Kwanza kabisa darubini kubwa haija prove hilo, kama unataka tujadili hilo, weka source zako.
Pili, hata wewe uwepo wako unaweza kuelezewa kwa theory, je, hilo linamaanisha wewe haupo kikweli kwa sababu umeweza kuelezewa na theory?
Tatu, unapotumia simu inayotumia electromagnetic waves, minara, satellite, internet, unatumia vitu vinavyothibitisha theories kama Relativity, je unafahamu hilo? Utasema hapa tunawasiliana kwa theory tu?
Nne, hata kama hizo ni theories tu, bado hujathibitisha Mungu yupo, unakubali kwamba kw muktadha wako wa kudogosha theory Mungu naye ni theory tu hajathibitishwa?
Einstein's Relativity imethibitishwa tangu mwaka 1919 na inaendelea kupsi mitihani ya uthibitisho mpaka mwaka huu.
Unajua hilo?
The MICROSCOPE mission tested the weak equivalence principle with free-falling objects in a satellite.
www.space.com
A core principle of Einstein's general theory of relativity has just passed its most stringent test yet.
www.sciencealert.com
A satellite has conducted the "most precise test" on a cornerstone of the physicist's famous theory.
www.cnet.com