"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

1.Je Mungu yupo? anaishi wapi? weka ushahidi.

2.Je ndiye aliyeumba kila kitu?...mbona vitu vingi vina makosa makubwa.

3.Mungu anahisi vipi kuona mateso ya watu, kama yeye ndiye aliyeumba na kusababisha kila kitu kiwepo?

THERE ARE BENEFICIAL, NEUTRAL AND HARMFUL MUTATIONS...TOFAUTI NA HAPO UUMBAJI USINGEKUWA NA MAKOSA MENGI NAMNA HII HATA KAMA HIYO KAZI ANGEPEWA MTOTO MDOGO
 
Au wale ma shemale , sasa hapo utanipa sababu gani ya kueleweka ili tusiseme mungu kakosea kuumba
 
Ok sawa ila kufahamu kinachoendelea na kuwa rigid/extremist ni vitu viwili tofauti
Life is uncertainly journey, I don't have 100% but 70% as my confidence level.....30% ni mlango wa mabadiliko...kwa hiyo mimi siyo extremist kama udhaniavyo.
 
Mungu hachunguziki
Mambo yake ni tofauti kabisa na tuwazavyo
Me ninachojua vyovyote iwavyo Mungu atabaki Mungu
 
Je! Akifanya Hivyo vipi kwa Wale wanaotaka Kufanya Genetic Engineering ya Mazao....kuku kwa kuwapa Madawa na kuwachoma sindano ili wazaliane sana ...si mtasema Mungu anatuingilia Uhuru wetu wa Kuchagua Mlioutafuta Kwenye Bustani ya Edeni Wenyewe...

Lets Pay the Price.. tuliyataka wenyewe then Tunamsingizia Mungu Baba

Ana uwezo wa kuzuia anachofanya mwanadamu. Labda uwe unakiri kwamba mungu si muweza yote
 
Ana uwezo wa kuzuia anachofanya mwanadamu. Labda uwe unakiri kwamba mungu si muweza yote
Usingekula Lile Tunda Wala Usingepata... Haya ulijitakia Mwenyewe Uwezo Wa Kujua Mema Na Mabaya.. Sasa unalalamika Nini

The World Was The Best Place Under Him. Kwani ulisikia eden kulikuwa na haya mambo.. Ulipojifanya Kumfuata Nyoka so Jiandae Kufuata Matokeo yake Pia
 
tunda si amekula adamu , basi ilibidi adhurike huyo huyo adamu kama ukilema ilibidi apate yeye adamu sio watu wengine maana imeandikwa "Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe, dhambi ya baba hawezi akarithi mwana "
 
Anyway whatever he can be.....ila kama yupo inaonekana ni dude katili sana.
Usamehewe tu mkuu, mungu si wa kumuita hivyo,me kila nikiangalia uumbaji wa vitu vilivyopo angani planets, stars, galaxies, blackholes,quisar.......kichwa changu huwa kinaganda najua hakika mungu yupo tena wakuogopwa sana tena sana, mkuu mfano tu speed ya dunia kulizunguka juu ni kama 100,000km kwa saa bado jua ni kama 720,000 kwa saa.. huu ni uumbaji wa hali ya juu sana kama una akili za kuwaza mbali sana, pamoja na yote hayo hizo zipo at incredibly speed lakini hazigongani,kumbuka kuna stars nyingi kuliko mchanga wa beach zote duniani,na bado kila star ina planets,moon hata comets na asteroid na zote zinapita kwenye precise calculated path.....this is amazing bro, mungu yupo na wala si katili kama unavyofikiria
 
tunda si amekula adamu , basi ilibidi adhurike huyo huyo adamu kama ukilema ilibidi apate yeye adamu sio watu wengine maana imeandikwa "Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe, dhambi ya baba hawezi akarithi mwana "
Hujawahi Kusikia Kuhusu Mikosi ya Kifamilia au Ukoo.. huwa Inasambaa Ukoo mzima ndivyo Ilivyo adhabu ya imani Yeyote ile... Kama Babu Yako alikosea Akaoa Mtu Ambaye hatakiwi laana Itasambaa Hadi Kwa Watoto wake....

Mana Kama Haitosambaa Usingejua hata Kama Adamu alikula Tunda...
 
Yupo. Tena sana. Ukitaka kujua kuwa yupo utakaposhikwa kisawasawa lazina utamtaja...
 
Ni kweli kuwa Mungu hakosei kwa sababu hafinyangi watu. Aliumba nature NAyo inaenaendelea. Kinachotokea in kuingiliwa kwa nature kwa jinsi mbalimbali. Mungu haumbi kula cku.
 
Ahimidiwe yeye aliyezifanya mbingu na nchi kwani atayafuta machozi ya wale wasio na hatia waliozaliwa na mizigo kutokana na dhambi za wengine.Hongera kwa walioumbwa wakamilifu kiasi cha kutukuzwa na wanadamu wengine.Mungu ni mwema tu siku zote.
 
Back
Top Bottom