu kama wewe walioshindwa kupata majibu ya maswali yanayowasumbua na kuamini Kuna nguvu kuu inayoweza kuwasaidia.

Wapo walio abudu jua
Wapo walio amini Mwezi
Wapo walio amini kisichoonekana
Wapo walio amini Mwanadamu mwenzao kama yesu na Budha.
Wapo walioamini Miamba
Wapo walioamini Mibuyu
Wapo walioamini Milima

Wewe kwa akili zake ukaamua kuamini Allah na stori za kusadikika za Mashariki ya kati.

Kwamba mtu asiye jua kusoma na kuandika akaulizwa jua huwa linapotelea wapi?
Akasema linazama kwenye tope.

Nilivyoona upeo wako mdogo kuhusu masuala makubwa na elimu yako ya biology ya o level nikaamua kuuliza maswali ya uwezo wako nako hola.

N.B ukimaliza turudi kwenye nyama
 
Yan unaconclude mambo kwa akili ya binadam wenzako



Kaka mbna unanishangaza sana.Why ni Darwin theory na sio Darwin principle au archimedes principle sio archimedes theory
Hapo ilikuwa inaelezea nini maana ya nadharia (theory)
Ila kwa akili zako finyu ukadandia mada nyingine kuhusu tungamo
 
Back
Top Bottom